pesa za mama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Mwigulu huwezi kusema nchi sio mali ya Serikali wakati ulisema pesa za Mama ukiwa Waziri wa Fedha

    Sijui kama mada inaweza kuelezeka hapo juu. Yaani leo matatizo yote na madeni ni yetu ila wakifanya yao ni yao siyo ya wananchi. Nakumbuka kauli yake kuwa tuamie Burundi na leo umekuwa Waziri Mkuu unajifanya kuwa ni mali yetu sote halafu hutaki kujua waliokufa unataka kujua nchi ya vitu sio watu.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Samia ni Rais kweli lakini haonekani! Si anawapa hela akina Harmonize na Shomari Kapombe, hao ndio wakampigie kura!

    Wakuu, Mwananchi anahoji kwanini Samia anasaidia matajiri wakati kuna watu kibao wa hali chini wanaohitaji msaada huo zaidi? Anakaa kutoa hela kwenye goli la mama, mara kumwaga hela kwa wasanii na kuacha watanzania wakifa kwenye umasikini wa kutupwa! Kwa namna hii hakuna Rais anayeitwa Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…