China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies.
More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!)
China imposes retaliatory tariffs on...
Kufuatia taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusiana na ongezeko la joto katika maeneo mbalimbali nchini kunakosababishwa na kusogea kwa jua la utosi, wananchi wameshauriwa kuchukua hatua kukabiliana na athari kutokana na uwepo wa hali hiyo.
Kuna Kila dalili la anguko la uchumi wa Dunia Hadi sasa,Kuna dalili za mabenki kufilisika huko tuendako,je tunaandaliwa kisaikilojia!!?
Au ni Ile mbinu ya jk enzi zile ambayo dokta anaeozea mahabusu aliishtukia kipindi kile!!?
Wajuvi mje mjazie nyama hapa!
Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi.
Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014, toleo la 2023, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma, Rais...
Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini.
Wanywaji wa Pombe hizo wamekuwa wakisema zinawapotezea kumbukumbu pindi wanywapo. Na wengine hupoteza fahamu hadi siku mbili ...
Watu mashuhuri huwa wanakutana kwa ajili ya mkutano wa World Economic Forum huko Davos hii hupelekea kushahimiri kwa biashara nyingine zinazozunguka mji huo ikiwemo ya ukahaba.
Huwa wanakutana kuzungumzia kupatia suluhisho la maswala yanayoikumba dunia ikiwemo umasikini.
Naona wana deal kweli...
Mwezi Oktoba 2024 serikali kupitia Waziri Kikwete walitangaza kwa mbwembwe kubwa kuwa watumishi wote wastaafu wanaolipwa pension yao kupitia Hazina wataongezewa kiasi cha 50,000 kuanzia January 2025 baada ya kilio cha muda mrefu sana kuwa hiyo laki moja haikidhi lolote kwa wazee hao walio...
Inashangaza sanaa
YAAN tkt za basi n MUHIMU kuliko elimu yetuu
Naangalia mikoa zaidi ya mitano wanalia upandaji WA bei kuanzia madaftari
Magodoroo
Vyatu vya shuleeeeeeee
Soksi
Vitandaaaaa
Vitabuuuuu
Kwani latra wamefaulu ku control bei za juu sikukuu
Wizara ya elimu
.tamisemi...
Wakuu!
Naomba nielezee na hii walau kwa uchache.
Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti tofauti. Nimekuja kugundua/kubaini kwamba kuna ongezeko kubwa sana la wanawake wenye msongo mkali wa...
kila panapokucha panakucha na toleo jipya la pombe ,
Kuna ongezeko la kutisha la viwanda bubu majumbani vya utengenezaji wa kila aina ya pombe za makopo ambazo hazina viwango,jambo ambalo linahatarisha usalama wa wananchi hususani vijana.
Wananchi wengi wamekuwa wakilalamika serikali...
Habari ndugu wana jamvi,
Leo nimekuja na jambo ambalo linaweza kunipa wasiwàsi kwa namna moja au nyingine.
Kama jamii hivi Sasa ,kumekuwa na wimbi kubwa La wadada ,wasichana na wanawake kujichora tatoo Katika miili Yao.
Na tattoo hizo mara nyingi uchorwa sehemu ambazo inakuwa rahisi kwa MTu...
Wakuu,
Wajuvi wa masuala haya, kwahivyo, bila kujali hali ilivyo muda wa uokoaji ikitokea janga kama hili huwa ni masaa 72 pekee?
Kwa jinsi ile ajali ilivyotokea watakauwa waokoaji watakuwa wamefika maeneo yote? Naona kama kuna watu wataachwa huko wajifie!
=====
Maagizo ya Rais wa Jamhuri...
Wastaafu kote nchini tumeshtushwa sana na tangazo la ongezeko ya pensheni kwa asilimia 2% kuanzia 2025 lililotangazwa na Waziri Kikwete (jnr).
Itakumbukwa kwamba ongezeko hili kiduchu kwa rekodi linafanyika baada ya kupita karibu miaka 10 i.e. enzi za Rais Kikwete na Waziri Mkuya walipoongeza...
Makusanyo ya mapato ya makampuni ya bia nchini yameshuka kwa karibu asilimia 20, hali inayoonekana kusababishwa na kupungua kwa wanywaji wa bia kufuatia ongezeko la ushuru wa bidhaa lililowekwa na serikali. Ongezeko hili la ushuru limewafanya wanywaji wengi kuhamia kwenye vinywaji mbadala...
Ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao.
Mnaweza nyote mkawa na dini, tabia nzuri lakini ndoa ikafa kwakukosa muendano wa kimawazo.
Kuna wanaume wao ndo wanataka wawe dominate kwa 100% yaani huna Cha kumwambia, neno lake ndo katiba huyu...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha ripoti mpya kuhusu hali ya Kifua Kikuu (TB) ikifichua kwamba takriban watu milioni 8.2 waligunduliwa hivi karibuni kuwa TB mwaka wa 2023 - idadi ambayo ni kubwa zaidi iliyorekodiwa tangu WHO ilipoanza ufuatiliaji wa TB duniani mwaka 1995.
Hili...
Kutokana na mashambulizi ya Israel nchini Iran ambayo yalilenga maeneo ya kijeshi pekee, asubuhi ya leo Iran ilitangaza kuwa askari wake 2 waliuawa.
Iran ilisema kuwa mifumo yake ya ulinzi wa anga ilifanya kazi vizuri, lakini ikakiri kuwa kuna baadhi ya makombora yalifanikiwa kuzipiga bases...
Wakuu nimekutana na huu mjadala kuhusu zabuni ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Tabora hadi Kigoma ambao umeibua maswali muhimu kuhusu mchakato wa manunuzi na ufadhili wa mradi huo.
Ingawa TRC ilitangaza makubaliano ya ujenzi na kampuni ya CCECC Desemba 2022, kuna maswali juu ya tofauti ya bei...