pesa

  1. D

    Laiti mngelijua tunavyoumia sisi walipa kodi tunavyo ona pesa inamwagwa ovyo chadema kuliko kwenye miradi ya maendeleo

    Laiti mngalijua tunavyopambana walipa kodi huku chini naimani mngeziheshimu sana pesa za walipa kodi! Ni rahisi sana wasimamizi wa fedha za serikali kutangaza kiama kwa wakwepa kodi! Lakini pesa zikishaingia kwenye himaya yao wanazitapanya wajuavyo wao! Hili peke yake linavunja sana moyo wa...
  2. Tabia ya kuombaomba pesa

    Kusaidiana Kwa binadamu ni desturi nzuri Kumsaidia mpenzi wako katika changamoto mbalimbali za kiuchumi ni jambo la kawaida na muhimu kwenye mahusiano. Yaani unamsaidia mpenzi wako kwasababu kweli anahitaji msaada, Yaani utajitolea Kwa Nguvu zako zote, kwasababu ni mpenzi wako, na kwasababu pia...
  3. M

    DOKEZO Ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA: Namba ya simu iliyokuwa ikitumika kukusanya pesa za “Join the Chain” siyo ya Chama!

    Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika wazi hiki chama kuwa ndani yake kuna mijizi kwelikweli. Leo katika press conference ya Lema...
  4. Watangazaji wa Clouds Media, Wampiga Stop Tundu Lissu kutaja jina la Abdul kwamba alimpelekea Rushwa. Idrissa Rubibi na Daniel Naftari wadakwa na Pesa

    Maelezo ya Tundu Lissu *Mimi wanasema sina pesa. Na kama sina pesa sina pesa za kugawa. *Mimi sitoi Rushwa na Sipokei Rushwa. Nililetewa hapa kwenye Sebule hii na Abdul Mtangazaji: Mheshimiwa tunaomba tusitaje Majina. Tundu Lissu: Kwanini nisitaje kama vinaweza vikathibitika? Mtangazaji...
  5. Wakuu mbona watu wananitenga hivi toka nipate pesa

    🤣🤣😆 kichwa habari chajieleza yaan marafiki ndugu jamaa wananitenga toka niuze kaeneo kangu huko maeneo ya kibaha nimepata laki8 na nusu basi watu wananionea wivu ama kweli pata pesa matako hulia mbwata
  6. L

    John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua

    Ndugu zangu Watanzania, Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎 #JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022. Kwa wakati huo kipaumbele cha...
  7. Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
  8. Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  9. Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain. Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo
  10. Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

    TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana... Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni...
  11. Mwanaume unakuwaje masikini wakati Mimi mtoto mdogo Nina pesa

    Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia yaani ukoo wetu atakua kaupaka Mavi
  12. Mwenyekiti wa Chadema Njombe: Nahisi CCM wana tawi lao huku

    Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba amesema anahisi CCM wana tawi lao CHADEMA. Kupitia mtandao wa X mwenyekiti huyo amenukuliwa akisema "Kwa fedha nilizoshuhudia zikimwagwa USIKU kucha,nikikumbuka fedha zilivyokuwa zinamwagwa Njombe, naanza kuhisi CCM wana tawi lao huku kwetu"
  13. Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

    Wakuu! Retired FUSO Tlaatlaah Ambaye yupo tayari aweke Laki mbili Mimi naweka Laki tano. Lisu akishindwa unachukua Laki tano. Akishinda nachukua hiyo Laki Mbili. Aliyetayari kwa Mchezo aniambie tucheze. Mwisho tarehe 15 Nasubiri
  14. Round hii Pesa itashindwa na wabangaizaji. Lissu ameshamshinda MBOWE

    Mpo salama! Watu wengi wanaamini pesa inanguvu kila sehemu na kila wakati. Lakini Sisi wengine tunajua kuna wakati na sehemu pesa hushindwa na huwa kama makaratasi mengine. Round hii, Lisu ambaye ni mbangaizaji anaenda kumbwaga Mbowe pedeshee. Wale wanaoiabudu pesa na kuiona mungu wao...
  15. Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?

    Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
  16. L

    Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na Mambo yake yote. Kwa kuwa ni wazi lissu anatambua na kufahamu wazi kabisa hawezi kupita na...
  17. Pesa zako zinanuka!

    Je, pesa zako ni baraka au mzigo unaobeba harufu ya maumivu ya wengine?. NB:Picha kwa hisani ya gazeti la mwananchi mwakajana. Katika jamii ambayo utajiri hutafsiriwa kama nguvu, pesa mara nyingine hutumika kama silaha ya kudhibiti na kudhalilisha. Lakini utu unaweza kununuliwa? Heshima...
  18. F

    Zinatoka wapi pesa zinazotumika kujenga miradi mikubwa na mingi inayofunguliwa kila siku Zanzibar?

    Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na...
  19. Ushauri Namna gani utailinda Pesa yako : Sarafu (Coin) ina nguvu kwenye ulimwengu kuliko vile unavyofikiri

    Wakuu! Huu ni ushauri wa kuilinda pesa yako na sio simulizi za 'Chuma Ulete'. Pesa ina nguvu, hapa nitazungumza na wale wote wanaotaka kuimiliki pesa. Pesa ninayoizungumzia zaidi hapa ni pesa ya Sarafu (Coin) ambayo inatumika katika maluweluwe mengi sana. Pesa ya Karatasi au Noti...
  20. Inaumiza sana umri huu Mbowe ana report kwa Abdul? Pesa ndiyo sabuni ya roho

    Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu. Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…