Nilijiunga na chuo kikuu UDSM kwa masomo ya post graduate mwezi October 2023 kwa program za jioni. Lakini baada ya kukamilisha usajili na kulipa ada na kuanza masomo walitubadilishia utaratibu kwamba watu wa evening program ni wachache hivyo inabidi program hiyo ivunjwe wanaosoma jioni waungane...
Anonymous
Thread
fee refunding
malalamiko ya refundpesazarefundrefund wanachuo
Chuo Kikuu cha Iringa mpaka leo hii hatujalipwa fedha zilizozidi sababu tukiwa mwaka wa 2 serikali iliongeza ada kwa sisi wanufaika wa mkopo na wakati tulikuwa tushalipa tukaahidiwa na chuo tukimaliza mwaka wa 3 tutapata pesa zetu lakini mpaka leo hii inaenda mwezi wa 4 hakuna na barua...