Najua watu wengi sana hutumia internet katika mishe za hapa na pale,binafsi ni wale watu wanaoishi mjini kwa kutegemea internet kwa sana, pamoja na mengine ninayofanya ila nina mengi makubwa nayafanya kupitia internet.
Nimeshatumia internet mbali mbali za makampuni makubwa na madogo, na baadhi...
Habari wana JF
Niliingia katika mtandao wa Badoo kwa kutumia jina na picha fake. Nika search girls between the age of 20 to 35 nearby. Akatokea dada mmoja mzuri kumbe ni mhasibu wa hapa hapa ofisini naye katumia Jina na picha fake. Tukachati tukatongozana akaingia line.
Siku nikiwa ofisin saa...
Mtu mmoja ambaye hajajulikana amevunja milango na kuiba fedha taslimu pamoja na vitu mbalimbali vyenye thamani ya Sh. 7,760,000 mali ya Shirika la Jiokoe na Umaskini yaani Stars of Poverty Rescue Foundation (SPRF) lililopo katika Manispaa ya Singida mkoani hapa.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika...
Ukifutalia maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu huko Mwanza Kuhusu uundaji wa meli pamoja na ubainishaji wa mitaa utabaini haya Siyo mambo yakumsubiri Mhe. Waziri Mkuu ndipo hatua zichukuliwe, Kuna viongozi wamekaa ofisini bila kutimiza wajibu wao. Kwa nchi za ulimwengu wa kwanza baadhi ya viongozi...
Mataifa mengi hupinga dhuruma Kwa kuwafichua wadhulumati, hupinga Rushwa Kwa kuwafichua Wala Rushwa na kufichua wasio waadilifu Kwa kufichua historia yao ya utendaji
Haitoshi kuheshimu hukumu ya Mahakama inatosha kuitafsiri hukumu hiyo kulingana na matendo ya Mtuhumiwa yaliyoonekana Kwa macho...
Mazee Tuelewe kwamba One thing everybody is capable of cheating
.
Kwa Maana KAmBa What u see happening in the office and at the workplace with ur female colleagues is what happens at ur wives' workplace Mzee Baba.
.
Hii picha inaleta ujumbe sahihi niliousema hapo Juu, Huku maofisini Watu...
Ali Mwendo amewataka waandishi wa habari Singida wawasilishe CV zao kwake, Mwenyekiti wa Singida Press Club akamjibu sio sahihi kwani wao sio waajiriwa wa Serikali.
Jambo hili ni geni sana itapendeza Waziri wetu Nape aingilie kati
Baada ya Madereva wa taksi za mitandao wameandamana mpaka makao makuu ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Jijini Dar es Salaam kudai kupandishwa kwa bei elekezi ambazo licha ya kupandishwa bado kuna wahusika awazifanyii kazi hali hiyo inatokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta...
Watanzania wengi hawana utamaduni wa kutunza pesa, Wazungu wanaita saving, imefika wakati Yani mtu akisimama kazi ndani ya wiki mbili anaanza kuomba msaada wakati amefanya kazi kwa muda mrefu sana.
Ni vema kila unapopata mshahara basi angalau asilimia 30 kafiche mahali, watumishi wa umma Wana...
Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza:
Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli.
"Kwetu ni self service."
Nani anasema tatizo letu si katiba?
Si kuwa tuna watu madarakani ambao...
Elimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine profffession?
Kwa Nini waziri asishikilie Sheria kwamba Kuna minimum and maximum wage or salary.
Kwenye...
Akiteuliwa Waziri wa Mambo ya ndani lazima apambane na wakuu wa idara aliowakutwa,akiuliwa Waziri wa ardhi naye Kila anayemkuta ofisni Hana sifa, akiteuliwa Waziri wa sheria naye ana watu wake, kilimo Kila sehemu anataka yeye atawale nk
Je, wanapata wapi nguvu yakufika ofisini na kuanza...
Kutokana na kukwama kwa miradi mingi mkoani Mara Rais Samia amesema anakwenda kuchunguza mwenendo wa viongozi wote wa mkoa na kwa kipindi hicho cha uchunguzi amemtaka Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya wote wajitathimini kabla ripoti haijatoka.
Kwa upande wa Wakuu wa idara, Rais Samia amesema...
IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi.
Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
afukuzwe
ajiuzulu
astaafu
busara
igp
igp sirro
kazi
kuendelea
kujiuzulu
kuwepo
nyakati
ofisini
raia
rais
rais samia
samia
sirro
taifa
taifa letu
usalama
usalama wa raia
Kuna taarifa zinasambaa Kwenye mitandao ya kijamii Kwamba Trafic wa Wilayani Same wamekataza mabasi yanayotoka Dar kuwahi kufika Same kabla ya saa Saba. Matokeo yake mabasi yakikaribia same yanapaki barabarani yakisubiri ifike saa Saba yaingie mjini.
Wakati huyu trafic anafanya haya naamini...
Habari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na...
Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa.
Taarifa hiyo imetolewa na ofisi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
Mbaka sasa kuna kila dalili ya kikundi cha waasi wa...
Kwa mujibu wa kifungu cha 25 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na.11 ya Mwaka 2007; Rushwa ya Ngono ni kitendo anachofanya Mtu mwenye Mamlaka, katika kutekeleza Mamlaka yake kudai Ngono au upendeleo wa aina yoyote kutoka kwa Mtu kama kishawishi cha kumpatia Ajira, Cheo, Haki, Fursa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.