Waziri wa uwekezaji Mr. Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao.
Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote.
Chanzo: ITV...
Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo
Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia Ofisi za Serikali pasipo kuonesha ushahidi wamepata walau Dozi 1 ya Chanjo
Zaidi ya watu Milioni 14...
Nachokoza mada.
Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza...
IGP Sirro ni Kati ya ma-IGP wa hovyo Sana kuwahi kutokea Tanzania. Tulijua wa mwisho atakuwa mahita Ila siro kaharibu mno.
Tuanze kukusanya ushahidi ili akistahafu mwaka 2022 asafishwe na mahakama.
Siro ni doa ndani ya serikali.
Mamlaka zimesema Watumishi wa Serikali ambao hawajapata Chanjo dhidi ya CoronaVirus hawataruhusiwa Ofisini kuanzia mwezi Desemba
Hadi sasa Nigeria imefanikiwa kutoa chanjo kikamilifu kwa 1% ya Raia wake wapatao Milioni 200, ikielezwa Chanjo zinazoendelea kupokelewa zinatarajiwa kuongeza kasi ya...
AHMAD RASHAD ALLY OFISINI KWA JOMO KENYATTA NAIROBI 1963
Nimeeleza kuwa Ahmad Rashad alikuwapo siku Abdul Sykes alipokutana na Jomo Kenyatta Nairobi 1950.
Mzee Ahmad Rashad ana historia ndefu na ya kusisimua lakini hii tungoje siku nyingine In Shaa Allah.
Ahmad Rashad alikimbia Zanzibar baada...
Hii imekaaje wadau. Hapa tunaulizana mbona wameanzia kote huko. Shida ni nini?
Mi najua sheria ni miaka mitano nyuma.
Wataalamu tuelimishane, maana nina mpango wa kuwabishia wakija kukagua.
CCM YATAKA WAWAKILISHI WAKE KUWA KARIBU NA WANANCHI
Songea, Ruvuma
19 Septemba, 2021
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewataka viongozi wa chama hicho kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara kwa ajili ya kutafuta...
Hivi inakujae Mkuu wa Majeshi ana miaka 64 na bado yupo ofisini analitumikia Taifa ilhali muda wa kustaafu kisheri ni miaka 60. Hayo ndio mambo ya huku Venezuela, kweli tembea ujionee!!
Sijui atastaafu lini maana nasikia Rais wa huku Venezuela ambaye ni mpya madarakani kaamua kuendelea naye...
Mkurugenzi wa halmashauri ya gairo, bw Asajile Mwambambala aliyehusika katika wizi wa mabati zaidi ya 1100 mwaka huu mwezi wa saba alipaswa awe nje ya ofisi hadi muda huu. kwani kwa mujibu wa kanuni za maadili ya utumishi wa umma ni kosa kwa mtumishi yeyote wa serikali kujihusisha na wizi au...
Siku ya pili ofisini, Rais wa Zambia anasema ameteua team ya wataalam kuanza kufanya tathmini ya mfumo wa kodi wa nchi hiyo ili ufanyiwe mabadiliko makubwa ili kuondoa kasoro nyingi ambazo zimesababishwa na utawala uliopita katika uchumi wa nchi yao. Wakati Tanzania ndiyo kodi na tozo sasa...
Huyu mwanamke tulimuheshimu sana hapa ofisini (alikuwa secretary wetu) yaani lunch na break fast tunamtoa karibuni kila siku sisi wanaume tofauti tofauti na hakuna alie mtongoza maana yeye kwanza ni mke wa mtu tunamheshimu na sisi bado ma single .
Sasa yeye kahamishwa kitengo kapelekwa ofisi...
Kuna watu wanapokea ofisi binafsi au ya umma kutoka mikononi mwa watu waliokuwa wanaamini ushirikina na ambao walikuwa wanapeleka wachawi na waaguzi kufanyia ibada zao ofisini. Ofisi kama hizi kiimani inaaminika hata Mwenye ofisi akiondok aidha kwa kuamishwa, kustaafu au kufa mizimu ile ubaki...
RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau Waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea.
Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake.
Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali...
Karibu ujipatie causal leser bench kwa matumizi ya ofisini, dinning room, sitting room na chumbani.
Tunapatikana tabata 0767601018.
causal leser bench 150,000.
Mito 20,000 mmoja
Zulia 15,000
Tunafanya delivery Dar na mikoani.
Umri sahihi wa kustaafu utumushi wa umma ni miaka 55 kwa hiari na miaka 60 kwa lazima, japo kanuni zinaruhusu kuendelea kutumikia umma kwa mkataba wa miaka miwili miwili, Mfugale hajawahi kustaafu na amekuwa akiongezewa mikataba juu kwa juu.
Madhara yake mnabana nafasi za ajira kwa wengine...
Hivi Mchezaji aliyeko Uwanjani tena katika Mechi ngumu na anajitahidi akiona Kocha Mkuu kamuamsha Mchezaji wa namba anayocheza Yeye anaimarika Kiuchezaji au Kisaikolojia ndiyo anaathirika na kujikuta anaharibu kabisa na Kuigharimu Timu?
Maoni yenu yatasomwa nae Muunguja.
Habari za Leo wakuu,
Leo nilikua najaribu kuiuliza akili yangu swali lifutalo.
Hivi inakuwaje mwanadamu mwenye akili timamu anakaa ofisini kuwafanyia watu kazi kwa zaidi ya miaka mitano?
Yaani kwamba mwanadamu unafanya kazi za watu ambazo sio zako.
Yaani hapo ndio najiuliza, wakuu.
Wakuu...