palestina

  1. mwanaume suruali

    Chanzo cha Mgogoro Mashariki ya Kati. You must read this

    Tangu Disemba 27 hadi 18 Januari 2009 vyombo vya habari duniani vilitawaliwa na taarifa za mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas la Palestina. Katika vita hiyo takriban wapalestina 1300 na Waisraeli 13 walipoteza maisha. Dunia imegawanyika huku upande mmoja ukiunga mkono kundi la Hamas na...
  2. Mwande na Mndewa

    Mgogoro wa Israel na Palestina ndio utakaohitimisha dunia

    MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA NDIO UTAKAOHITIMISHA DUNIA. Leo 11:15hrs 22/05/2021 Nianze kwa angalizo,ugomvi wa Palestina na Israel ni wa mapacha wawili toka wakiwa tumboni mwa Mama yao kabla ya kuzaliwa,Mapacha hao ni Esau na Jacob,sababu ya njaa Esau aliuza haki ya mzaliwa wa kwanza kwa...
  3. Rahma Salum

    Pakistani: Mlipuko wa bomu waua watu 6 na kujeruhi 13 katika hadhara ya Wapalestina

    Mlipuko wa bomu uliotokea Mei 21, 2021 katika mkutano wa hadhara wa Wapalestina Magharibi mwa Pakistani umeua watu 6 na kujeruhi 3 akiwemo kiongozi wa chama cha kidini chenye msimamo mkali. Bomu la pikipiki lililipuka wakati watu wakitawanyika mwishoni mwa mkutano uliofanyika katika Jiji la...
  4. U

    Israel na Hamas wakubaliana kusitisha Mapigano

    Shukrani kwa juhudi kubwa za Serikali ya Misri. Serikali ya Israel na Wanamgambo wa Hamas & Islamic Jihad hatimaye wamekubaliana kusitisha mapigano yaliyodumu kwa siku kumi na moja. Kwa mujibu wa muafaka huo wa pande mbili na usio na masharti mapigano yatasitishwa kuanzia saa 8:00 usiku huu...
  5. Analogia Malenga

    TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  6. The Mongolian Savage

    Kahuruma fulani kameshaanza kuniingia kwa waPalestina

    Wanawake na Watoto wanapoteza maisha hii haikubaliki. Israel wajitahidi sana kuwa waangalifu. Tunawaunga mkono kujilinda lakini maisha ya Wanawake na Watoto wasio na hatia inatugusa sana. Hamas hawa wakulaumiwa wasiwatumie Wanawake na Watoto kama ngao. Natoa rai pande zote mbili zikae katika...
  7. Webabu

    Wafuasi wa Palestina na Israel wapigana Canada

    Nchini Canada katika jiji la Montreal waungaji mkono wa Palestina na wale walio dhidi yao wanaounga mkono Israel wamepigana wakati wa maandamano na kupelekea waziri mkuu wa nchi hiyo kutoa tamko la kutovumiliwa kwa hali hiyo. Hii imekuja wakati waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu...
  8. Sam Gidori

    Anadolu Agency yatoa Ofisi zake za Gaza kwa Al Jazeera na AP

    Shirika la Habari linalomilikiwa na Serikali ya Uturuki, Anadolu Agency (AA) limetoa kibali cha kutumiwa kwa ofisi zake katika mji wa Gaza kwa Mashirika ya Habari ya Al Jazeera na Associated Press (AP) baada ya ofisi zao kuharibiwa na shambulio la kombora la Israel siku ya Jumamosi...
  9. kianja kyamutwara

    Fukuto linaloendelea huko Mashariki ya Kati

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekua nikifuatilia kwa mda mzozo uliopo Mashariki ya Kati yaani Israel na Palestina, nimegundua inawezekana ikawa kweli Israel ni taifa teule kama wanavojinasibu kwa sababu zifuatazo: Ukisoma historia tangu kuasisiwa kwa taifa hili miaka ya 1948s mwaka...
  10. Sam Gidori

    Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  11. Upepo wa Pesa

    JWTZ badilikeni, dunia ya sasa hakuna vita ya kuvunja matofali kwa kichwa!

