onyo

  1. Lycaon pictus

    Soft drinks na juisi ziwekewe onyo kuwa unywaji kupita kiasi ni hatari kwa afya zetu

    Hizi habari za soft drinks na juisi tumeiga tu kwa wazungu lakini watu weusi hazitufai kabisa. Kwanza metabolic rate ya mzungu ipo juu kuliko ya mtu mweusi. Pengine sababu ni wao kuishi maeneo ya baridi. Hivyo mzungu anachakata chakula haraka kuliko mtu mweusi. Pili magonjwa yatokanayo na...
  2. Cash Generating Unit

    Rais Putin aionya Marekani dhidi ya Syria

    Haya sasa mambo yanazidi kuwa mengi then muda mchache raha ya hii dunia uwe mtabe. Marekani ni taifa ambalo ni wezi, vibaka, waporaji, majambazi bila kusahau maovu na uchafu wao kwenye hii dunia. Putin ameionya marekani kuachana na uwizi wao wa mafuta pale Syria mara moja pamoja na mambo yao ya...
  3. N

    Utabiri wa Hemed Kivuyo kwa Manara watimia. Alitoa onyo hawakusikia

    Lile kanjanja lialia shabiki la kutupwa la utopwinyo fc lililokuwa ITV Hemed kivuyo last year lilitoa onyo kuhusu ALHAJI ALBINO na alichosisitiza kwamba popote hyo jamaa alipo basi matatizo yake binafsi huyasukumia yawe ya taasisi, naaam yameonekana kwenye suala la Karia kuna wengine walidai...
  4. Replica

    Spika Tulia Ackson ampa Onyo kali Mwita Waitara kutorudia kudharau madaraka ya Spika

    Leo Juni 14, 2022 amesema Mwita Waitara ameshindwa kuthibitisha watu kuuawa jimboni kwake pia alibeza maamuzi ya Spika alipoipa Serikali siku 90 kuchunguza. Waitara amekiuka kanuni ya 5 ya Bunge inayomtaka kukata rufaa kwa maandishi endapo hataridhika na maamuzi ya Spika badala yake akaenda...
  5. Samatime Magari

    🚨ONYO: Ukinunua gari used kabadilishe Jina

    Ni Mwishoni mwa mwaka 2021 Kipindi cha sikukuu Kabla hatujaupokea mwaka Kimario alinipigia simu asubuhi asubuhi akaniambia kuna issue very sensitive anahitaji msaada wangu, Nilijaribu kudadisi issue ni nini akaniambia ni muhimu tuonane kwanza ndio ataniambia. . Alisisitiza issue ni sensitive...
  6. nyabhingi

    Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

    1. Atoa onyo kwamba watayateketeza. 2. Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito. 3. Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
  7. TODAYS

    ONYO: Wanaume Kunyonya Maziwa ya Wake zenu

    Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni. Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao...
  8. JanguKamaJangu

    China yaanza mazoezi ya kijeshi kuzunguka Taiwan ili kutoa onyo kwa Marekani

    China imekiri kuwa imeanza kufanya mazoezi kuizunguka anga ya Taiwan ikiwa ni mkakati wao kutoa onyo kwa Marekani ambao wametoa kauli ya kuonesha wameanzisha mchakato wa kuilinda Taiwan. China imesema kuwa inachofanya Marekani ni unafiki na ni kazi bure kusema jambo moja na kufanya lingine...
  9. Nyuki Mdogo

    Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  10. ngajapo

    Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

    Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya juu zaidi za Moscow. "Iwapo mtu ataamua kuingilia kati matukio yanayoendelea kutoka nje na kuunda...
  11. MK254

    Amani DRC: Rais Uhuru aongoza viongozi wa EAC kutoa onyo kwa waasi

    Waasi waamrishwa waamue moja, kati ya makubaliano ya amani au watembezwe kichapo kutoka kwa jeshi la pamoja la EAC. ======== East African leaders on Thursday issued a warning to armed groups in the Democratic Republic of Congo, urging them to choose dialogue or be considered enemies of all...
  12. N

    ONYO: CEO Barbra maadui mtasafiri nao kwa ndege kwenda Afrika Kusini, kuweni waangalifu

    Narudia tena dada yangu kama mwaka jana uliweza kugundua mapema una mole msukule ndani ya team ukamkataa na aka force kwa nauli za maadui zetu kwenda south africa na kulala kwenye coach basi jua safari hii mziki utakuwa mkubwa sana Niko chini ya miguu yenu uongozi wa simba, hawa wanaoitwa...
  13. John Haramba

    Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

    Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'. Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba...
  14. JanguKamaJangu

    Rais Mwinyi atoa onyo kwa watakaopandisha bei ya bidhaa Zanzibar

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara kuacha kutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kama kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Dk. Mwinyi alieleza hayo jana katika risala maalum aliyoitoa yenye lengo la...
  15. Analogia Malenga

    Marekani yatoa onyo jipya la usafiri wa Urusi

    Marekani imetoa onyo jipya la usafiri kwa Urusi ambayo inasema mamlaka "inaweza kuwatenga na kuwaweka kizuizini" Wamarekani nchini humo. Ikitaja uwezekano wa kuwanyanyasa raia wa Marekani, onyo hilo linarudia wito kwa Wamarekani kutosafiri kwenda Urusi au kuondoka "mara moja". Pia ilionya...
  16. John Haramba

    Watakaoiba vibao vya makazi kuwa chuma chakavu wapewa onyo kali

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Sunday Deogratias ametoa onyo kwa watu watakao onekana kung'oa vibao vya anuani ya makazi na kwenda kuuza kama vyuma chakavu na kwa watakaobainikia watachukuliwa hatua za kisheria. Hayo ameyasema alipokuwa katika hafla ya siku ya wanawake wilayani...
  17. John Haramba

    Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika

    Bodi ya Ligi Kuu yatoa onyo kali kwa Haji Manara, Bumbuli, ni kuhusu waamuzi kuongeza dakika
  18. chizcom

    Onyo kwa watakaotumia App ya Yellow Wallet

    Teknolojia imekuwa sana kulingana na mahitaji. Kuna mfumo ambao dunia sasa inatumia kwa ajili ya malipo na kupokea malipo ya kidigitali kwa jina cryptocurrency. Bado nazidi kurudia kuhusu hii App kueleza sababu ambazo kesho utaweza kunishukurua. Hawa Yellow Wallet walikuja na mtindo mzuri...
  19. Display Name

    Nimesikitishwa sana na Walimu hawa. Hawakutumia busara kwenye hili

    Habari wakuu, Siku chache zilizopita imesambaa video ya Wanafunzi ambao kwa muonekano wanaonekana ni wa Shule ya Msingi (Sifahamu jina la shule). Video hii inasikitisha mno kwa kuona ambacho wanafunzi wanakiri walichofanya. Ipo hivi, hawa wanafunzi wakiume wanakiri kuwa na na tabia ya...
Back
Top Bottom