Utafiti wangu mdogo wa Biashara mtaani naona kuna uhaba wa pesa,unaoleta changamoto kwa watoa huduma mtaani kupata maokoto waliyozoea. Yamepungua sana!
Sijui ni Mbinyo wa Mabeberu au Makusanyo ya serikali kwa mwaka wake wa fedha ulionzq karibuni! Uwezo wa watu kuuza na kununua umehamanika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.