G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo.
Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka tulikuwa tunamjua, kwa kweli wote ni wale wale.
Ripoti aliyotoa na anayoitetea ni kinyume kabisa cha taaluma yake ila bado anashupaza shingo. Kwa ujumla amepoteza sana kwa hili.
Unatoaje ufafanuzi kwa watu kwa kitu wasichokijua? Huu si ndiyo ukihiyo wenyewe? Mbona utetezi mwingi sana? Hakika Mungu ni mkuu.