passport

  1. Zekoddo

    App ambayo inaweza kunisaidia kubadilisha picha ya kawaida kuwa passport size yenye Blue color background

    Naomba kujuzwa Application inayoweza kuniwezeaha kubadili picha ya kawaida na kuwa passport size
  2. Jiko Koa

    Nimekwama kujaza fomu ya passport. Naomba msaada wakuu

    Baada ya kujaza fomu mtandaoni, nikalipia Nika download, Sasa hivi vipengele sijavielewa: 7. Wadhamini wa mwombaji: naomba kufahamu Kama wadhamini Ni lazima wawe Ndugu wa damu au hata marafiki tu. 9. Shuhuda kwa mwombaji: Naomba kufahamu kama huyo shuhuda ni ndugu au Ni mwajiri au Ni hakimu au...
  3. Ricky Blair

    Utaratibu wa kuwa na Passport uondolewe, tutumie vitambulisho vya uraia badala yake

    Nadhani muda muafaka sasa umefika kwa nchi zote duniani kuaga passport na mambo ya kustamp stamp na tuwe na kakadi tu kama national ID and info ukiingia nchini za watu zinarekodiwa digitali rather than hivi vitabu vya kurenew kila baada ya muda fulani, ambavyo kama unasafiri safiri sana in a...
  4. Mparee2

    Taratibu za kurenew passport ziangaliwe upya

    Napendekeza passport ikiisha muda wake au kujaa; mtu apewe nyingine kwa taratibu rahisi kwa sababu anafahamika na sio kuanza mlolongo wa maombi mapya kama mtu ambaye hajawahi kumiliki passport Nafikiri mtu angetakiwa tu awakilishe copy ya NIDA na pengine kuwepo na fomu rahisi ya kujaza vile...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Graduate wa chuo, tafuta documents zifuatazo omba passport ya kusafiria nenda Ulaya ukapate ramani ya maisha yako

    Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha. Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
  6. Jicholamwewe

    Nifanye nini nipate hati ya kusafiria baada ya haya mazingira kujitokeza?

    Nahitaji msaada wakuu nisaidieni yeyote anayefanya kazi uhamiaji kurani au anamfaham MTU yuko pale naomba msaada wenu kuna MTU anataka kuzima ndoto zangu. Nilipata mishe nje hivyo nikaenda kuomba passport. Lakini mzazi hakupenda jambo hili.nilipoenda nikaambiwa niwape namba ya mzazi wamhoji bas...
  7. Yesu Anakuja

    Hii video ndiyo iliyomfanya Askofu Kakobe anyang'anywe passport?

    Jamaa ameumizwa sana kwasababu tu alitaja Tanganyika. Imagine, tangu enzi Wazanzibar wapo huru kujivunia Zanzibar na kupigania Zanzibar, wana serikali yao, bunge lao, lakini mtu wa Bara akitaja Tanganyika anachokutana nacho ni hatari tupu. Hutakiwi kujiita mtanganyika, ila wengine wajiite tu...
  8. LeBoss

    Nimepata pasi ya kusafiria (Electronic passport)

    .
  9. R

    Kadi ya NIDA inakitu gani special hadi iwe ngumu kuprint kiasi hiki? Passport na NIDA kipi kigumu kuchapisha?

    Passport ya Tanzania unapata ndani ya siku moja baada data kuingizwa kwenye mtambo. Benki kadi unapata ndani ya masaa kadhaa, najiuliza hii kadi ya NIDA ina teknolojia gani ngumu hadi ukae mwaka bila kuprint kitambulisho? Lakini kama wenye namba ya NIDA wanapata huduma zote kwanini tunaamini...
  10. P

    Napaswa kurudisha Passport kwa kuwa nimeshindwa kusafiri?

    Kuna wakati nilipata nafasi ya masomo nje. Nikatafuta passport. Mwishowe nikashindwa kwenda masomoni kwa sababu Fulani. Kama utaratibu kuwa na sababu ya kusafiri ndo upewe, hainibidi kuwarudishia? Maana sikusafiri. Just thinking loudly.
  11. GoldDhahabu

    Wakenya Tupeni Uzoefu Wenu Kuhusu Passport

    Kwa Tanzania, sharti uwe na safari ndiyo utapewa pasi ya kusafiria(passport). Utaratibu ukoje Kenya?
  12. GoldDhahabu

    Serikali inafahamu kuwa kwa kuwapatia watu wake passport kunaweza kuwahamasisha kutafuta fursa nchi zingine?

    Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
  13. Katkit

    MWAMPOSA: Kama huna Passport wewe ni mtu usiyejielewa

    Bwana asifiwe, Buldozer kaamua kuwachamba waumini wake wasio na passport, anawaambia kila siku wanakaa Manzese wakienda mbali KKOO. Hivi mtu aache kuwaza mlo wa mchana aje awaze passport kweli?
  14. Mona_tz

    Msaada: Huwa inachukua muda gani kupata passport baada ya kukamilisha taratibu zote za maombi?

    Naomba msaada. Mimi niliomba passport ya kusafiria trh 30/03/2023 pale ofisi kuu ya Uhamiaji Kurasini. Nilimaliza taratibu zote za malipo, kupiga picha, Fingerprint na yule ofisa wa Uhamiaji akanambia niende kuchukua passport yangu trh 13/04/2023 cha ajabu nimeenda nimeambiwa tena bado haijatoka...
  15. ryaniza

    Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
  16. Hemedy Jr Junior

    kupata passport mbona longolongo kibao nini tatizo

    Hapa naomba nifahamu mbona kuna ugumu wa kupata passport ya kusafiria na kuna mzunguko mwingi sana .
  17. K

    Kenya Passport Holders = 3.5 Million.., Tanzania Passport Holders = 1.1 million

    There seems to be a huge shortage of people with disposable income in Tanzania. Vast majority of Tanzanians have never left their country, cannot afford to and don't even own a passport. Ata $1000 ya kutembea Dubai hamna jameni. Sad situation. Mjikakamue kidogo.
  18. BARD AI

    Ripoti Henley Passport Index 2023: Hati 10 za Kusafiria zenye nguvu zaidi Barani Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya 10 katika nchi za Afrika zenye Passport zenye nguvu zaidi huku ikiwa nafasi ya 74 duniani na uwezo wa kuingia katika maeneo 72 kwa Viza au bila Viza. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Henley Passport Index, kupitia Mamlaka ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (IATA)...
  19. R

    DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  20. Lycaon pictus

    Mkitaka uraia pacha basi rahisisheni taratibu za watu kupata passport na kutoka nje ya nchi

    Matajiri na wanasiasa wanataka uraia pacha utakao wafaidisha wao na watoto wao tu. Toka uhuru, wao ndiyo wenye uwezo wa kupata passport na kwenda nje kwa urahisi. Watoto wa masikini wamejazwa vikwazo kibao juu ya kutoka nje ya nchi. Yaani vikwazo vilivyopo ni ngumu watoto wa kimasikini...
Back
Top Bottom