    Nimekua nikifuatilia vita ya Israel na Hamas huko ukanda wa gaza. Ninachoshangaa hamna ngumi wala kareti ni makombora yanavurumushwa angani kama mvua! Hiyo ni moja, mbili.. Nimevutiwa jinsi Israel inavyotumia "engineering na science" kulinda nchi yake... kombora zinarushwa kutoka gaza ila...
  12. Sam Gidori

    Gaza: Mashambulizi ya makombora yaendelea, Idadi ya vifo vya Wapalestina yafikia 122

    Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka. Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
  13. sky soldier

    Kwa udogo wa eneo la Israel na Palestina kwanini tusiwapeleke JWTZ kutuliza ghasia?

    Israel na Palestina kwa sasa wapo vitani ila ni watu wachache sana kwenye eneo dogo sana, eneo lao linaingia mara 40 kwa Tanzania, eneo lao hata kwenye ramani ya dunia kama una matatizo ya macho inabidi uvae miwani. Nmefikiria nmeona hata vijana wetu walio fiti wa jeshi letu wakienda huko sio...
  14. 2019

    Historia fupi: Israel haiwezi kuimaliza Palestina sababu walishashindwa toka mwanzo wakiwa taifa la Mungu

    Kwa msaada wa biblia na vitabu mbalimbali. Huwa nawashangaa sana watu wanaiona Israel kama taifa teule kwa Mungu kumbe wanajidanganya tu. Historia inasema hapo mashariki ya kati wakaazi asilia ni Wafilisti(Wapalestina) na makabila madogo kama Wahivi,Wagirigashi n.k. toka Taifa la Israel likiwa...
  15. Sam Gidori

    Wapalestina 36 wauawa katika mashambulio ya roketi ya Israel

    Mamlaka katika eneo la Gaza zimesema takriban Wapalestina 36, wakiwamo watoto 10 wamefariki kutokana na mashambulio ya maroketi kutoka Israel, huku wengine 250 wakijeruhiwa siku ya Jumatano. Mashambulizi haya ni ya hivi karibuni zaidi yanayoongeza mvutano ulioanza baada ya Hamas kuvitaka...
  16. J

    Hivi Waislamu " original" wako Israel ( Palestina) au Saudi Arabia?

    Nauliza tu kwa wanazuoni na wabobezi wa maswala haya ya imani za kuabudu na kumtumikia Mungu. Kwa mfano hapa Tanzania hizi dini tuliletewa tu kutoka huko zilikoanzia, ndio maana nauliza Uislam wa " ukweli " ni ule wa Palestina, Saudi Arabia au Iran? Kuuliza siyo ujinga. Ramadhan kareem!
  17. J

    Mtizamo wa Mwalimu Nyerere kuhusu Libya, Misri, na Palestina

    ..kwanza nimpe shukurani mwanachama mwenzetu Shwari kwa kutuletea makala hii. ..nimeona niilete makala hii ktk jukwaa la siasa ili iweze kusomwa na wanachama wengi zaidi. In an interview with Nawal El Saadawy of Egypt's El Mussawar first published on 19 October 1984, Mwalimu Nyerere discusses...
  18. Webabu

    Saeb Erakat wa Palestina afariki dunia

    Mtumishi wa muda mrefu wa wananchi wa Palestina bw Saeb Erakat amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65. Marehemu Erakat alikuwa mtu wa karibu wa kiongozi mwasisi wa PLO na ameendelea kuwa chini ya rais Mahamud Abbas tangu pale alipomrithi Yasser Arafat. Katika umri wa utumishi wake ameshiriki...
  19. Webabu

    Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

    Kwa wale wenye umri kama wa kwangu enzi hizo watakuwa na uzoefu wa majina ya miji ya kipalestina ambayo kwa sasa yote imezingirwa na makazi ya mayahudi wanaohamishwa kutoka mataifa mengine duniani kuja kuwabana wapalestina katika lengo la kuwamaliza. Hayo maeneo yenye bluu iliyokoza ndiyo...
  20. Webabu

    Palestina wachukua uamuzi wa kiume, wakataa kilemba cha ukoka

    Waziri wa mambo ya nje wa Palestina Riyad al-Maliki amekataa kuchukua uenyekiti wa jumuiya ya nchi za kiarabu unaozunguka ikiwa ni kupinga kitendo cha baadhi ya nchi za kiarabu kurudisha uhusiano na Israel taifa linalokalia ardhi zao na kuwanyima haki za kuishi. Amesema kuna heshima gani kwa...
Back
Top Bottom