ongezeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kanye2016

    Tunaelekea wapi kwa hili ongezeko la Wasagaji?

    Dunia inaenda Kasi sana. Baada ya kurudi nchini, Leo nimebahatika kuja hapa Lekam Club iliyopo Maeneo ya Buguruni. Nilichojionea ni masikitiko sana Kwa maendeleo ya taifa hili na ulimwengu Kwa ujumla. Nimejionea club nzima imekodiwa na visichana vidogo ambavyo Kwa makamo ni miaka 19 mpaka 25...
  2. beth

    #COVID19 Ufaransa yatangaza kanuni mpya kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia kazi nyumbani itakuwa lazima kwa angalau siku 3 kwa wiki kwa wale wanaoweza. Mikusanyiko ya ndani...
  3. Miss Zomboko

    Premier League imefuta mechi kadhaa kutokana na ongezeko la maambukizi, pamoja na wachezaji wengi kujiweka karantini

    Wakati aina mpya ya kirusi cha corona kinachofahamika kama Omicron kikiendelea kusambaa kote Uingereza, ligi kuu ya Premier League ya England imefuta mechi kadhaa kutokana na ongezeko la maambukizi, pamoja na wachezaji wengi kujiweka karantini. Mechi ya leo kati ya Leeds United na Aston Villa...
  4. OLS

    Ndani ya mwaka mmoja, mashirika ya umma yamekopa nje kwa ongezeko la 1024.2% zaidi

    Taarifa za Maendeleo ya Uchumi zimeonesha Taasisi za Umma zimeongeza kukopa nje ya nchi ambapo Oktoba 2020, Taasisi za Umma zilikuwa zinadaiwa Dola Milioni 51.7 (Tsh. Bilioni 119.1) na Oktoba 2021 limekuwa hadi Dola Milioni 509.5 (Tsh. Trilioni 1.174) Deni la Taifa limeongezeka kwa Tsh...
  5. Bushmamy

    Ongezeko la Ajira kwa watoto, Serikali kupitia ustawi wa jamii imejisahau?

    Achia mbali ongezeko la watoto wa mtaani katika miji yote mikubwa., Tatizo lingine linaloonekana kwa sasa ni wingi wa ajira kwa watoto wenye umri kati ya miaka 9-13. Tena katika mfumo tofauti tofauti kama ifuatavyo. Kwa maeneo ya mjini watoto wenye umri tajwa hapo juu siku hizi ndo hutumika...
  6. Memento

    Rais Samia muwajibishe Gerson Msigwa na Mramba, wameongopa kuhusu ongezeko la uzalishaji umeme

    Rais Samia sikupangii ila inapaswa kumuwajibisha Msemaji mkuu wa serikali na Felchesim Mramba ambae sasa ni kamishna wa umeme na nishati Tanesco. Kwanini uwawajibishe Tarehe 10 mwezi huu wa 11, wiki moja iliyopita kulikuwa na mkutano wa waandishi wa habari na mawaziri na watendaji mbalimbali wa...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ongezeko la joto nchini, picha ya Mlima Kilimanjaro leo

    Barafu inayeyuka kabisa kileleni. Mungu atunusuru
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kuna ongezeko kubwa la kiwango cha joto nchini, sababu zatajwa

    🌡☀️🚦ONGEZEKO LA JOTO NCHINI Dar es Salaam, 08 Novemba 2021: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa juu ya uwepo wa ongezeko la joto katika maeneo mengi hapa nchini. Ongezeko hili la joto linatokana na kusogea kwa jua la utosi sambamba na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya...
  9. Analogia Malenga

    WFP waripoti ongezeko la njaa duniani

    Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP limeonya kwamba idadi ya watu wanaokabiliwa na njaa katika nchi 43, imeongezeka hadi kufikia milioni 45, yaani juu kwa ongezeko la watu milioni tatu mwaka huu huku njaa kali ikiongezeka kote ulimwenguni. Idadi hii imeongezeka kutoka milioni...
  10. isajorsergio

    Nini kipo nyuma ya ukuaji na ongezeko la watu wasiokuwa na dini?

