palestine

  1. K

    Maandamano kwenye bunge la Marekani kupinga mauaji Palestine

    Watu wameandamana ndani ya Majengo ya bunge la Marekani kupinga mauaji ya Israel dhidi ya wapalestina huko Gaza!
  2. Eli Cohen

    Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

    Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari? Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine. Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui. Issue...
  3. Mhaya

    Mtoto wa kiongozi wa kundi la HAMAS abadili dini na kuwa MKRISTO na kuelezea yanayofanyika ndani ya Hamas

    Mtoto wa kiume kiongozi wa kundi la Hamas anayeitwa Mosab Hassan Youssef, amekuja wazi na kuonesha kutopendezwa na mienendo ya Kundi la Hamas, kitu ambacho kilipelekea kubadili dini na kuwa Mkristo na sasa anaishi kwa Amani. Mosab Hassan Youssef aliandaliwa kuwa kiongozi atakayerithi uongozi wa...
  4. Konseli Mkuu Andrew

    Vita ya Palestina na Israel imekuja kuifunika suala la Urusi na Ukraine kwa makusudi

    Wazungu wanajua kucheza na akili za watu duniani, yaani wanaunda matatizo wenyewe ili kufunika matatizo mengine. Kuanzia mwaka 2019 dunia nzima kulitokea janga la Corona virus🦠😷 watu akili na masikio havikutaka kuona wala kusikia chochote tofauti na habari ya Corona na walifanikiwa kupitia...
  5. FRANCIS DA DON

    Fahamu kwa undani the ‘UGANDA SCHEME’, Israel wangeikubali Uganda, ya Palestine ndio yangetokea kwetu Afrika?

    Kiufupi sana, Waingereza walitaka kuwapa WaZayuni nchi ya Uganda ili waikalie, ambapo waGanda wangetimuliwa kama. Mbwa kwenye ardhi yao, sawa na inavyowatokea waPestona leo hii. Sawali ni Je, kwanini waliikataa Uganda yenye kila aina ya Rasilimali, badala yake wakaenda kugombania lile jangwa...
  6. R

    Vita vya Israel na Palestine siyo Jambo jipya

    Kuzuka vita vya Israel na Palestine siyo Jambo jipya.Toka napata akili nimekuwa nikisiliza hizi habari toka vyombo vikubwa vya habari duniani.Vita imekuwa ni sehemu ya Maisha ya mwanadamu toka kuumbwa.Hata kabla hatujaletewa dini na utamaduni mpya huku kwetu zilikuwepo vita..Hadi leo malengo ya...
  7. Mhafidhina07

    Let's break silence to Tanzania government over Islael political oppression to Palestine.

    Wakurungwa Tanzania bado tunajiweka nyuma sana katika maswala ya kimataifa wakati enzi za Mwalim Nyerere tulikuwa frontier katika Ukombozi wa Afrika dhidi ya Mabeberu ambao wanapoka uhuru wa Afrika wenzetu. Now Days we remaining silence wakati bado nafasi ya kubwa ya kuwa mpatanishi na...
  8. kavulata

    Ukombozi wa Palestine utafanywa na Urusi sio Marekani wala Waarabu

    Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini. Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke milele. Mungu atafanya hivyo kama alivyofanya kwa wa Israel pia. Mungu atafanya hivyo hata kwa bara...
  9. Tango73

    Leo July 4th ni kumbukumbu ya Entebe Raid

    Ndugu zangu spiritual Jews duniani kote. Leo ni kumbukumbu ya mashujaa wa Kiisrael walipowaokoa ndugu zao pale Entebe Uganda. Kijana Jonathan Netanyahu akiwa na umri wa miaka 28 aliongoza makomandoo hatari duniani kuwaokoa ndugu zao wasiuawe na magaidi ya Kipalestina. Shujaa huyu Jonathan...
  10. jollyman91

    Five Palestinians killed in overnight clashes with Israeli forces across West Bank

    Israeli troops have shot dead at least five Palestinians across the occupied West Bank after intense clashes that erupted in at least four towns following overnight arrest raids. According to official Palestinian news agency Wafa, military forces stormed the northern town of Burqin near al-Quds...
  11. jollyman91

    Serikali ya Kurdistan yalaani mkutano wa Erbil wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya eneo la Kurdistan la Iraq lenye utawala wa ndani sambamba na kusisitiza kuwa, itawachukulia hatua watu walioitisha na kuandaa mkutano wa jana wa Erbil kwa kupotosha malengo ya mkutano huo na badala yake kuwa ni kwa ajili ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Mgogoro wa Israel na Palestine - Safari ya Tera

    Na, Robert Heriel Tz PART 1: SAFARI YA TERA Huwezi zungumzia Taifa la Israel bila kumzungumzia Tera. Wazo la Israel kwenda Kanaani (Palestine) ya leo liliasisiwa Tera. Tera ndiye Baba wa Abraham, Nahori na Harani. Tera alikuwa akiishi Uru ya Ukaldayo (Kati ya nchi ya Shinari na bara Aram)...
  13. Jokajeusi

    Israel ikimaliza Palestine itavamia na nchi Jirani

    Kwema wakuu. Palestine wametepeta, wameshakubali yaishe. Miaka Saba ijayo nchi yote itakuwa imekaliwa na Simba wa yuda Kuwaonea huruma Palestine ni kupoteza muda, kwani watu wanaopigana nao ni watu wasiosikia la mtu, wao atakaye jichanganya ni kipigo tuu Baada ya Israel kuidhibiti kabisa...
  14. Bulamba

    Nini kifanyike kumaliza mgogoro wa Israel na Palestine?

    KWA wale wataalamu wa siasa za kimataifa tunaomba kujuzwa kwa lugha nyepesi kiini cha mgogo wa GAZA baina ya Israel and Palestine uliozuka tena juzi na kupelekea zaidi wapalestina 174 kuuwawa wakiwamo watoto 47? Nini kifanyike kumaliza mzozo huu? Nani wa kulaumiwa? Nini nafasi ya jamii ya...
  15. Wildlifer

    Israel na Palestina, ni mgogoro unaotokana na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa

    Watu wengi huuchukulia mzozo sa Israeli na Palestine kama wa kidini, lakini kiuhalisia ni mgogoro unaotokana hasa na maslahi ya kiuchumi na kisiasa ya kimataifa i.e Geopolitics. Kwa dhana ya kidini pia mgogoro huu unatazamwa kuwa umeanza miaka zaidi ya 1,000, kiuhalisia umeanza miaka ya 1910...
  16. C

    Mgogoro kati ya Israel na Palestine

    Leo asubuhi wakati nasikiliza taarifa ya habari nimepata update ya nini kinachoendela huko mashariki ya kati. Taarifa inasema Palestine wamelusha makombora zaidi ya alfu moja kwenda Israel. Mfumo wa iron dome wa kuzuia makombora wa Israel uliweza kuzuia kwa kiwango kidogo, na yaliyo weza...
  17. mwanaume suruali

    Chanzo cha Mgogoro Mashariki ya Kati. You must read this

    Tangu Disemba 27 hadi 18 Januari 2009 vyombo vya habari duniani vilitawaliwa na taarifa za mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas la Palestina. Katika vita hiyo takriban wapalestina 1300 na Waisraeli 13 walipoteza maisha. Dunia imegawanyika huku upande mmoja ukiunga mkono kundi la Hamas na...
Back
Top Bottom