Utangulizi:
Kwa muda mrefu mafuriko yamekuwa yakiharibu miundombinu ya uchukuzi na usafirishaji nchini, pia kuleta maafa ya vifo kwa raia na mali zao, na kwa ujumla hurejesha nyuma kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Na mara nyingi viongozi wa serikali hutazama majanga ya mafuriko na...
Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids).
Kulingana na takwimu, maambukizi ya VVU kwa wasichana katika kundi hili la umri yameongezeka kutoka asilimia 14 katika kipindi cha...
Shalom,
Tucheke kwanza
"Oalaa kalooo'
Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na wanapenda sana interview zenye maudhui ya mapenzi na kusambaza injili zenye kugusa mapenzi
Tutaona...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
aondoke
hata
hii
inauma
kipindi
kisa
kumuacha
kuoa
kuoa single mother
kuu
mfupi
mkewe
mtoto
muda
mwanaume
ndoa
ongezeko
sababu
single
single mother
single mothers
tamaa
vijana
wanaume
Sipingi Watu kutengana kwa kukubaliana kutokukubaliana, LAKINI inafikirisha zaidi pale unapogundua kuwa "kuachanishwa" kwenu kulikua na nguvu flani nyuma yake.
Katika pita pita Zangu mara kadhaa nimeona kituo hiki kikitajwa kuwa na "Vishoka" kama ilivyo sehemu nyingine kama TANESCO ambao...
Nimekutana na hii discussion hapa ikidai kwamba Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la makanisa na wachungaji. Hali hii imeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa matumizi mabaya ya makanisa kwa ajili ya utakatishaji fedha.
Hapa wadau walikua wanasema hizi ni baadhi ya njia...
UTANGULIZI
Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii adhimu, ya kuleta mapendekezo chanya kwa maendeleo ya Taifa letu. Ningependa kuanza kwa kuuliza, Je Tanzania tuitakayo ni ipi? Ni Marekani ya sasa yenye ushawishi wa kiuchumi Duniani? Au ni Dubai ya sasa yenye majengo marefu ya...
SILIKONI BONGO MKOMBOZI WA BUNIFU TANZANIA, ILI KUCHOCHEA ONGEZEKO LA AJIRA KATIKA NCHI YETU
Utangulizi
Ukitazama picha hapo juu wazo la uumbaji wa ulimwengu kama ambavyo maandiko matakatifu hutueleza linakuijia kichwani, lakini vile vile ukiendelea kuangalia vizuri utaona nembo za bunifu...
Chanzo: Adequate spacing between births may reduce stunting in children, Study
Utangulizi:
Afya ya watoto ni muhimu sana kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Hata hivyo, tatizo la watoto wafupi limekuwa changamoto kubwa nchini Tanzania. Watoto wafupi wanaweza kukumbwa na matatizo ya...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa unywaji wa pombe nchini unazidi kukithiri licha wastani wa wanaokunywa kupungua kutoka 26% mpaka 20%, hali ambayo amedai kuwa imekuwa ikichangia angezoko la magonjwa yasiyoambukiza.
Akizungumza leo April 23, 2024 alipokuwa akifungua mkutano wa kujadili...
Kuingia kwa wachimbaji wa kigeni na wawekezaji kutoka bara la Asia, hasa katika sekta ya uchimbaji, kunaweza kuleta fursa na changamoto kwa Watanzania.
Idadi kubwa ya wachimbaji wa kigeni na wawekezaji wengi wanatokea bara la Asia, hususan China. China ni moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi...
Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza miaka 40 toka kuondoka duniani.
Maswali kichwani mwangu ni mengi, hasa yanayotokana na umaskini...
Habari,
Naomba niende moja kwa moja kwa moja kwenye mada.
Zamani ilikuwa wakikutana vijana ambao wako balehe na kushiriki tendo basi asilimia kubwa ni ndani ya miezi kadhaa tu walishapeana mimba.
Lakini hali kwa sasa imekuwa tofauti mno kwani ukienda kwenye mahospitali dada zetu wanaotafuta...
PICHA: MTANDAO
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wajane wakimsikiliza Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum, Dk Doroth Gwajima wakati akizindua chama hicho tawi la Dar es Salaam.
WAJANE wanaongezeka kwa kasi nchini, Chama cha Wanawake Wajane Tanzania (CCWWT)...
Maneno ya kukana hoja Hizo yametolewa na Kitengo cha mawasiliano na uhusiano wa kimataifa Bungeni..
Jana Ijumaa tarehe 22 Machi, 2024 alipokuwa anahutubia mkutano wa hadhara Mjini Babati Mkoa wa Manyara na kisha Video yake kusambaa kwenye Mitandao ya Kijamii Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini.
Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati...
JESHI la Polisi mkoani Morogoro limesema kuna ongezeko la vitendo vya ubakaji na ulawiti vinavyohusisha wanafunzi wenye umri chini ya miaka 18 wanaotendana ukatili huo wanapokuwa shuleni.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama alibainisha hayo mjini hapo wakati alipochangia mada...
ONGEZEKO la uzalishaji wa pombe ya kienyeji aina ya ulanzi na mahusiano yake na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) limewaibua baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wakitaka usambazaji wa kondomu katika vilabu vinavyouza pombe hiyo kuongezwa.
Madiwani hao wameiomba kamati ya...
Ongezeko la BODABODA kujichukulia sheria mikononi vyombo vya usalama hamlioni hili?
Iwe kwenye mataa, taa ya rangi ya RED imewashwa bodaboda unawaona wanapita
Iwe kwenye pundamilia magari mengine yamesimama watu wapite bodaboda unawaona wanapita unaogopa kuvuka barabara hata kama magari...
Serikali ya China imetangaza kuwa uchumi wa China kwa mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la asilimia 5.2. Habari ambayo wachambuzi wa maswala ya kiuchumi duniani wanaiona kuwa ni habari inayoleta ahueni kwa dunia, hasa ikizingatiwa kuwa hali ya uchumi wa dunia kwa ujumla bado haijatengemaa.
Kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.