pantev kocha mpya simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kocha wa Gaborone United, Dimitar Pantev apewa miaka miwili Simba, kutua Dar Oktoba 4, 2025 kuziba pengo la Fadlu

    Kocha mpya wa Simba SC, Dimitar Nikolaev Pantev kutoka Bulgaria, amekubali kuanza rasmi kazi yake baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2027. Simba imelipa fidia kwa klabu ya Gaborone United ya Botswana ili kumuachia kocha huyo, ambaye anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam kesho...
Back
Top Bottom