passport

  1. Jaji Mfawidhi

    HESLB Mikopo kuunganishwa na NIDA, TIN, Passport na kadi za benki

    Abdul Razaq Badru Mkurugenzi wa Bodi amefafanua kwamba mnufaika ataanza kulipa baada ya miezi 24 [miaka 2 ] kama hana ajira. Baada ya hapo Deni linakuwa kwa 10% kila mwaka. Watu ambao hawajaajiriwa kwenye sekta rasmi wanapaswa kurejesha 100,000/= au ASILIMIA KUMI 10% ya pato analolipia kodi...
  2. O

    Muda wa Kupata Passport ya Kusafiria

    Nauliza
  3. M

    St Kitts and Nevis na St Lucia wanatoa Uraia haraka sana na passport zao ni moja zenye nguvu duniani

    Inakuwaje wanaJF! Nchi ndogo carrebean za St Kitts and Nevis pamoja na St Lucia zinatoa uraia kwa raia wa kigeni pamoja na familia zao za watu wanne kama ukiwekeza dola za kimarekani laki moja. Process haichukui muda mrefu. Hizi nchi visiwa zinapatikana carrebean na ambazo raia wake hawazidi...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu. Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi...
  5. The Sheriff

    Urusi: Rais Putin arahisisha utaratibu wa raia wa kigeni kupata hati ya kusafiria

    Rais Putin amesaini sheria iliyosubiriwa kwa muda mrefu kurekebisha mchakato wa wageni kupata uraia wa Urusi. Nchi hiyo kubwa zaidi (kijiografia) duniani inatarajia kuvutia hadi wahamiaji milioni 10 ifikapo 2025. Kulingana na sheria mpya, sasa ni rahisi zaidi kwa raia wa baadhi ya nchi kuwa...
  6. The MVP Tricks

    Bahasha za kuwekea dawa, picha, passport, urembo, simu na matumizi ya ofisini kwako

    Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini. Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
  7. Unko T

    Tetesi: Uhamiaji Dar haitoi passport kisa hakuna mtandao wa TTCL. Ukitoa kitu kidogo unapatiwa kwa siri sana

    Tangu juma lililopita nimekuwa nikifuatilia passport yangu idara ya uhamiaji Dar es Salaam, iliyopo ndini ya ofisi za Mambo ya Ndani ya Nchi. Napewa jibu rahisi sana na afisa aliyekaa nje ya mlango wa kuingilia ofisi hizo, "Hakuna network ya TTCL hivyo hatuwezi kuona passport yako" Nikajiuliza...
  8. Suley2019

    Zitto Kabwe ahofia kukamatwa, kufunguliwa mashtaka na kufungwa pindi atakaporejea nchini

    Hofu hiyo inatokana na kile alichokiita mfululizo wa vitisho vilivyotolewa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hofu hiyo ya Zitto imeibuka baada ya Kiongozi Mkuu huyo ACT Wazalendo kuandika barua kwa Benki ya Dunia (WB) kuitaka kusitisha mkopo wa Dola za Marekani milioni 500...
  9. K

    Kumbe tatizo ni passport! Naona lile zoezi halikumalizika kwa wakati

    Nimeona hii taarifa rasmi. Kuna swala la passport mpya ambazo walipewa muda zile tayari naona hawakuhakiki kwa muda Tanzania ikiwa mojawapo. Lakini hata US ndani kuanzia mwezi wa kumi huwezi kisafiri n vitambulisho kama lesini za kuendeshea magari mpaka ukaweke vidole upya au kutumia passport.
  10. YEHODAYA

    Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

    Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55? Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali. Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi...
  11. matunduizi

    Kwanini kwenye kubadili Passport hakuna foleni kama NIDA licha ya kesho kuwa siku ya mwisho?

