Kwa kawaida kwenye ibada wanazo shiriki wengi, kunakua na vipindi mbalimbali. Kuna praise and worship, kuna mahubiri, kuna maombezi na kadhalika na kadhalika. Upande wa siasa, waungaji mkono wa zile juhudi wamemaliza kipindi Peaise and Worship!
Wanaounga mkono sasa hivi wapo kwenye kipindi...