pazia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    Afghanistan: Wanafunzi Wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia madarasani

    Wanafunzi nchini Afghanistan wamerudi vyuoni na kupata mabadiliko chini ya utawala wa Taliban. Wanafunzi wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia au mbao madarasani. Aidha wanawake wanapaswa kuondoka dakika tano kabla ya wale wa kiume ilikuzuia wasitangamane. =========================...
  2. TheDreamer Thebeliever

    Simulizi ya kusisimua nyuma ya pazia inayohusisha muuaji wa Salenda

    Habari wadau..! Katika hiki kisa cha muuaji wa salenda kuna kisa kingine kilichojificha kuna jamaa anaadithia . Moja kati ya watu waliofariki kwenye lile shambulizi yupo jamaa mmoja ambaye ni mlinzi ninavyosikia kwa story za mtaani. Jamaa alitoka kufiwa mwaka huu misiba miwili mmoja wa baba...
  3. Yofav

    INAUZWA Pazia piece 2 nzito kwa Tsh. 35,000 tu

    Upana mita 1.5 kila moja. Deliveries zipo kwa Dar na mikoani natuma pia. Ukihitaji nipigie au nicheki WhatsApp 0685269533.
  4. Jemimah cindy

    INAUZWA Tunauzwa vitu mbalimbali (Pazia, Chuma za Pazia, Net, Kava za Makochi, Mashuka nk)

    Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi? SALE SALE SALE Sofa la mmoja ni 30000 Sofa la wawili ni 44,000 Sofa la watatu ni 54,000 ●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo 1: Hazipauki wala kuchuja...
  5. Ferruccio Lamborghini

    NYUMA YA PAZIA: Nawakumbusha tu Enzi Zidane ana miaka 26

    YALE maisha ya mtaani kwako uswahilini. Unaamka asubuhi unaenda kwa mama muuza chapati au maandazi. Kando yake ana mtoto wa kiume anayehangaika kufanya kazi hii na ile kumsaidia mama yake. Baadaye anaaga kwenda kucheza soka na wenzake. Anaruhusiwa. Ghafla anaitwa tena na mama yake kwa ajili ya...
  6. MenukaJr

    Rais wangu Samia, ukifungua milango usiondoe pazia!

    Rais wangu, nimekusudia kuendelea kukuandikia kwa nguvu zangu zote. Ninafanya hivi kwa utambuzi kuwa haya ndio mapenzi yangu kwako, ndio wajibu wangu wa msingi kama Mwana-CCM na Mwananchi mwema wa Tanzania. Wakati wa JPM nilifanya kazi hii kwa kiwango kizuri, licha ya masimango niliyoyapitia...
  7. Mmawia

    Mchungaji Jackson Senyonga asherekea kifo cha TB Joshua, adai alikuwa Nabii wa uongo

    Tangu nizaliwe na kujitambua nilikuta kuna madhehebu makuu matatu au manne ya kikristu. 1:waroma. 2:Waprotestanti Hiyo ni miaka ya 70 lkn kufikia miaka ya 90 hadi 2000 kumezaliwa makanisa chungu tele hapa Tanzania. Ukifuatilia kwa ukaribu utagundua kila anaye anzisha kanisa lake lazima kwanza...
  8. Ileje

    Mahakama za Tanzania ni kwa vibaka na wezi wa kuku lakini kwa mambo ya msingi ni pazia

    Nenda mahakamani sasa hivi utaona jinsi mahakama zetu zinavyo washughulikia vibaka na wezi wa kuku bila huruma hata kama mtuhumiwa ni dhoofu bin hali kwa njaa na umasikini. Inapokuja suala la kushughulikia mambo ya msingi ya kulinda katiba, sheria za nchi dhidi ya serikali, utawala bora na haki...
  9. Kasomi

    Nyuma ya pazia

    Wakati mwingine, mapenzi yanaweza kuuchosha moyo wako kwa mtu ambaye unampenda ila kwake yeye anacheza na hisia zako tu.. Jaribu kufikiria kama mwanamke au mwanaume pale unapompenda mtu kwa moyo wako zaidi, na yeye anaona kama kawaida.... Penzi la kweli halitaki masihara na kuuchezea moyo wa...
Back
Top Bottom