Ni matumaini yangu mu buheri wa afya, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. kwa kuwa kam tujuavyo kumekua na kilio kikubwa kutoka kila kona nchini kutokana na ongezeko la gharama za kutuma na kutoa pesa kupitia simu zetu (Mobile Money Transactions). Nikiwa ni muhanga...
Nawasalimu wana jukwaa,amani iwe nanyi!
Kwanza kabisa naomba nimshukuru Mungu kwa kunijaalia uzima hadi ninapoandika andiko hili sina budi kusema Alhamndulilah!
Bado kuna upungufu wa walimu wa masomo ya sanaa kulingana na idadi kubwa ya wanafunzi hasa shule za mijini japo mahitaji ya serikali...
Jamii zetu zinaishi kwa kutegemeana, familia ndiyo safety net ukipata matatizo. Hatuna desturi ya kutemea ustawi wa jamii tukipata matatizo. Mama mdogo akiwa mgonjwa, familia itatoa msaada wa hali na mali.
Simu zimerahisisha mawasiliano. Leo hii uko Bukoba utatuma pesa ya MRI scan kwa ndugu...
Kwenye hili la ongezeko la hela ya tozo kwenye mihamala ebu watanzania tuache kulia kulia ayo ndio maendeleo na kwani kabla azijakuwepo hii huduma tulikuwa tunatumia huduma gani ebu tuache serikali ifanye kazi ituletee maendeleo sio kila jambo kulalama tu .serikali mpk kuweka hili imeshakaa...
Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga!
Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia...
Watanzania nawasalimu,
Nimejaribu kuwaza ni wapi tunakoelekea nimekosa majibu. Viongozi wetu na watanzania wote ni mashuhuda kuwa tumeambiwa kuwa kuhusu nyongeza ya mishahara tusubiri uchumi uimarike kidogo.
Lakini Leo hii huyu huyu mtu anaeomba kuongezewa mshahara kutokana na kuongezeka kwa...
Mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya biashara katika karne ya 21 hasa kutokana na urahisi wa kufanya biashara na kuongezeka kwa fursa ukilinganisha na biashara nje ya mitandao. Zaidi ya nusu ya watu bilioni 7.8 duniani wanatumia mtandao wa intaneti, ambapo kwa jicho la kibiashara, hiyo...
Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado.
Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo.
Nawasalimu kwa...
Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana.
Mpaka kufikia kuuza/gawa viwanja/maeneo ya Serikali kutumika na Makampuni binafsi. Refer eneo la Tazara kupewa Kampuni moja ya kuuza Mafuta ya...
Dar es Salaam. Baadhi ya wahariri wanaounda Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wamehoji mpango wa Serikali kuendelea kugharamia miradi waliyodai haina tija kwa kuongeza kodi na tozo kwenye bajeti ya Serikali.
Wakizungumza leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika mjadala wa uchambuzi wa bajeti ya...
63% (watu 61,631) ya raia 97,625 wa ushelisheli wameshapata dozi mbili (Fully vaccinated) ya chanjo ya covid-19, lakini hali ya maambukizi imekuwa mbaya sana kiasi kwamba serikali imeamua kufunga, shule, kuweka lock downs na masharti mengine makali ya kujikinga na corona.
Zaidi soma hapa...
Hii imeshindwa kueleweka kwa wengi.
Je, ina maana kuwa ile kodi aliyokuwa analipa mfanyakazi lets say ni shilingi laki moja (100,000) kwa sasa inapungua kwa kiasi cha asilimia 1 ina maana analipa shilingi elfu tisini (90,000)? - Kwa maana hiyo kwenye mshahara wake anaongezewa shilingi elfu...
Samahanini jamvini, Nani anaujuzi na haya Mambo ya ongezeko la Mshahara , ni kwamba kila mmoja wa civil servant ataongezewa fixed amount katika Mshahara gafi yaani elfu 40,000 kila mmoja ama iko vipi, tupate SoMo.
Na vipi kupanda daraja, he na Mshahara utapanda Mara mbili yani ya kupandia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.