orodha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Orodha ya shule

    Habari wakuu!, Naomba kujua wapi naweza kupata orodha ya shule binafsi Tanzania? Iwe ofisi au mtandaoni. Nina shida nayo sana.
  2. Samia Suluhu Hassan aingia kwenye orodha ya watu wenye ushawishi mkubwa Duniani miongoni mwa Waislamu

    Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Tanzania aliyeingia madarakani baada ya kutokea kwa kifo cha mtangulizi wake John Magufuli Machi 2021. Ameweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu zaidi nchini Tanzania. Pia anakuwa rais wa pili wa Tanzania kutokea Zanzibar, wa kwanza akiwa...
  3. M

    Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa. Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu zaidi, Mhe Kafulila anasema hata Japan ambayo ni nchi ya...
  4. Orodha ya vitabu nilivyosoma 2022

    Nanyaro EJ Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa na utamaduni wa kushirikisha kwenye majukwaa mbalimbali orodha ya vitabu nilivosoma kwa mwaka husika Lengo kuu ni kuhamasisha usomaji wa vitabu kwa jamii ya Watanzania na Afrika kwa ujumla,ili kuondoa ile dhana potofu kuwa ukitaka kumshinda Mwafrika...
  5. L

    Tunisia: Mchuzi wa pilipili wa Harissa wawekwa katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO

    Muuza duka anaonesha sahani ya mchuzi wa pilipili wa Harissa katika soko huko Tunis, Tunisia. Mchuzi wa Harissa unaotengenezwa kwa pilpili umewekwa katika orodha ya urithi wa dunia na Shirika la Elimu na Sayansi la Umoja wa Mataifa(UNESCO).
  6. Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

    Katika uzi huu tunataka kuzifahamu kozi ambazo hazitoi ajira kwenye taasisi binafsi na serikalini. Hivyo kama una orodha yako uwanja ni wako sasa tutajie kozi hizo. NOTE: Tunaomba mtuandikie kozi sio stori.
  7. Orodha ya Watu ambao hata wakikukosea huwezi kushindwa nao zaidi ya kumuachia Mungu

    ORODHA YA WATU AMBAO HATA WAKIKUKOSEA HUWEZI KUSHINDANA NAO ZAIDI YA KUMUACHIA MUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna watu kwenye hii dunia wamepewa mamlaka makubwa mno. Wanaweza kukufanya Jambo lolote lakini wewe usiwe na chochote cha kuwafanya. Mara nyingi watu hawa unashauriwa uende...
  8. Rais Ruto kuingia kwenye Orodha ya Madikteta?

    Rais Ruto yumo katika hatari ya kujichafua akikubali shinikizo la vikaragosi wake kuondondoa vipindi vya urais. Pendekezo la mbunge wa UDA la kubadilishwa kwa Katiba ili kuondoa vipindi viwili vya urais linamwekea mtego Rais Ruto wa kuingia katika orodha ya marais wa Afrika ambao wamekatalia...
  9. Orodha ya waliokufa na wasiokufa angalia hapa kama una ndugu yako

    WALIOPELEKWA HOSPITALI 1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM 2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA 3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE 4. DR FELIX OTIENO 37YRS-JALUO-MKRISTO -BUNDA-0765779548 6. SHAMIRU ISMAIL BKB 34YRS- ITAWA-MUHAYA-DAKTARI-0753527776 6. PROTAS MUSSA - 38YRS NGARA 7. AMOS...
  10. X

    Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo

    Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo Habari njema kwa waombaji wote wa mkopo wa HESLB, Allocation ya mkopo bechi ya kwanza sasa inapatikana mtandaoni kuangalia allocation ya mkopo Tembelea Tovuti ya HESLB ya Maombi ya Mikopo na Mfumo wa...
  11. G

    Vyuo vinavyotoa Masters degree ambavyo havipo kwenye orodha ya TCU (Post-Graduate guide book)

