Wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa mstari wa mbele kuhamasisha na kukuza Michezo Tanzania ukiwemo wa riadha ,
ila kuna Vizee vilivyopo kwenye Kamati ya Olimpiki Tanzania (Tanzania Olimpic Committee ~ TOC) vinaendekeza hila na uzandiki wa kufikia kumuita mwanariadha wa kimataifa...
Kwa mujibu wa ripoti, Rodri ameshinda tuzo ya Ballon d’Or na yuko Paris kupokea tuzo hiyo.
Vyanzo vya habari Ulaya vinaripoti kuwa Vinicius Jr hatosafiri kuelekea Paris kuhuhudhuria tuzo za Ballon dor usiku wa leo kutokana na kuwa wamepata taarifa kuwa yeye sio
Mshindi wa tuzo hiyo na hakuna...
Mchezaji nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr, hatasafiri kwenda Paris kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo ya Ballon d’Or baada ya kujua hatashinda tuzo hiyo mwaka huu.
Uongozi wa klabu hiyo umeamua kwamba hakuna mwakilishi yeyote wa Real Madrid atakayehudhuria hafla hiyo ya kifahari.
Soma Pia...
Usiku wa leo, kuna hafla ya ugawaji wa tuzo za Ballon dor
Kwa mara ya kwanza tuzo hizo hazitakuwa na majina ya Lionel Messi au Cristiano Ronaldo.
Vinicius Junior wa Real Madrid anatajwa kama mshindi atakayetangazwa hapo baadae.
Sambamba na kutangazwa kwa Mchezaji bora wa Dunia, pia...
Paris Motor Show ni moja ya maonyesho makongwe ya magari (tokea mwaka 1898) yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, ambapo makampuni mbalimbali ya magari yanaonesha magari yao mapya, concepts, teknolojia na vitu vingine vinavyohusiana na magari.
Kwa mwaka 2024, zaidi ya makampuni ya magari...
Ukisoma historia ya Lebanon, hadi miaka ya 1960, ilikuwa nchi ya Wakristu. Kama ilivyo kawaida kwa jamii za Kikristu, Focus yao kubwa ilikuwa ni elimu, kusali na kufanya kazi kwa bidii, hii iliifanya Beirut kuitwa Paris ndogo.
Kosa lililofanyika ni kuruhusu Wasiria na Wapalestina kuhamia na...
Nimemskia mwanariadha wetu Felix Simbu Clouds Fm akisema alikuwa haijui njia vizuri alikuwa anakimbia tu kuwafuata wengine na akafanikiwa kumaliza nafasi ya 17 kwenye Marathon.
Huyu jamaa siyo mara ya kwanza kuleta vimbweka
C.c GENTAMYCINE
Serikali imkamate na kumuhoji Felix Simbu kwa...
Wakati sherehe za kufunga michezo ya Olimpiki zikifanyika mjini Paris, wanariadha watatu wa DR Congo wametoweka tangu Jumapili hii, siku ya mwisho ya michezo ya 33 ya Olimpiki.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilishiriki katika matukio manne (Judo, kuogelea, riadha na ndondi) nchi hiyo...
Kushinda aje?
Baada ya mizunguko yangu ya leo, nimerudi magetoni nawasha Tv supersport 9 nakutana na highlights za mashindano mbalimbali ya olimpiki yanayoendelea nchini Ufaransa katika jiji la Paris.
Ghafla nakutana na mdada BEATRICE CHEBET kutoka Kenya. Ameshindana marathon M 5,000 na M...
Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa.
Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya...
Kwenye mbio za marathon kidunia huyu Eliud Kipchoge ndio GOAT anacho kila kitu anazo dhahabu,mshaba na fedha
Sio Olympic, commonwealth na kadhalika kote amepita na umri umemtupa mkono , kitendo cha kukomalia lazima akimbie mbele ya damu changa kimemtia aibu baada ya kuonekana hakuwa hata na...
Pichani : Kutoka kushoto ni Magdalena Shauri, Gabriel Gerald Geay , Jackline Sakilu na mwisho ni Nahodha Alphonce Felix Simbu.
TIMU ya Taifa ya Riadha itakayoiwakilisha Tanzania katika michezo ya Olimpiki Paris 2024, imewasili jijini Dar es Salaam leo Agosti 6 ikitokea kambini jijini Arusha...
The Olympic men's individual triathlon at Paris 2024 has been postponed after tests revealed water quality in the River Seine did not reach the required standard.
The race was due to start at 07:00 BST (08:00 local time) on Tuesday and will now take place on Wednesday at 09:45 (10:45 local...
Timu ya Wanawake ya Kikapu ya Australia imepata matokeo ya kushtua baada ya kufungwa Vikapu 75-62 dhidi ya Nigeria kwenye Uwanja wa Pierre Mauroy Jijini Lille. Mchezo ujao wa Australia “The Opals” itacheza dhidi ya Ufaransa
Wakati wakipita juu ya mto wakiwa kwenye boti kila mmoja alijiuliza mbona wengi sana baadaye inatoka taarifa kuwa wanamichezo ni 9 na ma-afsa wa serikali kutoka wizara mbalimbali ni 67 na watakaa kwa siku 16 zote za olimpiki hapa paris.
Sijajua Bongo aka nchi ya kitu kidogo tumepeleka wangapi...
Msafara unasemekana ni mkubwa kuliko ukiwa na maafisa 67 na wachezaji 7 tu! Msafara wenyewe unaongozwa na makamu wa Rais pamoja mke wake! Waafrika weusi akili zetu tunazijua wenyewe.
Andy Murray
Andy Murray (37) anatarajiwa kucheza katika michezo ya mmojammoja (Singles) na wawiliwawili (doubles) kwenye Michezo ya Olimpiki itakayofanyika Julai 27 – Agosti 2, 2024 Nchini Ufaransa ambayo itakuwa ya Tano kwake
Murray ambaye mara yake ya kwanza kucheza Olimpiki ilikuwa Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.