pato

  1. BARD AI

    Prof. Kitila Mkumbo: Pato la kila Mtanzania limeongezeka nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema katika ripoti ya Hali ya Uchumi nchini imeonesha Pato la Wananchi (GDP Per Capital Income) limepanda kutoka Dola za Marekani 399.5 (Tsh. 322,397) mwaka 2000 hadi kufikia Dola 1,200 (Tsh. 2,880,000). Akifafanua...
  2. benzemah

    2030 Uvuvi Uchangie Asilimia 10 ya Pato la Taifa

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema katika bajeti ya mwaka 2024/25 mpango wa Serikali kupitia Wizara yake ni kuendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha katika sekta ya uvuvi ili kuiwezesha kuchangia katika Pato la Taifa kwa Asilimia 10 ifikapo mwaka 2030. Waziri Ulega amesema...
  3. benzemah

    Sekta ya Madini Kuchangia Pato la Taifa kwa Asilimia 10 Ifikapo Mwaka 2025

    Hatua hiyo inataokana na mikakati mbalimbali ikiwemo kufanya mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010, yaliyotekelezwa mwaka 2017, hivyo kuundwa Tume ya Madini. - Mikakati hiyo imebainishwa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba alipozungumza na waandishi wa habari...
  4. Cannabis

    Betting yachangia billioni 170 katika pato la taifa kwa mwaka 2022/2023

    Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake July 01, 2003 ambapo imesema ndani ya miaka hiyo imefanikiwa kuchangia pato la Taifa kufikia Tsh. bilioni 170.43 kwa mwaka, kuongeza ajira kwa vijana na kuvutia uwekezaji wa kampuni 67 za kitaifa na...
  5. M

    Naomba kufahamishwa aina ya kodi ambazo fedha inayowekwa fixed deposit kwenye bank za biashara

    Wadau naomba kufahamu aina ya kodi ambazo fedha inayowekwa fixed deposit kwenye bank za biashara. Faida inakatwa kwa asilimia ngapi, kodi ji zipi zinakatwa? Please help
  6. Dr Msaka Habari

    Pato la taifa kupitia Sekta ya Bima inatajwa kukua

    Ukuaji wa Pato la Taifa kupitia Sekta ya Bima Nchini inatajwa kukua kwa kipindi cha miaka mitano ambapo mauzo ghafi ya Bima yameongezeka hadi kufikia Trilioni 1.2, ukilinganisha na ongezeko la shilingi Bilioni 691.9, mwaka 2018. Akitoa ufafanuzi wa ongezeko hilo, Kamishna wa Bima kutoka Mamlaka...
  7. benzemah

    Mchango wa madini kwenye Pato la Taifa wazidi kuongezeka

    Waziri wa Madini Dkt. Dotto Biteko amesema mchango wa sekta ya madini katika Pato la Taifa umeongezeka kutoka asilimia 6.8 hadi kufikia asilimia 9.11 kwa mwaka 2022/23. Pia amewataka wafanyabiashara wa madini kuhakikisha wanarejesha mauzo kwa fedha za kigeni. Dk Biteko alisema hayo Dodoma jana...
  8. I

    Zijue nchi sita tajiri katika Afrika wakati Pato la jimbo la California linazidi pato lote la Afrika

    Hii ni orodha ya nchi sita zenye pato kubwa katika Afrika na nchi maskini sana katika Afrika. https://a-z-animals.com/blog/richest-countries-in-africa-today-ranked/ Did you know that the highest state Gross Domestic Product (GDP) in the United States measures greater than the highest country...
  9. Suley2019

    Dkt. Mwigulu: Pato la kila mtu nchini lafikia milioni 2.8

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mwaka 2022 Pato Ghafi la Taifa lilikuwa TZS trilioni 170.3 ikilinganishwa na TZS trilioni 156.4 mwaka 2021. Hivyo, kutokana na idadi ya watu Tanzania Bara, Pato la Taifa kwa Mtu kwa mwaka 2022 ni TZS milioni 2.844 ikilinganishwa na TZS milioni...
  10. I

    The Top 10 African Countries with the Best GDP Data Quality Ratings in 2023: An Overview by World Economics

    The legitimacy of data, regardless of scale or function cannot be overstated. It is paramount that accurate data is made available to the public and primary stakeholders, in order for development to take place, particularly when it comes to public data. ======= Business Insider Africa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mary Masanja: Serikali Kuboresha Huduma za Utalii ili Kukuza Pato la Taifa

    Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mary Masanja amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati mahsusi wa kuwafanya watalii ho kuongeza siku za kukaa nchini na...
  12. NetMaster

    Mbinu zipi wamezitumia Wakinga kuwa wafalme Kariakoo?