    Wakuu nimekuwa nikifuatilia jamaa wanasema hakuna foleni kabisa wala msongamano kihivyo. Najiuliza: Je, sisi wabongo mambo ya kusafiri nje sio hobby yetu? Swali lingine la uzushi, hawa Idara ya Uhamiaji kwanini eti ili Mtanzania apate Passport lazima awe na kama sababu au ushahidi wa huko...
  12. kasulavenance

    Mwisho wa kutumia passport za kusafiria za zamani ni tarehe 31/Jan/2020

    Mambo yamekuwa mambo Tanzania. Wakati bado tunasumbuliwa na NIDA na usajili wa line mpya kwa wale mliokuwa na passport za kusafiria mjue kuwa mwisho wake wa kutumia hati hizi za kusafiria ni kesho kutwa. Inabidi kuanza zoezi jingine la kwenda Uhamiaji. Na shida inakuja pale unapoenda na...
  13. britanicca

    Je, wajua faida za diplomatic passport?

    Diplomatic passport Haiwezi kukusaidia ukiwa kwenye nchi yako. Ila huyo mwenye nayo akitoka nje na kuishi kama mabalozi na wanaoenda kufanya shughuli za Kitaifa anaenjoy vast of benefits. Mfano: 1. Fast check to airports kwake na familia yake. 2. Diplomat immunity in case of anything kwake na...
  14. technically

    Nakusudia kuishtaki Serikali (TCRA) kuzima Simcard za wateja wa mitandao

    Kwanza ni kinyume cha Katiba ya uhuru wa kupata mawasiliano, pili ni uhujumu uchumi kwa serikali yenyewe na tatu kuzuia wananchi kupata habari kupitia mitandao ya kijamii. Kesi inafunguliwa jumatatu kanda ya Dar es Salaam. Mimi sio wakili ila nimewasiliana na mawakili wangu 3 na tunakusudia...
  15. Miss Zomboko

    Mambo 15 ya kufanya kupata hati mpya ya kusafiria

    Idara ya Uhamiaji imetoa maelekezo ya kujaza fomu za maombi kwa njia ya mtandao. Msemaji wa Uhamiaji, Ally Mtanda amesema leo Februari 9, 2018 kuwa fomu hizo zipo kwa Kiswahili na kusisitiza kuwa mwombaji anapaswa kuwa na kitambulisho cha Taifa ili kukidhi moja ya sharti muhimu. “Maombi kwa...
  16. Kidagaa kimemwozea

    Hadithi: Bila Passport Mtoto Hataingia Nchini

    Alfajiri ya tarehe 1, tulikuwa tumepanga safari ya kwenda nje ya nchi mimi na mke wangu, maandalizi yote ya safari yalikamilika vizuri na tulitarajia kusafiri pamoja na mtoto wetu kipenzi. Tulikuwa tumepanga kwenda nchini Ugiriki katika mji wa Thessaloniki kwaajili ya mapumziko kupisha vuguvugu...
  17. Analogia Malenga

    Tanzania ni ya 73 kwa Passport zenye nguvu duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Henley Index imetaja Japan kuwa na passport yenye nguvu Zaidi duniani kwa kuwa ina nchi 191 ambayo inaweza kwenda, Tanzania inaweza kwenda nchi (destinations) 70 imekuwa nafasi ya 73. Afghanstan imekuwa ya mwisho kwa kuwa na passport mbovu ambayo ina destinations 26...
  18. Jakamoyo msoga

    Ili kuepuka usumbufu wa kufuatilia passport yangu iliyopotea mwaka jana, siwezi kuomba mpya?

    Habari, Mimi nilikuwa na Passport ya zamani ya kusafiria lakini kwa bahati mbaya Ikapotea mwaka jana, ilikuwa sio ya kielectroniki. Je kuna madhara yeyote nikijaza kuomba ya electronic upya kama mtu ambaye ni mara yake kwanza kuomba Passport ya kusafiria? Nisieleze kama nimewahi kuwa na...
  19. budebajr

    Uwakala wa soko la utalii na usafiri wa ndege (Travel & tours)

    Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
  20. figganigga

    Dar: Tundu Lissu ahutubia mkutano mkuu wa CHADEMA, ataka asaidiwe arudi nyumbani, kashapona

    Mbunge wa zamani wa Jimbo la Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameuhutubia mkutano mkuu wa chama hicho unaoendelea katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam akisema, mpango wa kukiua chama hicho iliyopangwa imeshindikana na zaidi imekiimarisha zaidi chama hicho. Lissu amesema...
Back
Top Bottom