Mloganzila wanajitangaza kwamba wanataka kuanza kukuza makalio. Lakini najiuliza, kwa utaalamu upi? Kwa umakini upi? Wa watu wapi? Hawa hawa wanaosahau mikasi tumboni mwa wagonjwa? Hawa hawa wanapasua kichwa badala ya mguu?
Hawa hawa wanaomdunga ganzi nyingi kupitia kiasi (overdose) mama...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imevifungia vituo vitatu vya mafuta kwa miezi sita baada ya kubainika vilificha mafuta kati ya Julai na Agosti 2023.
Vituo hivyo ambavyo vipo katika mikoa mitatu tofauti vimekumbwa na shubiri hiyo baada ya kuthibitika vilificha mafuta...
Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt Samuel Gwamak
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt Samuel Gwamaka awataka wamiliki wote wa baa na kumbi za burudani kuzingatia Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya mwaka 2004 na Kanuni zake wakati wakiendesha shughuli...
Tumesikia hawa watuhumiwa wamekataa kutoa vielelezo vifuatavyo kama ushahidi.
1. Maelezo yao ya onyo
2. Wamekataa kurekodiwa sauti
3. Waandishi wa habari online na live hakuna aliyehojiwa
Serikali inapeleka ushahidi upi mahakamani?
Hukumu ya uhaini ni kunyongwa hadi kufa; wapo watu Tanzania wanakaa ofisini wanapanga wenzao wanyongwe hadi kufa.
Watanzania tunakwenda kwenye nyumba za ibada kufanya nini? Kumuita mwenzako muhaini hata kama atashinda kesi maanaye uliapa na kudhamiria anyongwe ndipo upate amani. Huu siyo...
Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
Kuna chama kinajiiita eti chama kikuu cha upinzani kimepoteza mvuto na kimepoteza sera sasa hivi wanaparamia kila tukio hawajulikani wanasimamia nini. Ndio mana Zitto amewa outshine.
Hatutaki chama chenye dalili ya ukabila kuhubiri kila saa uzanzibar na utanganyika
Hatutaki udini
Hatutaki...
Leo ni Mwananchi Day kila mtu anatambua hilo "Happy Mwananchi Day, Young Africans🎊
Pamoja na kutambulika kama ni Mwananchi Day, ila "haioneshi" kama ni siku yake mwananchi.
Kuna sababu nyingi zinazofanya hili tamasha kudoda siku ya leo, ikiwemo mikakati na mipango yao katika ngazi za uongozi...
Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao.
Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo...
"Nimeona kwenye mtandao, ndugu yangu balozi Dkt. Wilbroad Slaa na yeye akieleza mambo yake kwenye mtandao, moja ya watu ambao kwa miaka mingi nimewaheshimu, kwa umri wao, kwa nafasi zao, kwa usomi wao ni pamoja na Dkt Wilbroad Slaa.
Sasa na yeye pia nimuonye kwamba kwa umri wake, kwa hadhi...
Rais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia soka lao sio mfumo wa kuendeleza soka, kosa kama hilo walilifanya China.”
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini.
Ameyasema hayo jana Juni 14, 2023 mkoani Mwanza wakati akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa daraja la JPM (Kigogo-Busisi)...
Hi,
Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba ni kosa kubwa.
Kwa asili wanawake hawatabiriki na hawana upendo wa kudumu, mwanamke anataka kitu...
Hello hello,
Tusaidiane kujibu hilo swali tafadhari nimewiwa kujua sababu au umakusudi nyuma ya pazia na. Je, hayo maneno ya onyo hujumuishwa kwenye matangazo ya hizo bidhaa kabla ya kumfikia mteja?
Nawasilisha.
Shukrani kwa mwitikio wako.
Wadiz.
Heri ya Pasaka!
Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa...
Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine.
Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na...
Nilikuwa mteja mzuri wa parimatch lakini nimekuja kugundua ni matapeli. Unaweka hela inaingia vizuri tuh lakini ukija kutoa hela hawakuoneshi hela umetolea kupitia number gani halafu utakuja kuona hela haingihi then utawatafuta watakuambia tunafanyia kazi.
Mwishowe utakuja kuona ulitoa...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya vikali Viongozi wa Chama hicho Waliostaafu na kumaliza muda wao wa uongozi na ambaohawakubahatika kupata nafasi katika uchaguzi uliofanyika 2022 ndani ya chama hicho kuacha mara moja tabia ya kuvuruga chama.
Viongozi hao wameonywa kuacha mara moja...
Hii Taarifa ya TCRA ni taarifa nzuri na inayotoa katazo Kali Kwa wamiliki wa VYOMBO VYA HABARI KUTOA TAARIFA za kufikirika.
Kweli chombo Cha habari kinatoa taarifa ' eti Mtu kaenda Mbinguni kakuta Kuna Magorofa Marefu kama minara' haya mambo tukiyachekea Sasa madhara yake makubwa Kwa vizazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.