Habari wanajamvi,
Nina safari ya kwenda nchi jirani wiki ijayo. Nataka kwenda na familia. Binafsi nina passport kubwa (electronic). Sasa mama watoto anahitaji ya kwake (naambiwa siku hizi ni one time use), na nina mchakato wa kumtafutia kesho.
Mtoto ambaye ni chini ya mwaka mmoja inakuaje...