Habari wanaJF,
Mimi ni mwalimu wa kike niko Kagera. Nina degree ya elimu kutoka UDOM mwaka 2014 ndio nilimaliza nikiwa na G.P.A ya 3.4. Nina uzoefu wa miaka 4 mpaka sasa nikiwa kazini.
Mimi ni mtu ninayependa sana kujituma, kufanya kazi kwa bidii, ninauwezo mkubwa wa kutumia computer (MS word...