Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango.
Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka (...
Wana Jf Salaam , bila shaka mko poa poa na weekend hii.
Kwa mda sasa nimekua nikisikia hii sherehe ya mwaka kogwa ambayo huazimishwa huko Makunduchi,
Juzi ilibidi nimpigie simu mtu anaishi huko ili nimuombe anipe picha kamili huwa ikoje, aliniambia,
1. Kabla ya siku ya kwanza ya mwaka kogwa...
Habari Wakuu!
Leo Kwa habari za Burudani na Sanaa, nimekuwa nikifuatilia Tamthilia za hapa na pale za bongo kama sehemu ya kusapoti na kuona kile wakifanyacho wenzetu katika Tasnia hiyo.
Nikakutana na Dogo mmoja hivi ambaye ameigiza kwenye Tamthilia ya Pazia, namfahamu Kwa jina moja "EDU"...
Ndani ya wiki hizi mbili kuna mambo ya kutisha yanaendelea nchini. Lakini kwa kuwa watawala wamegundua akili za Watanzania ni kufuatilia vitu vyepesi, wameamua kuinvest kwenye mpira wakati huku behind the scene wakiwa busy kuuza nchi na kupalilia ufisadi. Haya ni baadhi ya mambo ya kusikitisha...
Wakuu kumekua na sintofahamu nyingi juu ya sakata la madai ya wanakijiji kudai kutapeliwa ardhi yao na muwekezaji Mbunge wa kisesa Luaga Mpina kuhusu ardhi yenye Ukubwa wa ekari 1000.
Mengi yanazungumzwa na mwisho lililoongeza mjadala ni kuwa Waziri wa Fedha Dr Mwigulu Nchemba ndiye Yuko nyuma...
Hii drink Ikiwa unatafuta scotch ambayo itavutia hamu yako, Grant inaweza kuwa maarufu sana. Hata hivyo, ikiwa unahitaji tu whisky ili kufanya usiku wako wa majira ya baridi kufurahisha zaidi, Grant's ni nafuu, ni rahisi kunywa, na ni tamu isiyopingika.
Najaribu kuangalia kwa mrejeo wa kumbukumbu za historia ya Dunia, hii chuki dhidi ya Wayahudi na Wakurdi imekuwepo toka enzi na enzi lakini haijawahi kuwa na mafanikio chanya au kuna tofauti ndogo kati ya wivu na chuki au chuki na wivu.
Nazungumzia wivu wa kitamaduni/ wivu wa kisiasa/ wivu wa...
Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa.
Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote.
Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
MWANDISHI: INVYOLATA SHIRIMA(Neema)
Kulikuwa na kijiji kimoja kilichojulikana kama same.
Na ndani ya hicho kijiji kulikuwa na Mzee mmoja aliyejulikana kwa jina lake MzeeOtonglo.
Kabla Mzee huyu alikuwa akiishi katika kijiji cha kijichi ambapo huku ndipo alipokulia. Na baadae aliweza...
Pazia la Ligi Kuu England msimu wa 2022/23 litafunguliwa Agosti 5, 2022 ambapo Crystal Palace itavaana na Arsenal kabla ya Manchester City kuanza kutetea taji hilo Agosti 7 dhidi ya West Ham
Chelsea itaanza mbio zake za kuwania Ubingwa dhidi ya Everton mnamo Agosti 6 na Kocha Erik ten Hag wa...
Tangu nilipoingia kwenye siasa, kimsingi nimeaminishwa maoni ya wanaume kwa faragha. Baadhi ya wanaume wakubwa nchini Marekani, katika uwanja wa biashara na utengenezaji, wanaogopa kitu. Wanajua kwamba kuna nguvu mahali fulani iliyopangwa, hila sana, macho sana, iliyoingiliana, kamili sana...
Inasikitisha kuwa katika karne hii ya 21 bado kuna jamii duniani ambazo zinahalalisha na kuwalazimisha wanawake wanaobakwa kuolewa na wabakaji wao, au kuwalazimisha mabinti kuolewa na watu wasiowapenda.
Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa watu milioni 40.3 ni watumwa duniani kote...
Siku chache zimepita tangu Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' alipoamua kuwa-unfollow wachezaji wote wa timu hiyo ambao alikuwa amewa-follow kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Jana, pia Mo ambaye ni Rais wa Heshima wa Simba aka-unfollow page ya klabu hiyo akibakisha ya Simba Queens...
Miaka kama 20 iliyopita katika kijiji cha Chigongwe nje kidogo ya manispaa ya Dodoma, yalitokea mauaji ya mlinzi aliyekuwa akilinda yard ya kampuni ya Konoike kipindi kampuni hiyo inatengeneza barabara ya Dodoma - Singida - Mwanza. Inasemekana mlinzi huyo alipigwa mshale na watu waliodhaniwa...
Habari za wakati huu;
Nikiwa na umri mchanga kwa sera za kitanzania nilikuwa na kiu kubwa sana ya kumiliki biashara na kuwa mfanya biashara mkubwa.Kipindi hicho internet ilikuwa adimu sana na kompyuta nazo zilikuwa adimu sana.Zilikuwa ni zama Pentium 1 na 2 na internet cafes ambazo zilikuwa...
By John Pambalu kupitia twitter(kamnukuu kwenye clip iliyoko katika akaunti yake ya twiitter).
"Mimi nilikua Mkuu wa kikosi Cha Jeshi ,wakati hairuhusiwu afisa wa jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa lakini Mimi nilishiriki, biliwapa Lita 200 za Mafuta CCM Mwaka 2007" Kanari Ngemera Lubinga.
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko – 19 pamoja na kushiriki katika sensa inayotarajiwa kuanza mwaka 2022.
“Niwaombe viongozi wa dini kujumuisha masuala ya sensa kwenye mahubiri yenu, kawaida serikali ikitoa...
Habari zenu wakuu, mada kama mlivyo ona hapo juu, lakini kikubwa ninacho zungumzia siri ya siasa na mikakati iliyo nyuma ya pazia kwa kinvuli cha siasa, kitu hiki ni kipana lakini kwa mwenye busara na hekima anaweza fungua code katika siasa za Tanzania, ijapokuwa kuna kitu watanzania wamekikosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.