Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Tanzania.
Ifuatayo ni List ya Miji,Majiji,Manispaa na Wilaya 50 Kati ya 184 ambazo zina mzunguko Mkubwa wa fedha na kwamba wananchi wake Wana kipato cha uhakika na hivyo kuwa maeneo yanayofaa zaidi kwa fursa za biashara mbalimbali.
Mpangilio umewekwa kwa...
Habari wadau!
Amini usiamini lakini huu ndio ukweli waru awa wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria kuliko watu wowote.
1. Wajawazito
2. Vibonge
3. Wakimbiaji (joggers)
4. Watu wenye bustani za maua nyumbani kwao
5. Walevi
6. Wanaopenda kuvaa night dress nyeusi au nguo nyeusi wakati wa...
Nchi zaidi ya 50 nyingi za kutoka mabara ya Afrika na Asia zimo katika orodha iiwtayo "RED LIST",
Orodha hiyo iliwekwa kwa zile nchi ambazo hazitoi takwimu za kuridhisha juu ya idadi ya watu waloambikizwa ugonjwa wa Covid-19 na pia idadi ya vifo vilivyotokana na maambukizi ya ugonjwa huo...
Miaka michache nyuma kabla ya ajira kuwa kitendawili (kuwa adimu)kuna kazi hazikupendwa kabisa japo zilikuwa na pesa nzuri sana.
1.MAMA NTILIE/BABA NTILIE.
Kwanza ilionekana kazi wanayofanya watu duni wasiokuwa na elimu. Wasiokuwa na kazi walikuwa tayari kukaa nyumbani kuliko kufanya kazi hii...
Naona kila sehemu ni orodha ya walioteuliwa tu
Naomba mwenye orodha ya waliotemwa tuiweke hapa tuione..
Nataka kuona yupi labda alikuwa mchapakazi katemwa 'kimakosa'..
Mwenye nayo please naomba iweke hapa
=====
Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi...
Habari za leo ndugu zangu,
Kabla ya yote naomba nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu nyote ndugu zangu wana JamiiForums.
Nimeandika huu uzi kwenu kuomba mnijuze orodha ya NGOs za Social work (kazi za Jamii) zilizopo Dar es Salaam.
Naheshimu mchango wenu
Hizi hapa ni orodha ya kesi zilizopo CAS ambazo zitasikilizwa mwezi wa sita hadi tarehe 1 mwezi wa saba
02.06.21
CAS 2020/A/7582 Al Sadd Sports Club v. Parma Calcio 1913 srl (FC Parma)
CAS 2020/A/7583 Parma Calcio 1913 srl (FC Parma) v. Al Sadd Sports Club
CAS 2021/A/7760 André Onana v. UEFA...
Idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi mwaka 2021 imeongezeka kwa asilimia 14.
Ongezeko hilo linakuja baada ya jumla ya watahiniwa waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu...
Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa.
List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa hata kwenye 15 hayupo.
Hii ina maana vile vyanzo vya mapato vyote inavosemekana vyake havimuingizii...
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
Hapa...
Kuna majirani wanajua sana kujinadi, yaani makelele kila wakijenga chochote, sasa hapa taarifa za kitaalam ambazo huchuja uchafu wa makelele na kuonyesha hali kama ilivyo.
The Africa Infrastructure Development Index (AIDI) is produced by the African Development Bank. The AIDI serves a number of...
Ifuatayo ni orodha ya Miji na Halmashauri 41 pekee kati ya Halmashauri 165 Tanzania ambazo watu wake Wana kipato cha Uhakika na kuwa na purchasing power inayotoa fursa ya uhakika wa biashara kwa Tanzania.
Orodha imehusisha Halmashauri zenye mapato yanayoanzia shilingi za Tanzania bilioni 3.5...
1. Hisa ni nini?
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.