padre charles kitima

Charles Kitima ni Padre kutoka Tanzania ambaye mara kwa mara amekuwa akipaza sauti kuhusu utawala bora na misingi ya haki za binadamu.

Padri Kitima ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) na kabla ya hapo alishawahi kuwa Makamu wa Chuo cha St Augustine (SAUTI) mkoani Mwanza.

Padri Kitima ana PHD ya Sheria akiwa amebobea zaidi kwenye sheria za kikatiba na haki za binadamu (Constitutional Law and Human Rights Law)

April 30 alishambuliwa na watu wasiojulikana kwenye Makao Makuu ya TEC, Kurasini jijini Dar Es Salaam ambapo alipigwa maeneo ya kichwani na kitu butu na hivyo baadae alifikishwa hospitali kwa matibabu zaidi.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Majibu Yangu Kwa Baraza La Maaskofu Katoliki TEC Na Padre Charles Kitima Juu Ya Hoja Ya Kuombana Msamaha kwa kile kilichotokea Uchaguzi Uliopita

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni Hoja Ambayo ningependa niijibu na kuitolea majibu na ufafanuzi ili Kujenga Uelewa wa Pamoja Kama Taifa na watanzania wote kwa Ujumla wake. Serikali yetu Chini ya Uongozi Shupavu, Madhubuti na Imara wa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Iliumizwa Na Imeumizwa sana...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Padre Kitima Ameanza Kuwa Mnyenyekevu Na Heshima na Kutambua Kuwa Rais Na Taasisi Ya Urais Haichezewi Wala Huwezi Kushindana nayo ama kuiletea Dharau.

    Ndugu zangu Watanzania, Nimemsikiliza vyema sana Padre Charles Kitima neno kwa neno na kwa Umakini Mkubwa sana na kuangalia Uso na Macho yake pamoja na kuangalia Moyo wake kupitia Maneno yake na namna anavyoyatamka na kuyatoa Kinywani Mwake. NiSeme Wazi Kuwa Sasa Naona mabadiliko kutoka kwake...
  3. R

    JamiiForums Tanzania uchambuzi wa press ya Fr. Kitima/TEC: Kiongozi anapo apishwa lazima tumtii. Hata kama alipindua serikali? Hata kama aliiba kura in a bright day light?

    Ukimsikiliza katika dakika ya 6.09 , Fr. Kitima anasisitiza kuwa LAZIMA KUMTII KIOGOZI ALIYEAPISHWA. Najua ni philosophy yenye nia nJema ili kuleta harmony, kuepusha mauaji, uvunjifu wa sheria na maovu mengine na kuleta utengamano kwenye society, at least for the time being wakati...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Rais Samia kwa kumpongeza na kummiminia sifa Paroko kwa kuendesha Ibada ya kumuaga Lukuvi kwa Nidhamu. Padre Charles Kitima ajifunze

    Ndugu zangu Watanzania, Naungana Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge kwa hatua yake ya kumpongeza na kummiminia Sifa Baba Paroko kwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Muliro: Aliyechapisha ujumbe kwenye Mtandao kwamba 'Siku za Padre Kitima zinahesabika'' amekamatwa

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa. Ameyasema hayo Mei...
Back
Top Bottom