pepo

  1. Pepo Mkali Yavunja Nyumba na Kujeruhi Watu katika Kijiji cha Lekurumuni, Wilaya ya Siha,Mkoa wa Kilimanjaro

    Jana, kijiji cha Lekurumuni kilikumbwa na upepo mkali ulioleta uharibifu mkubwa, ukiwaacha wananchi wakiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Upepo huo, ambao ulikumba wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, ulisababisha kuanguka kwa shule, makanisa, na nyumba za wananchi, huku watu kadhaa wakijeruhiwa...
  2. Makondeni, pepo ya dunia wengi wasiyoijua

    Waliokulia vijijini mashambani wanalijua hili... Waliokulia mijini kwenye uchafuzi wa kila aina na vurugu zote hawaijui ladha yake Ukisoma habari za peponi na vile kulivyo unaweza kukubalina nami kwamba makondeni ni pepo ya dunia Hakuna vurugu za miziki Hakuna honi Hakuna fujo za bodaboda...
  3. Kijana fahamu madhara ya punyeto na mtu anayejichua kwa muda mrefu

    Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana. Sababu kuu inayopelekea kujichua ni kutamani, wengi huangalia picha za utupu(xx) katika mitandao ya kijamii na baadaye fikra huathiriwa na...
  4. S

    Kama kuna pepo hakuna hata mmoja atakayeingia

    Habari zenu Wanajamiiforums. Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga. Wale wote wanaojazana kanisani sijaona, Wale wa misikitini sijaona. Wanadamu kama kuna pepo kwa kweli hatutoiona. Binadamu ni kiumbe dhaifu aliyejaa...
  5. U

    Je, pepo ya wanadamu wema ndiyo hiyo watakayoishi pia majini wema?

    Wadau hamjamboni nyote? Naombeni mtupe Aya tafadhali vinginevyo kaeni kimya Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Je, majini hao watapewa zawadi ya mabikira takriban 70 kama ilivyo kwa wanadamu?
  6. Nataka niwatupie roho mchafu, pepo wa mafarakano kwenye chama fulani, wavurugane mpaka mgombea wao asuse hatua za mwisho Lissu apite kiurahisi

    Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au ndani ya kikundi cha watu na kwenda kufanya vurugu au jambo lolote. Mungu ametupa mamlaka juu ya vitu...
  7. Mwaka mmoja tangu nihamie mitaa hii nimeamini jehanam na pepo vyote viko duniani

    Nimezaliwa mitaa yenye ustaarabu, nikakulia nje ya mji,nikaanza maisha uswazi na kwenye slums,nimewahi kuwa homeless kwa miezi kadhaa hapa nchini na nje ya nchi, nimeishi mikoani vijijini kabisa huko wilayani,itoshe kusema jehanam ipo hapa hapa duniani na pepo ipo hapa hapa duniani Stori za...
  8. Nahisi kutokuwa sawa kiroho. Pepo wachafu wameniingilia!

    Habari ndugu zangu! Nimebadilika sana, nahisi kutokuwa sawa kiroho! Nipo mbali na nyumbani tangu 2021, yaani huwa tu naenda kusalimia na kurudi. Nipo Dodoma kikazi na tangu nije huku nimeona nimebadilika sana! Hapo kabla nilikuwa mkimya sana nisiyependa kukaa sehemu zenye watu yaani kiufupi...
  9. Mola aniepushe na hili pepo la kupenda mke wa mtu

    Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu yanapokutana na yake kuna namna yanazungumza Mwanzoni mimi ndiye niliyekuwa napata shida, lakini kwa sasa...
  10. Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

    Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga. Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
  11. Pepo gani hili? Navutiwa kuwa na mahusiano na Wanawake walionizidi umri

    Wakuu habari za mda huu.. leo nimeshindwa kulala nikitafakari sana Mwanzani nilijua ni sifa kutembea na watu walioniacha umri. Ila sasa imekua too much wakuu maana imefikia kipindi mpaka wasichana wa rika langu siwaelewi.. Hii hali ya kutowaelewa hawa wa rika yangu imeanza baada ya kujiona...
  12. Diamond pumzika muziki kwa muda pepo mchafu apite!

    Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa...
  13. Pre GE2025 Rais Samia: Wameishiwa na wameshaona mbele mambo magumu kwao ndio maana wanaharibu amani

    Wakuu, Wote mnaotaka kuandamana hasa CHADEMA kuna ujumbe wenu hapa; Amani na utulivu ndiyo inatufanya tucheke, tukae vizuri na tuangalie michezo, kukiharibika hayo yote hayapo. Niombe sana wale wanaokuja kuwashawishi kwa neno lolote lile kwa sababu yoyote ile kuharibu amani na utulivu wa eneo...
  14. Pepo la uaguzi ni nini/kitu gani

    Mwami Yesu asingizwe Habari wakuu I hope mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki, naomba kupata ufafanuzi wa swali langu kama lilivyo hapo juu kwenye heading. Nimeambatanisha na vifungu vifuatavyo:- Matendo 16:16 “Ikawa tulipokuwa tukienda mahali pale pa kusali, kijakazi mmoja...
  15. Ukiona mwanaume amekuwa shoga jua ni pepo mchafu yuko ndani yake. Hakuna cha homoni wala nini

    Hello! Amani ya Mungu iwe nanyi. Ukiona binti anavaa nguo za kiume, anacheza michezo ya kiume, anaongea kiume, anacheza na wanaume haswa huyo ana pepo mchafu. Huyo pepo mchafu kadri siku zinavyososonga anabadili mpaka sura ya huyo binti na kuwa kama mwanaume. Ukiwa na ndugu au mtoto wa hivyo...
  16. G

    Mnaotumia p2 hamtaiona pepo, maana mnatenda dhambi ya kuua

    Usihamaki. Huu ndiyo ukweli. Kwani uhai unaanzia ngazi gani ya kibayolojia? Mayai ya mwanamke siyo kitu hai? Kama ni kitu hai kilichosanifiwa na mwenyezi Mungu wewe una mamlaka ya kukiua? Bila shaka jibu ni HAPANA. P2 inauwa mayai na mbegu za kiume ili vishindwe kurutubishana na kutoa...
  17. Sheikh Rusaganya: Kwa mujibu wa Hadithi za Mtume Mohamad, Watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi

    Sheikh Rusaganya ameonya kwamba kwa kujibu wa mafundisho ya kiisilamu, watu wafupi wamepigwa marufuku kukanyaga Peponi. Sheikh anasisitiza kwamba watu wafupi ni marufuku kukanyaga Peponi na hawatakiwi kuonekana kule. Msikilize Sheikh Rusaganya hapa.
  18. Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

    Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu...
  19. Mke wangu ana pepo mchafu sana, je nawezaje kumsaidia bila kumvunjia heshima yake?

    Yaani 😮‍💨😭 Huyu dada tulioana naye kwa ndoa ya kidini. Ana tabia zote nzuri ila ni mtundu sana kitandani. Mkiwa katikati ya show unakuta gegedo limeingizwa kusiko na ladha imebadilika kabisa. Nikishtuka nachomoa hapohapo. Nimekuwa nikimweleza kuwa huo mchezo siutaki, kipindi cha uchumba cha...
  20. Ni pepo mbaya, kila malaya nayelala nae anaibukiwa na kuwa na hisia na mimi

    Nawasalimia wana JF, hope mpo fine. Ebana hii nahisi siyo hali ya kawaida ni pepo mbaya, ipo hivi........ Katika kipindi hiki cha ujana na ukizingatia bado sijaoa mda mwingine unasafiri huku na kule katika kutafuta ugali. Katika harakati zangu na kutembea mikoa mbali mbali kuna muda unapita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…