panya

Panya (Russian: Панья) is a rural locality (a village) in Leninskoye Rural Settlement, Kudymkarsky District, Perm Krai, Russia. The population was 11 as of 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Bondpost

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Ndugu wanabodi, nipo town posts Dar es Salaam kuna binti amenipigia anasema panya road wamerudi tena maeneo ya mtongani mchana huu wanaendelea na uporaji. Kwa maelezo yake anasema watu wamejifungia pale maeneo ya Mtongani . Jambo la ajabu kituo cha polisi kipo karibu kama mita Mia tu na hakuna...
  2. Influenza

    RC Makalla: Kuanzia usiku wa leo hakuna Panya Road atasalimika, operesheni inayoanza si salama kwao

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema "Kuanzia leo, baada ya tamko langu leo, usiku wa leo na kuendelea hakuna 'Panya Road' atasalimika katika mkoa wa Dar, oparesheni inayoanza usiku wa leo si salama kwa 'Panya Road', oparesheni inayoanza leo inaenda kuua uti wa mgongo wa mtandao...
  3. Suzy Elias

    Panya road: Kikundi cha uasi kinachopiga jaramba

    Kwa sasa huenda kisiwashughulishe sana mafisadi CCM na kwa sababu wanashiba na kulindwa na mabunduki watakipuuza hicho kikundi. Ukweli ni kwamba panya road wakipata mfadhili na watu wa kuwapanga vyema ki mkakati kitakuwa ndicho kikundi sahihi cha kuitoa CCM madarakani.
  4. sonofobia

    Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road. Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali. Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza...
  5. Mr Dudumizi

    Haya yakifanyika uhalifu utaisha, panya road watakwisha na raia watakuwa wanalala milango wazi hadi asubuhi

    Habari zenu ndugu zangu. Baada ya salam, ningependa niende kwenye mada husika kwa kutumia mifano hai iliyopita. Katika historia ya nchi yetu toka tapate uhuru mpaka leo, hakuna kipindi kilichokuwa na changamoto za kiusalama kama kipindi cha miaka ya 1989 hadi 1993. Hiki ndio kipindi ambacho...
  6. 2019

    Polisi wenye silaha na mafunzo wameshindwa na Panya Road. Je, mwananchi ataweza?

    Simoni Siro je Polisi imekosa kabisa mbinu ya kudhibiti panya road na wahalifu wengine? Kama polisi imeshindwa hawa vijana wachache wasiokuwa na mafunzo vipi ishu ya ugaidi wataweza kweli? DC TMK Joketi anataka wananchi waunde vikundi vya ulinzi shirikishi,sa kazi ya polisi ni nini? Kama...
  7. Saint Ivuga

    kuhusu panya road: Dar es salaam hakuna Polisi

    napenda kuhitimisha kuwa dsm hakuna askari polisi.. kuna polisi wa kuidhibiti chadema basi.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Namna ya kujihami na Panya Road au Makundi ya namna hiyo

    NAMNA YA KUJIHAMI NA PANYA ROAD, AU MAKUNDI YA NAMNA HIYO! Anaandika, Robert Heriel Mara ya Kwanza Panya Road niliwaona mwaka 2016, Maeneo ya Tandale, kipindi hicho nilikuwa nasoma chuo, DSM. Kilichokuwa kinanipelekea Tandale licha ya kuwa nilikuwa nikiishi Sinza Lion; ni kwenda kushangaa...
  9. Komeo Lachuma

    Je, Panya Road wamewashinda? Wamerudi kwa kasi ya kutisha sana

    Jamaa yangu anaishi Makubuli anasema hawa watu wamerudi kwa kasi kubwa,ari na guvu kubwa sana. Wanaweza pora nyumba mpaka 20 kwa usiku mmoja. Ni vijana wa umri wa miaka 12-30 wanakuwa wengi wakiwa na mapanga ,visu ,magongo na bisibisi. Kiukweli wameuteka mji wa Dar es Salaam. Nadhani kwa hiki...
  10. Msanii

    CCM Temeke ndani ya Kashfa nzito

    Taarifa zinazojiri mtandaoni sasa ni tuhuma za ubadhirifu uliofanywa na Mweyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke bibie Almishi Hassal, ambaye anatuhumiwa kuunda vikundi hewa vya wanawake na vijana kisha kufanikisha uchotwaji wa zaidi ya Tshs milioni 300 za Halmashauri ya Temeke zilizopaswa kukopeshwa...
  11. sky soldier

    Ni sababu ipi ya paka kumtesa panya kwa kumchezea badala ya kumuua haraka?

