Habari, kichwa cha habari kinahusika. Nahitaji kazi za typing
Location: Huduma ni online.
Yeyote mwenye documents zenye format tofauti na anahitaji iwe typed tuwasiliane kwaajili ya kazi. Naelewa kuna platform kama fiverr ,guru,upwork n.k ila mimi nahitaji kuanzia hapa JF.
Naweza kutumia...