Kamati ya Maadili ya TCRA imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu maudhui yenye ukakasi ambayo ni kinyume na Kanuni za Mawasiliano
TCRA ikimnukuu Askofu Josephat Mwingira...
Wale waliodhani Wana deal na Samia, Sasa nadhani wanajua Wana deal na taasisi ya Urais moja kwa moja, taasisi hii ikifungua makucha yake, ni hatari sana.
Pale Kuna full squad ambayo imeapa kumlinda Rais na Urais dhidi ya chochote, pale ndio chem chem ya ulinzi na usalama wa nchi. Ni angalizo...
Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge.
Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
ajabu
bado
bunge
chanzo
dhaifu
dikteta
jibu
kali
katiba
kiburi
kiongozi
lema
maendeleo
maisha
majanga
mama samia
mgonjwa
mmoja
msamaha
mungu
mwaka
namna
nchi
ndugai
onyo
samia
serikali
sheria
siasa
spika
spika ndugai
tabia
taifa
tanzania
uganda
wake
wako
wananchi
Kamati ya Maudhui ya TCRA, leo Jumatano imeipa onyo Wasafi Televisheni, pamoja na kuitaka iombe radhi mara tatu kwa siku, kuanzia kesho Alhamisi hadi Jumamosi, huku ikiiamuru ilipe faini ya Sh. 2 Mil., baada ya kukutwa na hatia katika kosa la kurusha maudhui yenye kukashifu dini ya Kikristo...
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unadharau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.
Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye. Tatizi unaona kwa...
Hamisa Mobetto hana furaha hii baada ya kupitia kwenye mtandao wake wa kijamii kuwakashifu watu wanaomhusisha na hadithi ambazo hajui chochote kuzihusu.
Anasema kwamba wale wanaomhusisha na wanaume ambao hawachumbii wakome.
Kwa maana hafurahishwi na watu hao wanaounganisha picha yake na...
Baada ya semaji la nchi bugatinho kuwatawdhalisha kolo utelembwe kutofua shumiz za vunja price kwa quality mbovu madhara yake yashaanza kuonekana kabla ya kuanza kufuliwa,zikifuliwa si zitakua balaa
Kununua Simu kwa Mtu kumewaweka Watu wengi kwenye matatizo kutokana na Simu husika kuwa na historia ya kuhusika katika matukio ya Uhalifu.
Hakikisha Simu unayonunua ni halali kutoka kwa Muuzaji unayeweza kuthibitisha kwa risiti kwamba alikuuzia Simu hiyo. Usishawishike na bei ndogo...
MEI 13, 2021
Anaandika Mchambuzi, SHAFII DAUDA.
Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda
By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na...
Sina la kusema sababu aliyeandika waraka ni jamaa lialia la utopolo hata likitangazaga kwenye tv huwa linalia kabisa utopolo wakiwa wamepigwa na kina kapumbu
*****************
Haji Manara Bomu linalosubiri Kutupasukia
Anaandika Hemed Kivuyo.
Wananchi leo ni Siku yetu, tusherehekee tufurahi...
Wanagambo wa Taliban wametishia kuyachukulia hatua mataifa ya Marekani na Uingereza ikiwa watashindwa kuondoa wanajeshi wao kufikia Agosti 31 mwaka huu.
Kauli ya Taliban inakuja siku moja baada ya Rais Joe Biden kusema kuwa kuna uwezekano wa kuongeza muda wa wanajeshi wao kuendelea kukaa nchini...
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki, Mulamula, ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu hizo kama zinawakataza mabalozi kuhudhuria kesi mahakamani au la.
========
Waziri wa Mambo ya Nje...
Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM.
Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu.
I warn you...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali.
Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti...
Sote tunakumbuka ulivyotukana Wazee wetu tena kwa kiburi majivuno ukifoka kama unawafokea watoto wadogo. Hilo halikuwahi kufanyika na kiongozi mwingine yeyote.
Kitendo cha kuhamishiwa Mkoa kupelekwa Mara wakati 'mwenzako' anatumbuliwa unatakiwa kukitafakari na kuona ni onyo la mwisho, unatakiwa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Chongolo anafanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma.
=====
KATIBU MKUU CCM AWAONYA WENYE NIA OVU SUALA LA UMEME, ATOA MAAGIZO KWA WIZARA TATU
CHAMA Cha Mapinduzi CCM...
Wengi wamekuwa wakiuliza kama kuna Mtanzania mwenye ujasiri wa kukataa uteuzi wa Rais.
Ukweli ni kwamba wapo na imepata kutokea kwa Mwalimu Mishael Muze ambaye alikataa uteuzi wa kuwa mkurugenzi wa maendeleo na kuendelea na kazi yake ya Mkuu wa Shule ya Sekondari Mwenge Mkoani Singida...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola.
Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.