    Kiukweli paka ni wanyama wakatili sana, kuna paka hapa nyumbani huwa akikamata panya huko store inakuwaga ni mateso makali sana kwa panya. Anachofanya anambeba panya kwa mdomo anamleta uwanja wa wazi anamwachia, hapo panya akianza kukimbia paka anamrukia anampiga makucha panya, anambeba upya...
  12. Raymanu KE

    Panya kavunja ndoa ya watu

    Habari wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mpo salama na mnaelendea vyema na mishe zenu za kimaisha.Moja kwa Moja acha niingie kwenye mada husika. Kuna jamaa mmoja alikuwa na mke wake na walikuwa wanapendana sana, kipindi hicho ndoa yao ilikuwa changa Sana kwahyo hawakuwa wamejaliwa na...
  13. K

    Panya Magawa mahiri kwa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini amekufa nchini Cambodia

    Kwa masikitiko tunawatangazia kifo cha panya magawa kilichotokea huko nchini Cambodia. Chanzo cha kifo cha panya Magawa kimetokana na uzee kwani alikua na umri wa miaka minane. Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya kipenzi chetu panya magawa. Pia soma Panya Magawa astaafu kazi ya kufichua...
  14. Medecin

    Through Back Days: Watoto wa mwaka 2000 watajua huu mtego wa panya.

    Life is too fast
  15. B

    Kesi ya Mbowe: Mchezo wa Paka na Panya kwa Maslahi ya nani?

    Ni mshangao mkubwa haya kutokea kwa upande wa serikali yenye kupaswa kuupata uhalali wake kutokea kwa wananchi wanaoilipa kodi. Ni mshangao mkubwa zaidi kuwa walioko huko serikalini tunaowalipa mishahara na marupurupu wanaweza kufikia kucheza na haki za wananchi kwa kiwango hiki. Kwamba...
  16. FRANCIS DA DON

    Kitendawili: Paka aliyesuka mabutu, nyoka mwenye hereni na panya mwenye T.B

    Jibu ni Mr.Ebo !
  17. Allen loy

    SoC01 Siku zote hakuna njia za panya kwenye mafanikio: Kwa wote walio kata tamaa ya kufanikiwa soma hapa

    Hakuna njia panya ya kwenda mahali pa thamani. Ndugu zangu sikuzote mafanikio yanakuja kwa kujituma kwa bidii sana unatakiwa ujitoe ili ufanikiwe Mafanikio ni kutembeakutoka kutofaulu hadi kutofaulu bilakupoteza shauku. Ndoto zetu zote zinawezakutimia ikiwa tuna ujasiriwa kuzifuata,na siku...
  18. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukiona panya, popo, mende, mijusi wanazoea ndani mwako usipuuze. Huenda ni uchawi na chuma ulete umewekewa ndani

    Uchawi ni roho kamili, roho huwa haifi kirahisi. Hivyo mchawi akifa hata kama alipokuwa hai hakumrithisha mtu ofisi yake, usitegemee ule uchawi utapotea. Automatically uchawi utamtafuta mrithi atafundishwa katika ulimwengu wa Roho naye atakuwa mkubwa kuliko hata muasisi wake. Muhimu: Huwezi...
  19. Petro E. Mselewa

    Paka wakamata panya wanauzwa

    Paka wenye umri wa miezi miwili ambao ni wa asili na wakamata panya mahiri wanauzwa. Wako watatu. Kila mmoja ni shilingi elfu arobaini. Wanapatikana Survey hapa Dar es Salaam. Wale wote mnaokabiliwa na tatizo la panya majumbani mwenu hapa Dar na kwingineko wahini hii fursa ya kumaliza tatizo...
  20. Logikos

    Kisa cha Panya, Wakulima na Mbegu za Mpunga (Tozo, Wafanyabiashara na Watuamiaji)

    Hapo sio zamani sana kulikuwa na jamii ya Panya iliyopenda sana kula mbengu za mpunga, hali ilikuwa mbaya sana kwa wakulima, panya wenyewe na hizo mbegu, sababu kutokana na wingi wa panya ilipelekea kupunguza idadi ya mbegu za kupanda hali iliyopelekea wakulima kufa kwa njaa na kupunguza nguvu...
Back
Top Bottom