Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi.
Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni...
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa Marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.
Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa...
Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na hatari. Tanzania nayo kupindi cha ujamaa wetu ilikuwa hivyo.
Leo hii dunia ni kijiji, watu wanasambaa...
Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki?
Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho.
Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa...
Habari wakuu?
Nilikua nauliza ninaweza nikapenda Kenya bila passport?Nina kitambulisho Cha taifa je nikifika boda siwezi pata pass ya mda ya kuingia Kenya?
Na je basi zinazoenda Nairobi kutokea Dar ni basi Gani?
Natanguliza shukrani
Kwenye mfumo wa kufanya malipo TANAPA (kwenye mbuga za wanyama) kumekuwa na maelekezo ya kujaza maelezo yote ya mgeni yaliyopo kwenye passport (Tarehe ya Kuzaliwa, jina kamili na passport number na utaifa)
Kutokana na mabadiliko ya tecknolojia, mtu akipata hayo maelezo, anao uwezo wa ku-temper...
Nchi ambazo Mtanzania Anakwenda bila ya Viza
Baada ya Serekali ya Tanzania kuzindua mpango wake mpya wa kuanza kutoa Pasipoti za Kielektroniki, ili kuboresha usalama zaidi katika nyaraka zakusafiria, Pasipoti hizo hutumia chip ambayo huongeza usalama.
Soma pia:
Visa free countries for...
Wana Jf nilisikia taarifa kuwa kuna nchi 68 ambazo ukiwa na passport ya Tanzania unaingia bila viza ila sijapata orodha ni zipi?
Mwenye orodha aweke hapa nataka niuze vi asset vyangu vyote niangalie ka nchi kenye afadhali nikaanze maisha mengine,maana nchi inamilikiwa na mtu mmoja tu na genge...
Hii nchi ngumu sana, ni sisi tu tusio toa hela ndio tuna suffer hivi au ni wote jameni? Masikini tue tunaoneana huruma basi 😂😂😄😁 yaani hakuna sehemu salama kwa maskini kote ni spana left and right centre and bottom.
Kuanzia mwezi wa March nimekuja kugundua nikijipiga picha masikio siyaoni kabisa, ni mpaka nigeukie kamera upande wa sikio, kiukweli napata stress.
Baadhi ya watu wanasema nmenenepa ila ni mara chache na mimi huwa najiona kawaida tu, kama ni hivyo nawezaje kutatua hilo tatizo la masikio
Tundu Lissu amepewa passport mpya na Serikali ya Tanzania baada ya ile ya awali kupotea kwa kuibwa kule Ujerumani.
Lissu amekabidhiwa passport yake leo na balozi wetu.
Lissu amesema Rais Samia anafanya kazi kubwa na nzuri sana hivyo Watanzania wote tumuunge mkono ili tujenge Tanzania mpya...
Habari zenu wakuu.
Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka.
"Being Quick, Efficient and Consistent is being Good"
Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020.
Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
habari zenu.
samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
Sijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na iliibwa au yeye aliipoteza na anachanganya kupoteza na kuibwa?
Na kama iliibwa, kwa nini hilo liwe...
Nitoe rai kukagua uraia na passport za watu wote mashuhuri na wasanii kwenye list wasikosekane;
1. Petit Man wakuache
2. Wasanii wote wa bolingo
3. Dancers wote
4. Alistote
5. Wamiliki wote wa maduka ya nguo Kinondoni
Mtanishukuru baadae lakini mnaweza kuamua kupuuza pia.
Habar. Nina swali kuhusu passport ya kisafiria.
Niko katika harakati za kuomba scholarships tofauti tofatu. Lakini nimekutana na changamoto ya Kujaza namba ya passport na nakala yake na ni lazima kabla hujasubmiti ombi.
Nikaona ni vyema nirudi katika utafutaji wa passport. nimeingia katika...
Makamu wa Rais wa Ghana ametangaza kutambulika ramsi kwa Kitambulisho cha Taifa cha nchi hiyo kama hati ya kusafiria kuanzia robo ya pili ya mwaka 2022.
Hatua hiyo ya Ghana inatokana na kutambuliwa kwake kama mwanachama wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (ICAO), ambapo Kitambulisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.