PostGE2025 Dkt. Mwigulu huwezi kusema nchi sio mali ya Serikali wakati ulisema pesa za Mama ukiwa Waziri wa Fedha

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sijui kama mada inaweza kuelezeka hapo juu. Yaani leo matatizo yote na madeni ni yetu ila wakifanya yao ni yao siyo ya wananchi.

Nakumbuka kauli yake kuwa tuamie Burundi na leo umekuwa Waziri Mkuu unajifanya kuwa ni mali yetu sote halafu hutaki kujua waliokufa unataka kujua nchi ya vitu sio watu.
 
Sijui kama mada inaweza kuelezeka hapo juu.Yani leo matatizo yote na madeni ni yetu ila wakifanya yao ni yao siyo ya wananchi.

Nakumbuka kauli yake kuwa tuamie burundi na leo umekuwa waziri unajifanya kuwa ni mali yetu sote alafu utaki kujua waliokufa unataka kujua nchi ya vitu sio watu.

Huyu waziri ni kilaza wa mwsiho.
Katika serikali hi nani asio kua fake 90% ni chawa tupu.
 
Sijui kama mada inaweza kuelezeka hapo juu. Yaani leo matatizo yote na madeni ni yetu ila wakifanya yao ni yao siyo ya wananchi.

Nakumbuka kauli yake kuwa tuamie Burundi na leo umekuwa Waziri Mkuu unajifanya kuwa ni mali yetu sote halafu hutaki kujua waliokufa unataka kujua nchi ya vitu sio watu.
Huyo anafanya spinning tu ya taarifa ili kuwapoza wananchi ili mkandamizwe vizuri.

Hana lolote ni mchumia tumbo tu
 
Sijui kama mada inaweza kuelezeka hapo juu. Yaani leo matatizo yote na madeni ni yetu ila wakifanya yao ni yao siyo ya wananchi.

Nakumbuka kauli yake kuwa tuamie Burundi na leo umekuwa Waziri Mkuu unajifanya kuwa ni mali yetu sote halafu hutaki kujua waliokufa unataka kujua nchi ya vitu sio watu.
Mwigulu ni mavi matupu, hana akili, sijaona mtu mshamba na asiye na uwezo wa kufikiri kama Mwigulu Nchemba Madelu, Mwizi na muuaji.
 
Back
Top Bottom