panya

Panya (Russian: Панья) is a rural locality (a village) in Leninskoye Rural Settlement, Kudymkarsky District, Perm Krai, Russia. The population was 11 as of 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Poppy Hatonn

    Wale panya road waliokuwa chini ya miaka 18 wamefungwa jela ya watoto?

    Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna Gari za moja Kwa moja Iringa to Geita zinazopitia Kahama?

    Kwema Wakuu! Hivi hakuna Gari za moja Kwa moja kutokea Iringa au Njombe au Mbeya zinazoelekea Geita kupitia Kahama? Au ni Basi gani ambalo linapita Dodoma mida ya saa nane au saa tisa mchana likielekea Geita ya Kahama kutokea Dar es salaam? Majibu tafadhali!
  3. JanguKamaJangu

    DAR: Wanaonunua mali za wizi kutoka kwa PANYA ROAD nao kuanza kusakwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam, Amos Makalla amesema kuwa Operesheni ya kutokomeza Panya Road ni endelevu na bado inaendelea. RC Makalla amesema hayo wakati akizungumza kwenye kikao Maalum na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ambapo amewatoa hofu Wananchi kuwa mji uko salama. "Kwa Panya road...
  4. Roving Journalist

    Dar: Panya Road wengine 25 wapandishwa Mahakamani, wasomewa mashtaka 6

    Kundi lingine la wahalifu 25 ambao wengi wao ni Vijana maarufu kwa jina la ‘Panya Road’ waliokamatwa wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala Kinyerezi Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za unyang'anyi wa kutumia silaha ikiwemo mapanga. Watuhumiwa hao walifikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Tetesi: Serikali inahangaika juu ya Panya Road wakati dawa yake ni Makonda

    Serikali inahangaika juu ya Panya road wakati dawa yake ipo. Kwanini msimchukue huyu jamaa awasaidie hiyo kazi ya kutimua hao panya road. Nmemaliza.
  6. JituMirabaMinne

    Hakikisha seals zote za kwenye bodi la gari zipo sawa ili panya wasiingie ndani

    Kama huyu alifungiwa redio waya wakachukulia kwenye battery, wakapush kile kiraba kinachozuia maji na takataka zingine kuingia ndani ya gari kutokea kwenye engine ili wapitishe waya. 👇👇 Bahati mbaya ule waya ulikuwa mnene hivyo raba haikuweza kurudi kukaa mahali pake kama ilivyokuwa mwanzo...
  7. L

    Panya road hatari maarufu Mungu Moshi waibuka halmashauri ya Mlimba-Morogoro

    Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
  8. JanguKamaJangu

    Panya Road wengine 23 wakamatwa

    JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM LINAWASHIKILIA BAADA YA KUWAKAMATA WATUHUMIWA 23 KWA TUHUMA MBALIMBALI ZA KIHALIFU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limeendelea kuisimamia oparesheni maalum kali ya mtaa kwa mtaa, Kata kwa Kata dhidi ya makundi ya wahalifu ambao wengi...
  9. N

    Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
  10. Jidu La Mabambasi

    Toka majuzi natembea na bastola yangu, panya road hamjambo?

    Mie si mshari, mchokozi na wala sina hasira. Lakini toka majuzi panya rodi walipotetemesha hadi Kunduchi nikaona sasa wacha mbwai iwe mbwai. Wanaume wa kanda Maalum Musoma wamezidi kutucheka. Panya rodi mkiniona na subaru ya bluu na nakunywa mitaa ya Kunduchi njooni mnisalimie. Nina salaam zenu.
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Hivi kati ya panya road na wezi wa kura afadhali nani?

    Habari! Panya road (vibaka) wanaudhi Wezi wa kura (wapotosha haki) wanaudhi. Je, kati ya makundi hayo mawili juu ni kundi lipi linaweza kuleta matatizo makubwa zaidi katika nchi kuliko jingine? Ni kundi lipi lina afadhali?
  12. KAGAMEE

    Jinsi jamii ilivyotengeneza Panya Road

    Habari zenu wakuu, Habari inayotikisa jiji letu pendwa ni hawa watoto watukutu. Unaweza kujiuliza hawa watoto hawana wazazi? Hawana ndugu? Mpendwa msomaji napenda kukujulisha kuwa kwa tafiti yangu ndogo nimegundua kwamba hawa watoto chanjo Chake ni jamii yenyewe hasa WAZAZI. Unakuta MZAZI ana...
  13. Superbug

    Panya road wanauwa au wanashambulia?

    Naomba kujua madhara ya panya road je wanauwa? Wanapora? Au wanashambulia?
  14. M

    Panya road ni wa kuchapa risasi bila huruma

    Alikuta taifa lake likiwa na uharifu mkubwa sana alipoingia madarakani mwaka 2016. Wauza unga walikuwa wengi, wakabaji wa kutumia siraha na majambazi. Alitumia njia moja tu kama mkuu wa vyombo vya ulinzi. Mhalifu mwenye silaha awe kibaka, muuza unga au jambazi akiwa na silaha frontline ni kula...
  15. DR HAYA LAND

    Zero brains societies mnawaza kuua innocent kids than to deal with them in Good way Panya road ni Zao la watu waliotengwa na Fursa.

    Haiwezekani vijana under 20 years wakawalaza macho juu. Kuuwaua sio njia sahii kwani most of them they know nothing About life so kuwaua kwa Risasi it about killing innocent kids so Panya road are supposed to live last longer Njia za kumaliza hili tatizo ni kutumia njia za haki na kuhakikisha...
  16. mtwa mkulu

    Nitoe ushauri wangu hapa kuwamaliza kabisa panya Road

    Naomba niwape ushauri wa kuwamaliza hawa viumbe. Kwanza kabisa mfumo wa dar umekaa tofauti sana na mikoani, ndio maana huwezi kuona magenge haya ya waharifu katika mikoa mingine, watu wanao tamba bara barani na kufanya uharifu. Ingekuwa ni mkoani tungetumia mbinu ya sungusungu kumaliza hili...
  17. torvic

    Baadhi ya wanawake kama Panya Road

    Panya Road nia zao mbaya ni pamoja na kuiba, kupora, kusumbua jamii na kuuwa. lakini panya road wanafanya hivyo kwa direct way. yani watakuwa presentable kwa kile kibaya wanachofanya. Najiuliza... Hivi hawa wanawake wa siku hawawezi kuwa panya road wanaofanya kazi undercover kama wale CIA...
  18. D

    Kamati ya ulinzi na usalama DSM naomba ipitishe huu utaratibu kwa dharula kuondoa panya road

    Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi! Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo) Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa...
  19. FRANCIS DA DON

    Usalama wa taifa kazi yao nini? Watuambie Panya road ni akina nani?

    Ni kwanini hadi leo tunasumbuliwa na Panya road? Kazi ya Usalama wa taifa ni nini?
  20. Roving Journalist

    Polisi yatangaza kuwashikiliwa watuhumiwa 6 wa Panya Road baada ya tukio la Kunduchi

    Saa chache tangu kutoka kwa tukio la watu kujeruhiwa kwa mapanga na kikundi kinachodaiwa kuwa ni 'Panya Road' katika eneo la Kunduchi Mtongani Jijini Dar es Salaam, watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi. Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
Back
Top Bottom