Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa naMichezo Dkt. Suleiman Selela atakabidhi bendera na kuiaga timu ya Taifa itakayoshirikikatika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto inayoanzasiku ya Ijumaa Julai 26 hadi Jumapili Agosti 11, 2024 jijiniParis na miji mingine 16 nchini Ufaransa...
alphonce felix simbu
gabriel gerald geay
kuagwa
marathon
olimpiki
olimpiki paris 2024
olimpiki ufaransa 2024
paris
shirikisho la riadha tanzania
tanzania olimpiki 2024
tanzania yashiriki olimpiki
●In collaboration with the IOC, and OBS, Samsung Galaxy technology will provide fans around the world with a new, up-close view of the world’s greatest athletes during the Games
SEOUL, Korea – June 19, 2024 – Samsung Electronics Co., Ltd., a Worldwide Olympic and Paralympic Partner, today...
BAADA ukimya wa muda mrefu kuhusu lini timu ya Taifa ya Riadha itaingia kambini kuanza maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai huko Paris Ufaransa hatimae Shirikisho la Riadha Tanzania (RT),imefunguka kuwa kambi hiyo itaanza mapema wiki hii.
Tanzania itawakilishwa na...
After British "Storm Shadow" and French "SCALP-EG" Missiles Strike Russia, "Response against London and Paris imminent"
MAY 18, 2024
In mid and late April, Ukrainian SU-27 "Flanker" aircraft fired missiles into Russia. The missile debris was retrieved by Russia and forensic exam revealed...
Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama.
Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani akitokea Afrika, ni lulu, ni almasi, ni mwamba kutoka Tanzania.
Mitano tena!? ahahaha, na hapa ipoo.
Mwishoni mwa miaka ya 1800 hadi miaka ya 1900, Wamarekani Weupe na Wazungu walitumia Waafrika kuunda "Zoo za Wanadamu" katika miji kama Paris, Hamburg, Antwerp, Barcelona, London, Milan, Warsaw, St Louis na New York City.
Wazo la kijiji cha Negro lilikuwa maarufu zaidi nchini Ujerumani, ambapo...
Hii inapaswa iwafikie walioaminishwa na dini yao kuchukia Wayahudi, hamtaweza kuwafuta duniani maana hamkuwaumba nyie.
==========
More than 180,000 people turned out on Sunday to march against antisemitism in France, after a surge in anti-Jewish incidents across the country in the wake of...
Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini tulipelekwa vijana kadhaa wakiwemo watu wa scout kwa ajili ya event fln hivi. Sasa mie kwanza...
Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
Tumekuwa tukifurahia kununua ndege za gharama kubwa na serikali yote kufurahia kwenda kuzipokea uwanjani kwa bashasha na sherehe kubwa. Kinachofuata baada ya hapo ni kupaki ndege viwanjani miaka kadhaa baada ya kuzinunua. Lakini jirani zetu Rwanda wana business plan na ndege zao.
RwandAir to...
VIROJA: Viongozi wengi Afrika wamejaa viroja, Rais Mteule wa Nigeria Dr. Bola Tinubu yupo jijini Paris kwa ajili ya Mapumziko baada ya kampeni na Uchaguzi.
Baada ya Paris ataenda London kabla ya kurudi Nigeria Kwa ajili ya kuapishwa Mei 2023.
===
Nigeria’s president-elect left the country...
Mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain na timu ya taifa ya Brazil alikuwa akikabiliwa na mashtaka hayo yaliyohusu usajili wake mwaka 2013 kutoka Santos kuhamia Barcelona akidaiwa usajili huo ulikiuka baadhi ya masuala ya kifedha.
Katika kesi hiyo waendesha mashtaka walitaka nyota huyo ahukumiwe...
Thursday, August 04, 2022
The United Nations Paris Climate Agreement is already being put into action around the world, as the global elite use governments to capitalize on their controlling visions and monopolistic investments. In their pursuit for total control, the global elite look to...
Habari zenu mabibi na mabwana!
Leo ni sikukuu kubwa barani Ulaya na Duniani kwa ujumla. Ni mchezo wa Fainali ya Uefa Champions League kati ya Liverpool Vs Real Madrid.
Awali fainali hii ilipangwa ifanyike jijini Saint Petersburg, nchini Urusi. Ila kutokana na Urusi kuivamia Ukraine Uefa...
Naomba msaada kwa yoyote alie karibu na embassy ya Tanzania iliyopo Paris.
Kuna scholarship nimepata ya kusomea udaktari wa upasuaji wa masuala ya ubongo na uti wa mgongo (neurosurgery) na ninahitajika kupeleka documents zangu kupitia embassy ya Paris ambayo inawakilisha pia na Morocco kwenda...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022
Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.