    Habari wanaJF Nilikuwa napitia kitabu cha TCU cha "Postgraduate Guidebook", Nikaona kuna baadhi ya vyuo kama CBE, TIA, IIA n.k ambavyo ni vya serikali na vinatoa hadi elimu ngazi ya Masters lakini kwenye kitabu hicho. Hii inamaanisha hizo kozi hazitambuliki na TCU? Au TCU wamevisahau...
  12. Kinana aishauri Marine Service Co. LTD kujiendesha kibiashara. Afurahishwa na UNESCO kuiingiza MV Liemba ya Tanzania kwenye orodha ya urithi wa dunia

    KINANA ASHAURI MSCL KUJIENDESHA NA KUFIKIRI KIBIASHARA ZAIDI, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini Marine Service Company Limited kujiendesha na kuanza kufikiri kibiashara ikiwemo kuomba dhamana za...
  13. Orodha ya makocha EPL waliofukuzwa baada ya kufungwa na Liverpool

    Mourinho kafukuzwa mara mbili na Liverpool...jumla wanafika 6 sasa...hatari sana 1. Jose Mourinho -chelsea, Man U 2. Marco Silva - Everton 3. Fransesco Guidolin - Swansea 4. slaven bilic -west ham 5. slavisa Jokanovic -Fullham 6. scott Perker -bournemouth... Hii list itaongezeka Tu Nani...
  14. Tazama orodha ya zana zinazotolewa kwa Ukraine

    Mataifa ya Magharibi yameendelea kutoa msaada kwa Jeshi la Ukraine ili liweze kujikwamua dhidi ya mashambulizi ya Urusi. USA ameonekana kuwa kinara huku hata nchi zenye uchumi mdogo kama Poland ikitutumua FUATILIA HAPA Ukraine weapons: What military equipment is the world giving? By David...
  15. Mtanzania mwenye Orodha ya ahadi alizowahi kuzitoa Rais Samia na zikafanyika Aziweke hapa

    1…….. 2……..
  16. Maswali 100 ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ORODHA YA MASWALI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022 Maswali yote ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanatakiwa kujibiwa na Mkuu wa Kaya husika, isipokuwa MASWALI YA HALI YA UZAZI kuanzia swali Namba 67 hadi 71 ambayo yanatakiwa yajibiwe na mwanamke...
  17. M

    Orodha ya mishahara ya Marais wa Afrika ni jambo la kujiuliza na kutafakari

    Ni Rais ghani Afrika anayepokea mshahara mkubwa kuliko wote Afrika , kwa mujibu wa mtandao wa Africa business , walichapisha chapisho la viongozi wa Afrika wanaopokea mshahara mrefu kuliko wote, ambapo wengi wa viongozi hao wana utajiri wao binafsi ukiachana na uongozi. Ambapo kipindi cha...
  18. Orodha ya timu nisizozipenda na haitatokea nizipende abadan

    Mlemhala bhabha? Habarini wakuu? Timu za taifa ambazo sijawahi kuzipenda, na wala haitatokea nizipende abadan. 1 Israel 2 Brazil 3 USA 4 South Africa 5 England, though akikutana na hao wa4 nitashabikia England. Klabu nisizozipenda ni, 1 Liverpool 2 Real Madrid 3 Man u 4 Chelsea 5 Arsenal 6...
  19. Mwenye orodha ya Wakuu wa Idara za Halmashauri na Majiji nchini Tanzania

    Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
  20. Orodha ya watu wanaojiona wajanja nchi hii

    ORODHA YA WATU WANAOJIONA WAJANJA NCHI HII! Anaandika, Robert Heriel! Nchi hii inamambo Sana. Leo sina mengi ya kusema, nijikite kwenye Uzi. Ifuatayo ni orodha ya Watu wanaojiona ni wajanja na Werevu. 1. Wasanii wa Muziki, BongoFleva Kundi hili ndilo linaongoza Kwa kudhani kuwa wao ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…