Kuna watu wanapo pitia kwenye kipindi fulani kigumu au wanapo kuwa wanahitaji jambo fulani litokee katika maisha yao huwa wanaweka nadhiri ama kujiapiza kwamba endapo watafanikiwa kupita salama katika kipindi hicho kigumu au endapo jambo wanalo litaka litatokea...
Mkuu wa wilaya ya Hau mh Ole sabaya amewaonya matapeli wote waliojiingiza wilayani humo kwa lengo la kuwalaghai na kuwadhulumu wananchi wanyonge
Ole sabaya amesema hayo wakati aliposikiliza malalamiko ya wanakijiji wa Machame waliotapeliwa na taasisi moja ya kijamii ambayo haijasajiliwa na...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Moi kilichopo nchini Kenya wakumbushwa matumizi sahihi ya choo, ambapo wameonywa kuachana na tabia ya kujisaidia kwenye sakafu za hosteli za chuo hicho na kutumia barakoa kama 'toilet paper'. Onyo hilo limetolewa tarehe 15/02/2021 na uongozi wa Hosteli za Chuo hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri ameonya na kuwatahadharisha wasimamizi wa wanafunzi watakaothubutu kuchepusha na kuingiza sokoni taulo za kike zilizokabidhiwa kwa shule 28 za sekondari Mjini Njombe kwa ajili ya matumizi ya wasichana waliopevuka.
Msafiri ametoa onyo hilo leo Januari 7...
Toka kampeni imeanza hawakuzungumzia wala kufuatilia wanayo yafanya Mawaziri, Wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa, hawa watendaji wamefanya mengi sana wengine wamejihusisha nakuwaagiza wananchi kutowachagua wapinzani kama Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya alifanya kampeni kata hadi kata, alizuia...
Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake
Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, uliotolewa jana ukimtaka...
30 September 2020
WAZEE WA CHAMA CHA CHADEMA WATOA ONYO KALI KWA SERIKALI YA MAGUFULI NA JESHI
Huu wa Uchaguzi Mkuu 2020 vyama vimeamua kusimama kidete na kusema basi dhidi ya chama-dola cha CCM Mpya kinachotumia Tume ya Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na vyombo vingine vya dola kujaribu...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Bernard K. Membe amenena yafuatayo :"Tukio la kutekwa kwa Msaidizi wangu Jerome Luanda jana mara baada ya kutua kwenye kiwanja cha Kimataifa cha JK Nyerere international Airport nitalizungumzia kwa undani Saa 10 kamili leo. Nimewapa wahusika wanaodhani siwajui...
Katibu wa CCM wilaya ya Tabora mjini ndugu Mrema amemtaka mkuu wa wilaya hiyo mh Komanya kuacha mara moja tabia ya kuwavamia wajasiriamali akiwa na polisi na kuwataka wanunue vitambulisho kwa lazima.
Mrema amesema wamempa onyo DC Komanys kwa sababu kila wakimwita kwenye vikao anapiga chenga...
Watu walitegemea makubwa katika ujio wa huyu muheshimiwa asiyeshaurika kabisa. Kama angejipanga vizuri kwa hoja nzuri, Tafiti na Kuzuia hasira alikuwa na nafasi ya kushinda kwenye UCHAGUZI lakini kumbe ni hopeless kabisa.
Hivi nani anayemuandalia hotuba Lissu. Huenda anatumika.
Leo namuonya...
Serikali imewataka wakimbizi waliopo nchini kuacha kujihusisha na harakati za kisiasa katika makazi ya wakimbizi yaliyoko katika maeneo mbalimbali nchini na kwamba wanapaswa kuishi kwa kuzingatia sheria za nchi.
Onyo hilo lilitolewa jana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene...
Wagombea 60 wa ubunge jimboni Shinyanga Mjini wamepewa onyo kali baada ya kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Katibu wa CCM mkoani Shinyanga amesema atalifutilia mbali zoezi la kura za maoni kama wagombea wataendeleza vitendo hivyo haramu vya kununua kura
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana...
Jumuiya ya umoja wa vijana WA CCM Wilaya ya Iramba mkoani singida Imemtumia salamu aliyekuwa mwanachama wa CCM Bernard Membe na baadae kufukukuzwa uanachama na Kamati Kuu.
Jumuiya hii kupitia kwa mwenyekiti wake comrade Joseph Mnemba imesema kuwa haitamvumilia mtu yeyote anaepingana na...
Wasalaam..!
Nimemsikia Mh: Rais leo akiwatuma IGP na Mkurugenzi wa TAKUKURU wawafikishie salam vijana wao wa mkoa wa Arusha na kuwapa onyo la mwisho kwani nao ilibidi wapigwe panga! Kwani wamefanya nini?
Wenye information mtujuze tafadhali
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
Majaribio yanayofanyiwa dawa ya ugonjwa wa malaria Hydroxychloroquine ili kuona iwapo inaweza kutibu virusi vya corona yamesitishwa kutokana na hofu ya usalama wake, shirika la afya duniani WHO limesema.
Vipimo vilivyokuwa vikifanywa katika mataifa kadhaa vimesitishwa kwa muda kama hatua ya...
Wakuu ngoja twende kwenye mada,
Ndani ya miaka miwili yenye miezi 24 na ushehe mwezi huu nimepigika sana kuliko miezi mingine nadhani ingawa sina kumbukumbu sahihi.
Sasa kuanzia jana kuna fedha niliitazamia kuangia kwenye account yangu ya CRDB, jana ikapita patulo yaani kappa, leo kuanzia...
Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma .
Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi .
Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi...
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya.
Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.