Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000?
Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
MFUMO WA ELIMU WA TANZANIA NA ONGEZEKO LA WASIOKUWA NA AJIRA
UTANGULIZI:
Elimu ni ule ujuzi ambao mtu anabaki nao baada ya kusahau yale aliyojifunza shuleni(Albert Einstein).
Lakini tukirejelea mfumo wa elimu wa Tanzania haumuandai muhitimu kuja kubaki na ujuzi ambao utakuja kumsaidia hapo...
Kama mnakumbuka serikali ilitoa waraka wa nyongeza ya posho za safari nje ya ofisi (perdiem) ikiongeza kutoka laki moja mpaka 150,000.
Katika mwendelezo ule ule kwenye mishahara, serikali imezielekeza taasisi zake zilipe posho kulingana na uwezo wake sio lazima iwe hiyo iliyotajwa kwenye...
Hamjamboni nyote?
Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni.
Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
Rushwa ni mwenendo usio faa anao ufanya mtu kwa manufaa yake binafsi. Kuna Aina nyinginza rushwa Kama rushwa ya fedha, ngono, Mali n.k
Sababu za kuongezeka kwa rushwa nchini.
Ongezeko la umaskini nchini hupelekea kutoa rushwa kwa lengo la kujipatia kitu flani mfano kazi.
Ubinafsishaji...
Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki ijayo wakati halijoto inaweza kufikia viwango vya juu zaidi vinavyoweza kuathiri watu na miundombinu...
Shirika la Afya Duniani, (WHO) limeonya kuwa Afrika inakabiliwa na hatari ya kuongezeka ya milipuko ya Magonjwa, ambayo huenea kutoka kwa Wanyama hadi kwa Binadamu kwa asilimia 60 kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita
Kesi nyingi zimehusisha Virusi vya Ebola, Magonjwa mengine ya Virusi ya Kuvuja...
Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo.
Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Kagera, wamelalamikia ongezeko la Tsh. 2445 hadi Tsh. 10,000 la nauli za Meli ya New MV. Victoria kuanzia leo Julai 4 kwa mujibu wa mwongozo wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL)
Inaelezwa kuwa nauli za daraja uchumi iliyokuwa TSh.16, 000 kwa mtu mzima imekuwa...
Habarini.
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Kumekuwa na ongezeko la watu wanaopinga elimu yetu, wengi hoja yao kubwa ikiwa ni pesa. Madai ya baadhi ya hao watu ni ni kwamba ni heri mtoto amalize form form halafu akatafute maisha Kama kufanya biashara.
Mbaya zaidi baadhi ya...
Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi.
Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na...
Serikali imeongeza posho ya kujikimu safarini kutoka shs. 120,000 hadi shs. 250,000 kwa daraja la juu na kutoka shs. 80,000 hadi shs. 100,000 kwa sisi makabwela.
Ukiangalia hayo mabadiliko utaona kwamba wakubwa wamejiongezea hizo posho kwa zaidi ya 108% lakini nyongeza ya sisi hohe hahe ni...
Mkurugenzi wa haki za Wanawake katika taasisi ya Wanawake laki moja Josephine Matiro amesema, Rais Samia kulidhia ongezeko la mshahara na kima cha chini 23.3% ni Ushindi Mkubwa kwa Wanawake. Kwa Miaka 7 saba, Wafanyakazi hawakuongezewa Mshahara, lakini Mwaka mmoja wa Rais Samia, Wafanyakazi wa...
Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa.
Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.
My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie...
Kwanza naomba ifahamike kuwa mimi ni muumini na mfuasi wa siasa na sera za Magufuli na ninaamini ndie kiongozi Bora kuwahi kuwepo Tanzania na Afrika kwa miaka ya karibuni.
Kwa miaka mitano mishahara haikuwahi kupanda ila mfumuko wa bei ulidhibitiwa na watumishi wengi walilipwa malimbikizo yao...
masikini ni yule anayejitahidi kutokuonekana masikini.
Akipata 10000 akanywee pombe 7000, elfu 3 anunue vocha na chai kesho yake
Akipata elfu 5 anunue chakula cha elfu 3, vocha mia 5 na hela ya daladala
Hali hii ipo wired kwenye akili za watu katika makuzi. Umezaliwa hivyo na utakuwa hivyo...
ONGEZEKO LA 23.3% NI KWA WATUMISHI WOTE AU ASILIMIA INASHUKA MSHAHARA UNAVYOPANDA!?
Leo 12:15 hrs 15/05/2023
Tangazo la kuongeza mshahara la Zanzibar,Kenya na Uganda vs tangazo la kuongeza mshahara Tanzania bara "Tanganyika" kuna maana mbili tofauti,Zanzibar,Kenya na Uganda wametangaza...
Watnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu.
Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha?
Kwa muda mrefu tumekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.