Alikuwa ni rafiki ambae ananichangamkia sana haipiti siku bila kunitumia meseji za salamu, alikuwa anapenda tuchat, kukumbushana visa vya shuleni, n.k.
Kiukweli niwe muwazi kiuchumi tumepishana ila hatuchunguzani sana, tunajuana vichache yeye anajua tu kwamba mimi nina biashara kadhaa ambazo...
Wakuu,
Kuna nafasi ya kazi kwa mwanamke(temporary)ya kufanya usafi ofisini. Ofisi ipo Victoria/Regent Estate mtaa wa Migombani karibu na NEMC au Kairuki hospital.
Muda wa kazi ni kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kutoka ni saa 5asubuhi.
Mshahara ni 150,000 kwa mwezi.
Kwa anayehitaji naomba...
Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao.
Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
Wakazi wa eneo la Luguruni Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam wameandamana hadi ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ubungo (DC), Kheri James kudai huduma ya maji waliyoikosa kwa miezi mitatu sasa huku wakiletewa bili.
Wakazi hao wakiwa wamebeba ndoo zao zikiwa tupu walikuwa wakiimba nyimbo...
Muda wa kazi mtu anaenda kwa mademu na gari ya serikali anapaki anapiga stori kwenye ofc ya dem.Huyu bro anahujumu serikali wakemewe watu wa kariba yake.Picha sibora sana ila ujumbe huo.
Katika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la kitamaduni kabla ya kuingia katika ofisi yake mpya.
The new UK PM performing his spiritual/traditional...
Nimeshtuka Sana juu ya hiki kilichotokea.
Ujumbe wa Bunge la Marekani umekuja Afrika mashariki ukiongozwa na senator John Inhofe, umeenda kwanza Kenya ukaonana na Ruto Kisha ukaruka kwenda Kigali kukutana na Kagame, yaani umetupita hapa katikati Kama sisi sio watu, Mama hapendi hii kitu...
Ashakum si matusi polisi Mara:
Kwa kutuona je vile?
Ama kwa hakika kuitisha watu hawa kufikishwa kunakostahili, ni kutochagua kuwa panya road kama wao.
NInakazia: uhalifu haushindwi kwa uhalifu
13 September 2022
Nairobi, Kenya
HOTUBA MARA BAADA YA KUAPISHWA NAIBU RAIS MH. RIGATHI GACHAGUA
Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Geoffrey Rigathi Gachagua amewaelezea raia wa nchi hii ya Kenya kuwa hali si hali pamoja ya kuwa ni nchi inayohesabika ina uchumi mkubwa na utajiri katika eneo hili la...
Leo Trump anachunguzwa na Serikali ya Marekani kwa wizi wa siri nzito za serikali. Siri hizo Trump anazifahamu kwa vile alihusika nazo, lakini kitendo cha kuziiba(kwa maana ya kuondoka na nyaraka za serikali kijinai) , Trump inawezekan akashitakiwa mahakamani.
Nchi yetu Tanzania vivyo. Katika...
Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato pekee unaoweza kufuatwa.
-
Ibara ya 251(2) ya Katiba inatamka kwamba mtu anayetaka kumwondoa Mwenyekiti...
Ni masomo gani makubwa ambayo umejifunza katika ulimwengu wa ofisini?
1. Jifunze kuvaa vizuri. Kumbuka jinsi unavyovaa ndivyo watu watakavyo kuchukulia.
2. Kamwe usiruhusu wenzako au bosi wako akuonee, jifunze kuongea na kusimama msingi wako na miguu yako. Usiwe goigoi wa ofisi.
3. Usiamini...
Mbunge wa Bahi (CCM), Keneth Nollo ametoboa siri ya uzalendo wa Hayati William Kusila kwamba aliwahi kukimbia furushi la fedha zilizopelekwa ofisini kwake ili apokee hongo na kutoa upendeleo.
Nollo ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 25, 2022 wakati akitoa salamu za rambirambi mbele ya mwili...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imedai kuwa wafanyakazi wake walitaka kushambuliwa na kundi la watu waliokuwa wana silaha, jana Saa 2:30 Usiku, Agosti 22, 2022 lakini ilishindikana kutokana na ulinzi kuwa imara katika ofisi hizo.
“Walitaka kuvamia wakati wafanyakazi wetu wakiandaa majibu...
Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata.
Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia...
Unapoambia fundi seremala kawa mpishi wa Serena Hotel, mtu unaweza tilia mashaka chakula atakachopika.
Nimejaribu sana ku Gogle hiyo kampuni iliyonunua korosho na huyo kiongozi wao aliyetia saini na naibu Waziri, kidogo nimeingiwa na wasiwasi.
1. Kenya kuna kiwanda kimoja tuu cha kubangua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.