    Hapo zamani wafanyabiashara wengi wakifika kariakoo kujumua / kufunga mizigo kwajili ya kwenda kuuza mikoani ama nchi zilizotuzunguka walifikia maduka makubwa ya wachaga na wapemba ukiachana na wenye asili ya asia, Kwa sasa hali ni tofauti maana jamii ya wakinga wanamiliki share kubwa ya soko...
  13. Replica

    Je, wajua? Pesa iliyotoa Qatar kuandaa Kombe la Dunia ni pato la Taifa Tanzania kwa miaka 3.5

    Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa Kombe la Dunia lililotumia gharama zaidi tangu Dunia iumbwe. Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha Kombe la Dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha...
  14. N

    Samia Housing Scheme itaongeza pato la Taifa

    Nyumba la Taifa (NHC) ujulikanao Samia Housing Scheme (SHS) wa nyumba 5000 pekee unatarajiwa kutoa ajira zipatazo 26,400(direct 17,600 na indirect 8,800), taarifa hiyo imetolewa na Meneja Habari na Uhusiano wa NHC. Amesema utakuza mapato ya serikali mfano mradi wa SHS 5000 unatarajiwa...
  15. MWANAHARAMU

    SoC02 Ukahaba na ukuzaji wa pato la Taifa

    Nani asiyefahamu hii ni moja ya biashara kongwe duniani ambayo imeshindwa kufutika toka dahari. Karne mpaka karne mamlaka mbalimbali duniani zilijaribu kuitokomeza aina hii ya biashara ila zikaambulia patupu, hivyo kufanya ishamiri licha ya marufuku ya serikari mbal;imbali ulimwenguni. Tanzania...
  16. Bemendazole

    Kama pato lako ni chini ya milioni 3 jenga ghorofa la Kinyakyusa ukiwa na ndoto ya kujenga ghorofa kwa sasa!

    Ujenzi wa sasa ni gharama, Ukitaka ujenge haraka, jenga nyumba ndogo. Ili iishe haraka, uhamie. Tumetembelea maeneo mengi. Nimeona, wengi waliojenga majumba makubwa, wameishia njiani. Endapo una ndoto ya kujenga ghorofa na kipato chako NET ni chini ya milioni tatu kwa mwezi, sikushauri. Ila...
  17. kavulata

    Mauzo ya gesi nje ya nchi ya Tanzania yakiongezeka pato la serikali kwenye gesi litaongezeka pia?

    Mkataba wetu na mwekezaji kwenye gesi unasemaje? Baada ya vikwazo vya kuuza gesi kutoka Urusi bila shaka hata gesi yetu itapata soko kubwa huko nje ya nchi, hasa Ulaya. Je, hii itakuwa na manufaa gani kwa pato la taifa?
  18. Meneja Wa Makampuni

    Kwanini pato la Taifa (GDP) la Tanzania linashika nafasi ya 9 Afrika wakati pato la kila Mtanzania linashika nafasi ya 31

    Pato la Taifa (GDP) ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa katika mwaka fulani. Nchi za Afrika zimepangwa kulingana na data kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Takwimu zilizowasilishwa hapa hazizingatii tofauti za gharama ya maisha katika nchi mbalimbali, na...
  19. M

    Pato la Taifa ni GNP (Gross National Product) au GDP (Gross Domestic Product)?

    Hamjambo je tunao hapa wataalamu wa uchumi? Pato la Taifa ni GNP au GDP? Nominal - itakuwa kinaganaga? Ufafanuzi kwa Kiingereza: GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI) : total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic...
  20. Kasomi

    Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP) 2022

    Utajiri wa mikoa ya Tanzania kwa kuangalia pato la mkoa mmoja mmoja (Regional GDP) 1. Dar es Salaam - sh 25.2 Trillion 2. Mwanza - sh 10.95 Trillion 3. Mbeya - sh 8.3 Trillion 4. Shinyanga - sh 7.589 Trillion 5. Morogoro - sh 7.1 Trillion 6. Tanga - sh 6.9 Trillion 7. Arusha - sh 6.9 Trillion...
Back
Top Bottom