Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39.
Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...