    Habari 👋🏾 Nimefanya tafiti katika vipindi, nyakati na maeneo tofauti na inaonekana wazi ushawishi wa dini unapungua kwa kasi kubwa sana. Inaonekana wengi kutokuwa na hakika katika dini mbalimbali na wengi wao bado wanajaribu kujionesha katika ngwe hiyo kwa sababu kadhaa ikiwemo kutokataliwa na...
  11. Teleskopu

    Ongezeko la vifo kwa asilimia 5,427

    Huku akitumia data za: CDC (Centre for Disease Control) FDA (Food and Drug Administration) na VAERS (Vaccine Adverse Events Reporting System), Dr Jessica Rose amewasilisha uchambuzi wake unaobainisha ongezeko KUBWA la vifo kwa asilimia zaidi ya 5,000 😲:oops: kwa kipindi cha chini ya miaka hii...
  12. dour

    SoC01 Ongezeko la uhalifu wa kihisia (Crime of Passion)

    Muhtasari kulingana na kukua kwa takwimu za vifo vitokanavyo na wivu wa mapenzi, Andiko hii imeangazia kwa undani juu ya asili ya wivu, uhusiano uliopo kati ya wivu na mapenzi, namna wivu unaleta uhalifu, na nini chakufanya kutatuta uhalifu huu wa hisia. UTANGULIZI Mnamo tarehe 16 ya mwezi wa...
  13. J

    Kilichoongeza Bei ya mafuta ni tozo au kupanda kwa bei kwenye soko la dunia?

    Enyi wataalamu wa uchumi na wale wa masoko naomba mnifahamishe kilichopelekea bei ya mafuta kupanda na kisha Rais Samia kuishusha ni nini?
  14. demigod

    TFF Yatoa Rukhsa Klabu Za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 Wa Kigeni

    Juzi hapa niliwapenyezea za chini ya kapeti. Wengi walinijia Inbox na kuniuliza hizo habari nimezipata wapi ila sikuwajibu. Tetesi: - Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya Wachezaji wa Kigeni kufikia 12 Sasa yametimia! Mabadiliko hayo ya kikanuni yamefanyika ndani ya...
  15. Memento

    Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

    Nimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe. Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini. Watanzania gani hao wanaokubali tozo hizi? Mmekaa wenyewe...
  16. Analogia Malenga

    Kenya: Gharama za maisha kupanda kutokana na ongezeko la tozo

    Kuanzia Oktoba Mosi vitu ambavyo vipo katika orodha ya kulipa tozo zitaongezeka bei nchini #Kenya kutokana na ongezeko la tozo kwa asilimia 4.97 Mamlaka ya Mapato ya Kenya(KRA) imetangaza kuongeza tozo ili kufidia mfumko wa bei uliojitokeza mwaka wa fedha 2020/21 Vitu zinazotarajiwa kupanda...
  17. MRAMIRA

    SoC01 Athari za mfumo wa elimu na ongezeko la wasomi wasio na ajira, nini kifanyike

    UTANGULIZI Kwa muda mrefu tumekuwa tunajiuliza nini hasa muarobaini wa ajira kwa wahitimu nchini? Kwanini wasomi hawaajiriwi au kuajirika? Upatikanaji wa ajira ni suala mtambuka ambalo watanzania wanajiuliza bila kupata majibu ya maswali haya: Je suala ni wasomi wenyewe je ni ukosefu wa stadi...
  18. Miss Zomboko

    UN: Mauaji ya Albino yameongezeka kipindi cha Coronavirus kwa sababu ya Umasikini

    People being plunged into poverty during the COVID-19 pandemic has led to an increase in the killing of people with albinism, the outgoing UN appointed independent expert, Ms Ikponwosa Ero, said on Thursday. Ero stated that people had been turning to witchcraft “because of the mistaken belief...
  19. ROJA MIRO

    SoC01 Ongezeko kubwa la Wasiopiga Kura katika Uchaguzi Mkuu. Nini kifanyike?

    Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka wazi kwamba,Kila raia wa Tanzania aliyetimiza miaka 18 anayo haki ya kupiga kura katika uchauzi...
  20. Chani Mohamedi

    SoC01 Njia ya upatikanaji wa fedha kupitia mzunguko wa fedha nchini

    Mzunguko wa fedha ni kiwango cha fedha ambacho kipo katika jamii kupitia matumizi mbalimbali ya serikali. Mzunguko wa fedha hutokana na sera mbalimbali ambazo ni zimewekwa na Bank kuu katika kuruhusu kiwango cha mzunguko wa fedha KWA NAMNA GANI MZUNGUKO WA FEDHA UNAWEZA KUWA MDOGO Mzunguko wa...
Back
Top Bottom