Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.
Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.
Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu...
Wanyamapori wa aina 46 tofauti wameongezeka katika mfumo wa ikolojia ya Ruaha – Rungwa na Katavi – Rukwa baada ya kudhibitiwa kwa matukio ya ujangili.
Takwimu hizo zimebainishwa katika ripoti ya sensa ya wanyamapori ambayo imefanywa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri) kuanzia Septemba...
Je, ni uchaguzi wa mtindo wa maisha au teknolojia bora ya uchunguzi?
Kulingana na utafiti mpya, vijana wengi zaidi duniani kote walio chini ya umri wa miaka 50 wanagunduliwa kila mwaka na Saratani inayoanza mapema.
Dk. Suneel Kamath, kutoka Kliniki ya Cleveland alisema, "Hivi ndivyo ninavyoona...
Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP Ali Makame amesema ongezeko hilo ni kuanzia Januari hadi Septemba 2022 ambapo kulikuwa na matukio 270 ya ukatili kulinganisha na 240 yaliyotokea mwaka 2021.
Ametaja sababu zinazoongeza matukio hayo ni pamoja na tatizo la Afya ya Akili na kupungua kwa utoaji elimu juu...
Mamia ya Wananchi wameandamana katika Mji Mkuu, Tunis kupinga bei ya juu na uhaba wa baadhi ya vyakula na bidhaa Muhimu kama Sukari na hivyo kuzidisha shinikizo kwa serikali ya Rais Kais Saied, huku nchi hiyo ikikumbwa na mzozo wa kiuchumi na kisiasa.
Tunisia inakabiliwa na mfumuko wa bei...
Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na janga la UVIKO-19, Marekani ilichapisha dola nyingi ili kuchochea uchumi. Lakini kuanzia mwaka huu, Marekani imegeuza sera ya kifedha na kuongeza viwango vya riba ili kukabiliana na mfumuko wa bei. Kitendo hicho kimekuwa moja ya vyanzo vikuu vya mfumuko...
Serikali imetangaza ongezeko la bei katika baadhi ya bidhaa za vyakula, huku kushuka kwa uzalishaji ikitajwa kuwa sababu.
Miongoni mwa bidhaa za chakula zilizopanda bei katika mwaka ulioishia Septemba mwaka huu ikilinganishwa na mwaka ulioishia Agosti mwaka huu ni mchele, maharage, mahindi...
Imeelezwa kuwa ongezeko la Wanyamapori Nchini limekuwa chachu ya kuwa na ongezeko la ushawishi wa ujangiri, uvamizi wa maeneo ya Wananchi ambapo humesababisha uhasama kati ya mamlaka za Serikali na Wananchi.
Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA)...
Zoezi la ugawaji wa vitalu vya uwindaji wa kitalii kwa njia ya mnada kwa kutumia mfumo wa kielektroniki umetajwa kuwa na faida kubwa kuliko ilivyokuwa ikitumika kwa njia ya kiutawala (administratively).
Imeelezwa tangu kuanza kwa ugawaji wa vitalu kwa njia ya mnada mwaka 2019, Uhifadhi wa...
Matatizo ya afya ya akili ni nini?
Ni matatizo ya ubongo ambayo humfanya mtu kuwa na hisia, fikra, na matendo tofauti na yale yanayotarajiwa na jamii na kushindwa kukabiliana na changamoto za maisha. Afya ya akili inaweza kuathiri namna ya kufikiri,na pia inaathiri mfumo mzima wa namna ya...
Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka.
Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa...
Bima za vyombo vya moto zimekuwa msaada mkubwa kwa watu wanaotumia vyombo hivi hasa ikitokea chombo chako kimehusika kwenye ajali.
Lakini je, kampuni za hizi za vyombo vya moto hapa nchini zinachangia vipi kufanya wanaomiliki vyombo vya usafiri siyo tu kuendelea kutumia huduma zao bila...
Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi.
Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
Waandishi wa habari wa Kampuni ya Reuters wametangaza mgomo wa siku moja kupinga ongezeko dogo la Mishahara katika kipindi hiki cha Mfumuko wa Bei
Wanahabari hao wanadai Mwajiri wao hakujadiliana nao ipasavyo nyongeza ya mishahara, ambapo Shirika hilo linadaiwa kupendekeza Mikataba ya Miaka 3...
(Picha mtandoni)
Utangulizi
Ugumu wa maisha umesababisha ongezeko la umaskini hapa nchini. Wananchi wengi wamekosa mahitaji kwa sababu ya mapato yao kuwa madogo hali ambayo imewafanya wananchi kuishi kama watumwa wakitafuta angalau kidogo cha kutia mdomoni.
Wananchi wengi ndani ya sehemu...
Habari za Muda Ndungu Zangu,
Leo nijadili kuhusu Swala la Vitambi Kwa Wanawake. Naongelea Wanawake kwasababu nawajali na nawapenda.
Kumekua na Ongezeko Kubwa la Wanawake Wenye Ndambi Kubwa mtaaani Kila ninapokutana na Wanawake 10. Saba kati yao Wana Ndambi mpaka unaweza kudhani ni Mimba...
Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02%
Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata...
MBINU ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA TABIA YA NCHI.
Mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi ni tatizo linalokumba maendeleo ya katika nyanja zote kama inavyolipotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ulimwenguni kote ambapo majanga ya vifo, ukame, njaa yamelipotiwa kutokana na...
Polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya raia walioandamana katika Miji Mitatu kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na vyakula muhimu huku wakiwashikilia watu kadhaa.
Maandamano hayo ni ya pili katika mwezi mmoja ambapo waandamanaji wamejitokeza barabarani katika Miji ya Jinja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.