pato

  1. T

    Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza. Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine. Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga...
  2. mahunduhamza

    Hali halisi ya pato halisi (GDP) la Tanzania

    Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani. Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
  3. Impimpi

    SoC01 Miradi ya nyumba nafuu za kiutamaduni na kiasilia itaimarisha utalii na pato kwa shirika la nyumba na real estates companies na Taifa kwa ujumla.

    Sio siri kuwa miradi mingi ya nyumba za makazi na biashara hushindwa kuliteka soko kwa Watanzania wengi hasa wa kipato cha chini na badala yake nyumba nyingi zimebaki tupu bila wapangaji ama wamiliki ( wanunuzi) kwani miradi hio hukosa uhalisia wa maisha ya watu wa chini. Makampuni hudhani kuwa...
  4. D

    SoC01 Jinsi ya kuboresha Sekta ya Afya ili kuongeza pato la nchi

    Tanzania ni nchi ambayo pato lake bado lipo katika ukuaji japokuwa tupo katika uchumi wa kati ila tunasafari ndefu ya kufika pato la juu. Hili tutaweza kulifikia endapo nchi na wananchi wake tukawekeza nguvu kasi ambayo itazaa matunda mazuri kwa miaka ijayo. Leo ninawazo zuri ambalo kwa namna...
  5. KIKOTI12

    SoC01 Vichocheo vya ukuaji wa Uchumi wa Tanzania yetu

    Uchumi hupimwa kwa ongezeko la Pato la ndani la nchi ambalo nchi inakuwa umepata kwa mwaka mmoja. Kuna sababu nyingi zinazopelekea ongezeko Hilo. Kwenye nchi nyingi hupimwa pia kwa jinsi gani watumiaji wa bidhaa wananunua na uwekezaji wa bidhaa. Kama mtumiaji anauwezo wa kununua mahitaji yake...
  6. Opportunity Cost

    Top ten ya Mikoa inayoongoza kuchangia pato la Taifa

    Niwasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Moja kwa moja kwenye mada,Kila mkoa na wananchi wake wanachangia sana kukuza uchumi wa Nchi na pato lao,lakini Ifuatayo ni Mikoa 10 ya wachapa kazi inayoongoza kuchangia pato la Taifa "GDP" zaidi kuliko Mikoa mingine.Ni muhimu kuibainisha...
  7. S

    Pato la Taifa linapatikanaje?

    Wakuu naomba mnijuze juu ya kitu kinachoitwa pato la taifa huwa linahesabiwa vipi. Je ni majeti yetu? Madeni na makusanyo ya Serkali? Natanguliza shukrani. ======= Mchango wa Mdau
Back
Top Bottom