Muliro: Aliyechapisha ujumbe kwenye Mtandao kwamba 'Siku za Padre Kitima zinahesabika'' amekamatwa

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
524
Reaction score
829
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.

Ameyasema hayo Mei 5, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Central Jijini Dar es salaam.

"Amekamatwa pia na anahojiwa kwa kina Frey s/o Edward Cossey miaka 51Mkazi wa Dodoma na Mbezi beach Makonde Dar es Salaam kufuatia chapisho lake la vitisho dhidi ya Padri Charles Kitima alilolitoa kwenye mitandao ya kijamii siku chache kabla ya tukio."

Taarifa hiyo inaongeza "Upelelezi wa shauri hill unaendelea.Jeshi la Polisi linawashukuru wananchi na linatoa wito kuendelea kushirikiana ili kuimarisha mifumo ya usalama na kutotoa fursa kwa wahalifu kutenda makosa."
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.

Ameyasema hayo Mei 5, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Central Jijini Dar es salaam.

Upuuzi tupu.

Je, amekamatwa lini? Majina yake halisi kwa Nini hajayataja? Amewekwa rumande kwenye Kituo gani Cha Polisi au yupo kwenye gereza lipi ili Watu waende huko kujiridhisha? Video au picha zake huyo mtu ziko wapi? Kwa nini bado hajafikishwa Mahakamani endapo kama kweli amekamatwa???
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.

Ameyasema hayo Mei 5, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Central Jijini Dar es salaam.
Mbona hatuoni hata picha au Video??
 
Mbona hatumuoni mh nchi ya maaigizo kila idara CCM bhanaa
 
kwa kosa gani? mtu katoa unabii na umetimia shida iko wapi? nikisema oct kutakuwa na uchaguzi ukifanyika nitakuwa nimetenda jinai? nikisema mdude anahatarisha maisha yake akadhurika kweli, mie ndo ntakuwa nimemtabiria uovu?
 
Taarifa hiyo inaongeza "Upelelezi wa shauri hill unaendelea.Jeshi la Polisi linawashukuru wananchi na linatoa wito kuendelea kushirikiana ili kuimarisha mifumo ya usalama na kutotoa fursa kwa wahalifu kutenda makosa."
Danganya toto hio
 
HEBU tulia kwanza
 
Taarifa hiyo inaongeza "Upelelezi wa shauri hill unaendelea.Jeshi la Polisi linawashukuru wananchi na linatoa wito kuendelea kushirikiana ili kuimarisha mifumo ya usalama na kutotoa fursa kwa wahalifu kutenda makosa."
Ina maana lenyewe halina mifumo ya kupata habari mpaka litegemee maagizo ya viongozi na taarifa za wananchi?
 
Mimi siwezi kumuamini muriro kama aliweza kukanusha wale sio askari kwenye TV kwenye kesi ya lissu .
Afande muriro ni deo kisandu aliyechangamka
 
kwa kosa gani? mtu katoa unabii na umetimia shida iko wapi? nikisema oct kutakuwa na uchaguzi ukifanyika nitakuwa nimetenda jinai? nikisema mdude anahatarisha maisha yake akadhurika kweli, mie ndo ntakuwa nimemtabiria uovu?
Tutakukamata tuu,mdomo huumba!
 
kwa kosa gani? mtu katoa unabii na umetimia shida iko wapi? nikisema oct kutakuwa na uchaguzi ukifanyika nitakuwa nimetenda jinai? nikisema mdude anahatarisha maisha yake akadhurika kweli, mie ndo ntakuwa nimemtabiria uovu?

We ulisoma hiyo post ya huyo mtuhumiwa ?
 
Amekamatwa pia na anahojiwa kwa kina Frey s/o Edward Cossey miaka 51Mkazi wa Dodoma na Mbezi beach Makonde Dar es Salaam kufuatia chapisho lake la vitisho dhidi ya Padri Charles Kitima alilolitoa kwenye mitandao ya kijamii siku chache kabla ya tukio."
 
Back
Top Bottom