Nani Amehodhi fedha? Mzunguko wa pesa ni kipengele Mtaani!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,813
Reaction score
3,430
Utafiti wangu mdogo wa Biashara mtaani naona kuna uhaba wa pesa,unaoleta changamoto kwa watoa huduma mtaani kupata maokoto waliyozoea. Yamepungua sana!

Sijui ni Mbinyo wa Mabeberu au Makusanyo ya serikali kwa mwaka wake wa fedha ulionzq karibuni! Uwezo wa watu kuuza na kununua umehamanika!

Mungu ibariki Tanzania na watu wake,hata haya yatapita kama mengine yaliyopita
 
Kwani SIRIKALI haijaanza kumwaga pesa mtaani kupitia utekelezaji wa bajeti yake ya 2026/2027?
 
Utafiti wangu mdogo wa Biashara mtaani naona kuna uhaba wa pesa,unaoleta changamoto kwa watoa huduma mtaani kupata maokoto waliyozoea. Yamepungua sana!
Sijui ni Mbinyo wa Mabeberu au Makusanyo ya serikali kwa mwaka wake wa fedha ulionzq karibuni! Uwezo wa watu kuuza na kununua umehamanika!
Mungu ibariki Tanzania na watu wake,hata haya yatapita kama mengine yaliyopita
Mazao hayana bei ndio sababu
 
Ni kama vile Nchi imesimama
 
Mafisadi ndio wameshika nchi unategemea nini zaid ya kujilimbikizia mapesa mifukoni?
 
" kwani awali fedha walizipata wapi, kwanini wasiendelee kama zilikuwa halali?", Ben Mkapa.

Sijui kilitokea nini, lakini ndivyo ikivyokuwa, wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2000, kwa namna isiyoelezeka Diallo na vyombo vyake vya habari waliandaa, mahojiano kati ya mgombea wa CCM na waandishi wa habari.

Waandishi walikuwa Nathan Lwehabura wa RFA/ Star tv na Mzee Nkeabi Ngh'wanakilala, Mkurugenzi mstaafu wa TBC ma wakati huo akifundisha SAUT.

Moja ya swali aloloulizwa na kama mjada huu ulivyo: wananchi wanalalamika mtaani hakuna pesa na kuibatiza hali hiyo UKAPA.

Katika.majibu yake, Mkapa ambaye alikuwa akiwania kipibdi cha pili na aliyeanzisha mabadiliko ya sera na kubana ukwepaji kodi alisema, wanaolalamika kuwa mtaani hakuna fedha zimeenda wapi? Awali walikuwa wakizipataje na sasa kwanini wanashindwa kuzipata?
 
Kunaweza kuwa na visababishi kadhaa ila Kwa mtizamo wangu ni kuwa tatizo ni waChina. Wengi wao hawaweki mapato Yao Benki, badala yake wanaweka ndani kwao.
Mfano, miezi kadhaa iliyopita Kuna waChina pale Masaki, Dar walikamatwa wakiwa na Tsh 6b ndani. Hii huondoa mzunguko wa pesa kwenye uchumi na kuufanya uzorote.
Ni Kwa nini waChina hapa Bongo hawataki kuweka pesa zao Benki?
 
Back
Top Bottom