Muliro: Aliyechapisha ujumbe kwenye Mtandao kwamba 'Siku za Padre Kitima zinahesabika'' amekamatwa

Mwambieni huyo mceng kwamba hatumuamini
 
kwa kosa gani? mtu katoa unabii na umetimia shida iko wapi? nikisema oct kutakuwa na uchaguzi ukifanyika nitakuwa nimetenda jinai? nikisema mdude anahatarisha maisha yake akadhurika kweli, mie ndo ntakuwa nimemtabiria uovu?
Kuruka ruka Kwa maharage ndo kuiva kwake
 
Atajijua mwenyewe, wamrudishe mdude familia na wa Tz tunamtaka
IMG-20250505-WA0011.jpg
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.

Ameyasema hayo Mei 5, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Central Jijini Dar es salaam.

"Amekamatwa pia na anahojiwa kwa kina Frey s/o Edward Cossey miaka 51Mkazi wa Dodoma na Mbezi beach Makonde Dar es Salaam kufuatia chapisho lake la vitisho dhidi ya Padri Charles Kitima alilolitoa kwenye mitandao ya kijamii siku chache kabla ya tukio."

Taarifa hiyo inaongeza "Upelelezi wa shauri hill unaendelea.Jeshi la Polisi linawashukuru wananchi na linatoa wito kuendelea kushirikiana ili kuimarisha mifumo ya usalama na kutotoa fursa kwa wahalifu kutenda makosa."
View attachment 3325222

Kwa hiyo Waziri asingetoa maagizo hayo, polisi walikuwa hawajaona kuwa huyo jamaa anatakiwa kuwa amekamatwa?
 
Kazi kweli kweli ngoja niendelee kufatilia hizi movie za kihindi mtoto anazaliwa anakuja kulipiza kisasi cha kuuawa baba yake movie za akina Amitha Bachan..
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa.

Ameyasema hayo Mei 5, 2025 wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye Central Jijini Dar es salaam.

"Amekamatwa pia na anahojiwa kwa kina Frey s/o Edward Cossey miaka 51Mkazi wa Dodoma na Mbezi beach Makonde Dar es Salaam kufuatia chapisho lake la vitisho dhidi ya Padri Charles Kitima alilolitoa kwenye mitandao ya kijamii siku chache kabla ya tukio."

Taarifa hiyo inaongeza "Upelelezi wa shauri hill unaendelea.Jeshi la Polisi linawashukuru wananchi na linatoa wito kuendelea kushirikiana ili kuimarisha mifumo ya usalama na kutotoa fursa kwa wahalifu kutenda makosa."
View attachment 3325222
Propaganda on air🔥
 
wake za watu ni sumu ndugu viongozi wa dini :NoGodNo:
 
Huyo ni mtu wao na mwana CCM mwenzao, wanamhifadhi kwa muda tu.
 
Ni yeye kweli au ni funika kombe mwanaharamu apite?
 
Hii kesi kama sio kuzugana tusahau...mwisho kuna watu watakuwa framed
 
Polisi inatakiwa kuwa active kwa matukio yote ya kihalifu, kamata mhalifu weka ndani hata kama ni wa ccm, sio mpaka waziri aseme ndio polisi waanze msako. Watu wa ccm wanajiona wana kinga hata wakifanya uhalifu wanaona hawatashughulikiwa kwa kuwa chama chao kinatawala. Wamekuwa na kiburi sana, wana majibu mabaya hawajui hata chama chao kinaweza kuwa cha upinzani ni bora wakafanya siasa za kistaarabu kuliko kutishia watu maisha
 
Upuuzi tupu.

Je, amekamatwa lini? Majina yake halisi kwa Nini hajayataja? Amewekwa rumande kwenye Kituo gani Cha Polisi au yupo kwenye gereza lipi ili Watu waende huko kujiridhisha? Video au picha zake huyo mtu ziko wapi? Kwa nini bado hajafikishwa Mahakamani endapo kama kweli amekamatwa???
Uwe unasikiliza kwanza kabla ya kuropoka.
 
Back
Top Bottom