pekee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usalama wa Nchi ni jambo tukufu na kipekee sana. Tusibweteke na kumpongeza CDF pekee

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ametamka wazi akiweka angalizo la uwepo wa wakimbizi ( niseme WAHAMIAJI) kwenye teuzi tena level za maamuzi ndani ya nchi yetu. Nimeona wachambuzi mbalimbali wakimpongeza kwa kuweka wazi angalizo hilo. Nimemsoma mtani wangu kisiasa Yericko Nyerere akichambua...
  2. Michezo ipo mingi ila mna ng'ang'ania mpira. Kwani ndio mchezo pekee mnaoujua?

    Moja ya agenda za ajabu ambazo sizielewi katika taifa hili ni kuamini katika mchezo wa soka kama njia pekee ya kututambulisha kimataifa. Hii agenda imekwisha shindwa mara nyingi hakuna maajabu yoyote yatapatikana katika mchezo wa soka katika nchi yetu. Tubadili fikra zetu na kuamua kuuweka...
  3. Pre GE2025 Kwa hali inayoendelea mtaani, Makonda ndio akiba pekee ya CCM upinzani imara ukitokea

    Sio siri tena hali ya mtaani inazidi kuwa tete kwa wananchi na kama haitoshi hawaoni yeyote akiwatetea,zaidi ya kuwapendelea matajiri.Mifano wanayotoa ni:- 1. Bei za nauli zinapanda bila kujali maslahi ya wananchi kwa kisingizio cha kupanda mafuta,wanauliza mbona yakishuka bei hakuna...
  4. Samia tangu arithi Urais 2020's, Jerry Silaa Pekee ndio mtendaji, Wengine wapeni jina!

    Jerry Slaa pamoja na mapungufu yake kisiasa hasa kulaumiwa kwa ubovu wa Barabara za Kivule na Gongo la Mboto kitu ambacho kinahitaji bajeti kubwa na inatoka kwenye wizara na ni nje ya uwezo wake, amejifumua uozo na urasimu uliopo kwa makamishan wa ARdhi Pale Wizarani Dar es salaam na Kibaha...
  5. Kilimanjaro: Baada ya Shule kuandikisha Wanafunzi Watatu tu, Serikali yaanzisha msako kutafuta Watoto waliopo mtaani

    Siku chache baada ya JamiiForums kuripoti juu ya Shule ya Msingi ya Mlembea Wilayani Rombo kuandikisha Wanafunzi Watatu pekee wa Darasa la Kwanza, baadhi ya Wananchi wamedai moja ya changamoto inayosababisha hali hiyo ni uongozi wa Shule. Mwananchi mmoja amesema “Watoto wangu wawili wamesoma...
  6. K

    Pre GE2025 Mtazamo: Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024 yaachwe ili lengo la Mbowe lisitimie

    Mbowe na CHADEMA wana lengo la kupeleka ujumbe duniani juu ya demokrasia ya Tanzania na watatumia maandamano kufikisha ujumbe huo. Kwa kuwa CHADEMA kinakabiliwa na kutokukubalika na wananchi wa hapa nchini hivyo wanaamini wakifanya jambo litakalochochea vurugu na ikitumika nguvu kudhibiti...
  7. Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

    1.Rais wa Nchi, MHE. Samia Suluhu Hassan -Rais wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu -Yeye jukumu lake kubwa ni ku control hali ya Usalama na Siasa ndani na Nje ya Nchi 2.Dkt. Moses Mpogole Kusiluka-Katibu Mkuu Kiongozi -Yeye ni Katibu wa Rais na Mkuu wa Utumishi wa Umma-anaratibu shughuli zote za...
  8. Yanga ndio timu pekee iliyotoa wachezaji wengi kucheza AFCON 2024, timu bora inaendana na usajili bora

    Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake Cha mapambano! Kwa Tanzania ni klabu moja pekee iliyofanikiwa kupeleka wachezaji wengi kwenye timu za...
  9. Hivi hili tatizo la mtandao kukata kabisa la voda nalipata mimi pekee au ni kote?

    Toka mwezi uliopita na hadi huu nimekua napata tatizo la mtandao wa voda upande wa inteneti kukata kabisa au kuwa na low speed siku nzima. 4g ya voda inazidiwa na 3g ya halotel. Je hili tatizo ni kwangu binafsi? Ama na wengine mnalipata? Nauliza hivo sababu nilishwai piga simu huduma kwa wateja...
  10. Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume...
  11. Mkoa wa Kilimanjaro pekee ndio wanarudi kwao mwisho wa mwaka,mikoa mingine wanaogopa kurogwa

    Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi. Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo),wameacha ma...
  12. Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

    Huyu mwamba yupo wapi siku hizi
  13. Sebuleni kunakaa TV na makochi pekee hivyo vingine vyote ni uchafu

    Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu. Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni. Note: Hiyo...
  14. W

    John Wegesa Heche turufu pekee iliyosalia CHADEMA kuelekea kufutika kwake baada ya Chaguzi kuu za 2024 & 2025

    Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche. Nafahamu CHADEMA Kuna watu wamefilisika na kuuawa kisa Utetezi wa Chama hicho, Kwa jicho langu la kiuchunguzi kama haya makundi...
  15. Wasanii wa Nchini Ghana 🇬🇭waja juu na kutaka Nchi yao ipige mziki ya Ghana pekee

    Katika kikao kilichofanyika huko Jijini Accra, Nchini Ghana, kilichoandaliwa na wasanii wa Afro beat kutokea Nchini gani, kimezua taharuki baada ya wasanii hao kuchachamaa na kutaka Sehemu zote za burudani na maeneo ya Starehe pomoja na vituo vya burudani vya TV na Radio vipige mziki wa Ghana...
  16. Nataka kuingia kwenye siasa, nafikiria CCM ndio njia pekee rahisi ili kufika mbali

    Habari wakuu Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa, mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu. Kabla sijajisajili kwa uvccm ili...
  17. R

    Waliochaguliwa kuandaa mpango wa maendeleo 2050 wote wanaishi Mbezi Beach au Masaki, wanalishwa kwa kodi za umma miaka yote, wana umri zaidi ya 50 yrs

    Mhe. Waziri Kitila Mkumbo ametoa majina ya watu alioteua kutengeneza mpango wa 2050. Wote walioteuliwa wana miaka 50 kwenda mbele, ni wake au watoto wa viongozi wa CCM, ni wanazuoni waliofundisha na kusoma naye chuo...........hizi siyo zama za giza ni zama za technology. Hakuna namna hawa wazee...
  18. Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

    Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua. Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
  19. M

    Peter Madeleka kusikiliza kesi ya Gekul mahakama ya Wilaya kwa tuhuma alizonazo dhidi ya Hamis

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X Hatua ya KWANZA kuhusu GEKUL ndiyo hiyo hapo 👇. Natarajia Mahakama ya Wilaya ya Babati itatimiza WAJIBU wake kwa wakati, ili Kuanzia Jumatatu tarehe 11 Disemba 2023 hatua nyingine za KISHERIA ziendelee. Hatua hiyo nimeichukua chini ya kifungu cha 128(2) na...
  20. Vitu ambavyo vipo Tanzania pekee

    Wakuuu Niajeeee, Kuna hizi tabia za baadhi ya watanzania, Hata ukiwa umepotea ukajikuta sehemu huielewi, baaaasi ujue hapo upo bongoland, Haina kuuliza, Oky let's get it started....... 1.MASIKINI KUMCHUKIA MASIKINI MWENZIE Masikini anamchukia Sana masikini mwenzake awe amepata au awe hajapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…