othman chande

Mohamed Chande Othman (born 1 January 1952) is a Tanzanian lawyer and a former Chief Justice of Tanzania.
Internationally he is highly respected for his deep understanding of political, legal and other dimensions relating to International Humanitarian Law, Refugee Law, Criminal Law and Evidence, and Peacekeeping. He held various positions as expert advisor and UN prosecutor at criminal tribunals such as the UNDP Cambodia, the East Timor (UNTAET), the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR), UN Human Rights Council for a) the Israel-Lebanon Armed Conflict and b) the Southern Sudan.
Currently he is head of the UN Independent Panel of Experts that examine new information on Dag Hammarskjölds death.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mch Mbarikiwa Awachapa za uso wazee wa taifa hili: Mzee Othman Chande, Palamagamba Kabudi, Kitila Mkumbo, mch Hananja, Joseph Butiku, Mrisho Moto nk

    https://youtu.be/DmMvTZn92Cs?si=Pdj11TtTgLHCmAPc Tazama na sikiliza hii mpaka mwisho. Ameanza kwa kunukuu maadiko haya toka katika Biblia - Neno la Mungu ambayo ni Habari Njema kwa Watu Wote yaani👇👇 Mithali 16:31 SUV "....31 Kichwa chenye mvi ni taji ya utukufu, Kama kikionekana katika njia ya...
  2. JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa kutuonyesha "ukihiyo" wa Othman Chande, wengi hatukumjua kabla

    Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo. Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka tulikuwa tunamjua, kwa kweli wote ni wale wale. Ripoti aliyotoa na anayoitetea ni kinyume kabisa cha...
  3. JamiiForums Tanzania Jaji Mstaafu Othman Chande: "Waliokatwa majina yao" ndio waliohamasisha na kuchochea vurugu na mauaji ya Oktoba 29

    Ripoti Tume ya Samia chini ya uenyekiti wa "Jaji Mstaafu" Othman Chande is full of self - contradictory statements and statistics of the number of deaths Tunamshukuru Mungu wa mbinguni sana ktk Yesu Kristo kwa kuwa amewafumba macho na akili ili wakose ufahamu, wajichanganye na kisha waonekane...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Othman Chande na wenzako, historia itawahukumu kikatili sana kama mtatumika

    Najua jaji Othman Chande yuko compromised toka siku anachaguliwa, bila shaka pia ni mtu wa mfumo hakuna lolote jipya tunaweza tegemea. Japo hii tume haina uhalali wowote lakini inaweza kurejesha imani kwa kusimamia haki kama ile tume ya katiba mpya ya warioba ilivyotushangaza. Kama Chande...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande anatoa ONYO kama nani, asifikiri enzi hizi ni sawa na enzi zao

    Badala ya Tume kujenga ukaribu na wananchi ili wapate wanachokitaka wamejipa mamlaka ya upolisi na kuanza kuwafokea. Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora amalizie miaka yake iliyobaki kwa kucheza na wajukuu zake nyumbani, lkn kama amechagua tamaa ya pesa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande ateuliwa kuwa mwangalizi wa uchaguzi wa Mauritius unaotarajiwa kufanyika tarehe 10 Novemba, 2024

    Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mheshimiwa Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, kuwa Kiongozi wa Misheni ya Uangalizi ya Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…