ongezeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini ...
  2. F

    Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

    Ukisoma vizuri kitabu cha WHY NATIONS FAIL ( The Origins of Power,Prosperity & Poverty) cha DARON ACEMOGLU na JAMES A.ROBINSON utajua kwa uhakika ni kwa nini Tanzania yetu ni masikini hivi na itachukua muda mrefu kubadili hali hii. Kwa ufupi ni kwamba tunacho kila kitu kinachohitajika kwa ajili...
  3. Kijakazi

    Jinsi ya kukokotoa Ongezeko la Asilimia Mshahara!

    Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango...
  4. britanicca

    Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
  5. Greatest Of All Time

    Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  6. Suzy Elias

    Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15% Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6 Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
  7. B

    Tuzikatae Serikali zisizo na ufumbuzi ongezeko la bei za mafuta

    Kupanda kwa bei ya dhahabu, tanzanite na vyote made in Tanzania hakujawahi kuakisiwa popote positively katika nchi hii. Kote upigaji ndiyo ulio kipaumbele. Serikali kupitia LATRA ilitangaza bei mpya za nauli kwa kuzingatia diesel @ 2,800/- wakiyataka mabasi kutokutumia nauli hizo kabla ya 14...
  8. Mr Q

    Jenista Mhagama: Tutatimiza agizo la Rais la kupandisha mishahara kwa wakati

    WIZARA YA UTUMISHI KUTIMIZA AGIZO LA RAIS KWA WAKATI. Na. James K. Mwanamyoto-Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama amesema ofisi yake imejipanga kupandisha mishahara ya Watumishi wa Umma kwa wakati kama alivyoelekeza Rais wa...
  9. M

    Kima cha chini ni sh ngapi kwa ongezeko la leo?

    Mimi sijasikia mkuu wa nchi akamka kuwa sasa hivi kima cha chini kitakuwa sh ngapi. Aliyesikia atufafanulie kwa msaada zaidi. Fungukeni.
  10. Lady Whistledown

    #COVID19 Afrika Kusini yahofiwa kuwa na Wimbi la 5 la maambukizi ya Covid-19

    Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki mbili zilizopita, haswa katika Gauteng, Western Cape na KwaZulu-Natal. - Ameeleza kuwa nchi ilirekodi...
  11. Lady Whistledown

    India yaonya ongezeko la joto kalikutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

    Idara ya Hali ya Hewa ya India (IMD) imetabiri kupanda taratibu kwa viwango vya juu vya joto kwa Centigredi 2-4 katika maeneo mengi ya kaskazini-magharibi na katikati mwa India kwa juma hili, bila kutarajia mabadiliko makubwa hapo baadae - Inaelezwa kuwa mawimbi ya joto ni ya kawaida nchini...
  12. W

    Sensa ya 2022 Vs Ongezeko la Bei

    Habari nyote Niende tu moja kwa moja katika hoja yangu na nianze na swali rahisi kabisa, Kuna umuhimu gani wa kufanya sensa ya watu na makazi wakati tukiwa katika kipindi kigumu sana cha ongezeko la bei katika mahitaji mengi ya watanzania na duniani kote? Natambua umuhimu wa sensa ya watu na...
  13. K

    Ni ukweli usiopingika kuwa gharama ya maisha imeongezeka sana

    Ni ukweli usiopingika kuwa gharama ya maisha imeongezeka sana na kuna malalamiko kila kona. Mitaani watu wanalaumu . Ni kweli vita vya Urusi dhidi ya Ukraine ndo imepandisha bei kwa kiasi fulani kama ingependeza Mhe. Rais angejitokeza hadharani kwenye vyombo vya habari kuelezea athari ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali ilipaswa kutuambia imejipanga vipi na kudhibiti ongezeko la bei, si kusapoti kinachoendelea

    Kwema Wakuu! Kila mtu ni shahidi wa kinachoendelea katika upandaji wa bidhaa hapa nchini. Vitu vinapanda kila siku, hasa vitu vyeti kabisa kama Mafuta ya Kula, Michele, Sabuni, sukari miongoni mwa vitu vingine. Sikufurahishwa na Kauli ya Mhe. Rais, mama yetu Samia Kwa kusapoti na kukazia...
  15. BigTall

    Serikali: Kuna ongezeko la watu wenye homa, kukohoa, mafua, maumivu ya mwili

    Wizara ya Afya imebaini ongezeko la watu wenye dalili za homa, kukohoa, mafua, kubanwa kifua & maumivu ya mwili kuanzia Desemba 2021 hadi Machi 25, 2022, hali ambayo imekuwa ikitokea kwa miaka mitatu mfululizo. Wote wenye dalili hizo wametakiwa kwenda vituo vya afya kwa matibabu.
  16. Mkulungwa01

    Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

    Salaam! Kama ilivyo ada natumai ni wazima wote. Ngoja niende direct kwenye swali, ni kwa nini wasichana wengi siku hizi ni single mothers? Je, kwa kuwa wanawake wengi hawataki kutoka kimapenzi na wanaume wasio na mbwembwe, majivuno, waongo, masharobaro, wale wa show offs n.k? Nafikiri...
  17. L

    Inflation, ongezeko la bei katika bidhaa

    INFLATION Hiki ni kipindi ambacho thamani ya pesa inashuka kutokana na bei ya bidhaa ambazo ni muhimu (necessity goods) kupanda. Vyanzo vya mfumuko wa bei. 1. Ongezeko la ajira Kuongezeka kwa ajira kutasaidia watu kuweza kujitegemea na kuweza kupata kipato. Kipato kikiwa kikubwa basi...
  18. John Haramba

    Wabunge walalamikia ongezeko la matumizi ya P2, watu milioni 1.7 wanaishi na VVU

    Wabunge walalamikia ongezeko la matumizi ya P2, watu milioni 1.7 wanaishi na VVU Wabunge wa Tanzania wamesema matumizi ya dawa za dharura za uzazi wa mpango zinazojulikana kwa jina la P2 kuzuia mimba kwa wasichana wenye umri wa miaka 14-24 yanaongezeka. Wabunge katika kamati ya afya walikuwa...
  19. PendoLyimo

    Ongezeko la watu hifadhi ya Ngorongoro kuleta madhara makubwa kwa wakazi asilia na uhifadhi

    Wakuu, Gazeti la JAMVI LA HABARI limeendelea kuandika masuala yanayohatarisha ustawi wa watu, wanyamapori, mifugo na uhifadhi katika Mamlaka ya Uhifadhi wa Eneo la Ngorongoro. Gazeti hilo rimeripoti kuwa watu wameongezeka kutoka watu 8000 mwaka 1959 hadi 110,000 mwaka huu linalosababisha...
  20. Aizna

    Sababu za ongezeko kubwa la visa vya mauaji

    VIP
Back
Top Bottom