1. Kwa hakika hayapo mafanikio bila jasho na ikibidi bila damu:
2. Wapalestina na HAMAS wamemaanisha kwa heri na shari, kwa maneno na vitendo.
3. Leo dunia inatambua hata kwa kuwaangalia usoni tu, wana maanisha: "wanaitaka nchi yao sasa."
4. Tokea 1947, Spain hatimaye somo limeeleweka...
Baada ya shambulio la kigaidi liilofanywa huko Moscow na Magaidi wa Ukraine, Israel na Marekani, Sasa Rasmi Urusi inaunga Palestine na kuanza kutoa msaada wa kila aina.... ngoja tuone kifuatacho.
🇷🇺🇵🇸 President Putin says that Russia will take "new steps" to support Palestine.
Katika harakati za uhuru wa Palestine ukisoma zaidi taarifa mbalimbali utaona mchango mkubwa wa waislam wa Kipalestina katika kupambana dhidi ya manyang'au wakoloni wa kiyahudi.
Hata vikosi mbalimbali vinavyo ongoza mashambulizi dhidi ya wakoloni wa kiyahudi ni vikosi vya waislam wa Kipalestina...
Mgogoro wa, Israel na Palestine Una faida kwa taifa la Misri. Ukweli ni kwamba Misri ana mkataba wa kutoingilia huo mgogoro na anapata billions of dollars kama hongo from USA.
Ndiyo maana huoni Misri akihangaika sana na huo mgogoro. Kufa kufaana.
Kwa wale wenye maswali kwa nini Misri...
Waarab wa Sudan wamekua wakizunguka nyumba kwa nyumba na kuchinja watu wa kabila la Masalit, ambao asili yao ni weusi, tena waislamu yaani dini ya hao waarabu, wanakata vichwa na kuua kila kitu kinachotamba.
Waarabu weusi wa Bongo akina brazaj kutwa wanalia lia kuhusu Waarabu wa Palestina...
Naamini izi ni habari mbaya Sana kwa Iran,proxies wake na Israel haters wote, sasa kama maca kwenyewe wanajiunga na wayaudi Sisi ni nani hata tujitenge
Mgogoro wa ardhi baina ya Palestine na Israel unavuta Sana hisia za watu wengi ulimwenguni
Huu mgogoro ni wa ardhi. Tukiangalia kuna migogoro mingi Sana ya ardhi duniani.
Mfano:
1) India na Pakistan
2) China na India
3) China na Philippines
4) Nigeria na Cameroon
5) Tanzania na Malawi
Migogoro...
DJ Khaled ni Mpalestina na kwenye hivi vita hajaongea chochote kile, ni kama watu wanataka kumsikia akisema lolote wampoteze.
Bro! Muziki wa Marekani unashikiliwa na Wayahudi. Yaani wao ndiyo wanapanga kila kitu.
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini Waarabu wakiingia vitani wanakwenda kuomba...
Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii.
Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna...
Azov Brigade ya Ukraine inatambuliwa na ulimwengu wa magharibi kama mashujaa walinzi wa Ukraine ila Hamas wana tambulika kama kundi la kigaidi kutoka Palestine.
Ulimwengu wa Kimagharibi wakiamua kinyesi kiwe chakula wanaamua tu na ukiwa muunga tela watakulisha nawe utaona utamu wake.
Dunia hii...
Ukizungumza jambo kama Muislamu, asiyemuislamu anakuweka daraja gani katika kukusikiliza?
Je, anakusikiliza kwa kuwa anaamini unaweza mpa kitu ambacho anaweza faidika nacho au anakusikiliza tu ili umalize kuzungumza yeye ana mawazo yake kuhusu hayo unayozungumza.
Mara nyingi ukiwa Muislamu...
Jamaa wanaendelea na operation yao. Bila kelele. Naona kwa sasa wanaendelea na kubomoa miundo mbinu ambayo wanaiiita ya Kigaidi.
Hali ni Mbaya.... Wanajeshi wa Hamas hawaonekani eneo hili nimejaribu kuwaangalia bila mafanikio. But naomba sana hii vita iishe. Inatosha sasa.
Wapalestine wa...
interview ya kwanza kati ya mwandishi wa habari mashuhuri bwana Morgan na Bassem ilivunja rekodi katika viewership, kwa kuweza kuangaliwa na watu zaidi ya milion 10 ndani ya siku chache. Bwana Morgan anasema kuwa kamwe hajawahi kupata views nyingi namna hiyo.
Baada ya mafanikio hayo, Bwana...
Fatah na Hamasi ni mahasimu wa kisiasa wa kihistoria. Yote yanayotokea huko hususani Ghaza kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya mgawanyiko uliopo baina yao wenyewe. Ni ngumu sana kupata suluhu ya mgogoro huu japo inawezekana. Hivi inawezekanaje, Ukingo wa Magharibi (west bank)kuna serikali yake...
Aidha tatizo ni kutoelewa kingereza au nini haswa, wengi wameelewa kwamba ile kura iliyopigwa kusitisha vita ili kuruhusu misaada iwafikie wahanga, kwamba hiyo ina maana wameunga mkono Palestine au maugaidi ya HAMAS.
Kingine msiolelewa kingereza, mkatafute mtu awatafsirie nini maana ya...
Shabiki wa Liverpool amelalamika mtandaoni kwa kitendo cha kuondolewa uwanjani kwa sababu ya kuvaa koti Lenye ujumbe wa "Free Palestine".
Shabiki huyo aliondolewa uwanjani na vyombo vya usalama vilishinikiza avue koti hilo na kutupa bendera ya Palestina kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani...
Kwamjibu wa taarifa za ujasusi wa Kidola na Kiuchumi, Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.