pesa

  1. R

    Hivi hawa watu wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanashughulikiwa kweli na mamlaka?

    Bado napata meseji zao. Sielewi hizi namba wanazotumia kama zimesajiliwa kwa NIDA na alama za vidole wanapata wapi ujasiri wa kutapeli watu maana kuwakamata ni jambo rahisi. Mamlaka husika nataka jibu vinginevyo kazi imewashinda.
  2. Father of All

    Yesu hakuwa na Kanisa wala pesa, hakuacha hata hao wakristo. Je, hawa wanapata wapi haya wanayofanya?

    Kwa waliosoma na kuelewa habari za Yesu watakubaliana nami yafuatayo: Mosi, alikuwa maskini au lofa wa kawaida mwana wa seremala ambaye kama angerudi leo na kukuta wanaomhubiri na utajiri wao haramu, angezimia mbali na kuwakaripia hata kuwachapa. Pili, hakuwahi kuwa na wala kuingia kanisani...
  3. Shuku_

    Eti tajiri ni mtu mwenye pesa au mali kiasi gani?

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani? Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo wao kuhusu neno TAJIRI kulingana na vile ambavyo inawafaa. Ajabu ni kwamba unaweza uka miliki hata...
  4. Cannabis

    Pre GE2025 Lissu: Hakuna kanuni ndani ya CHADEMA zinazotaka ukiwa kiongozi uchangie pesa za mkutano

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA amesema hakuna kanuni ndani ya chama hicho inayosema ukiwa kiongozi unatakiwa uchangie pesa kwa ajili ya mkutano hivyo hata akishindwa kuchangisha milioni 30 kwa ajili ya mkutano huo hatakuwa na kosa. Amesema kuhusu habari ya mamilioni yaliyochangishwa na wengine ni...
  5. JEJUTz

    Usitegemee pesa iliyopo kwenye simu au ATM card kufanya manunuzi au kulipa bills kuna Siku utaumbuka

    Hili limenitokea jana tu! Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale. Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao. Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
  6. M24 Headquarters-Kigali

    Divorce lawyers wanaenda ku-download pesa 2025!

    Mwaka 2025 Divorce lawyers wanakwenda kuwa Mabilionea. Wateja (watarajiwa) 1. Wolper, 2. MC Pilipili, 2. Sister P.
  7. A

    KERO Hatujalipwa pesa za Korosho mnada wa 8 nA 9 Newala Kitangali

    Hatujalipwa pesa zetu za korosho wa mnada wa 8,9 Newala kitangari ,tangu mnada umepita ni mwezi sas na hakuna taarfa zozote zinazotolewa kwa katimu wa chama cha msingi Limanga
  8. Mungu niguse

    Mtoto wa kaka yangu wa kwanza (First born) amebamiza 'A' za kutosha za darasa la nne mpaka nimeogopa sana, tutafute pesa Elimu nzuri ni gharama

    Wakuu this is the first time nashuhudia kijana wa kaka yangu anafanya maajabu kama haya. Kiufupi nimefurahi sana huyu angekuwa st kayumba sijui kama angepata hata A moja Elimu nzuri ni gharama wakuu. Kila mwaka inatoka mil 5 Ila matunda ni mazuri. Ukiachana na hilo anaongea kiingereza Kama...
  9. C

    Nina tatizo la kutokulipwa pesa zangu pindi ninapo wakopesha ndugu jamaa na marafiki wa karibu. Imepelekea kuvunja uhusiano wa karibu na hao wakopaji

    Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums. Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale mjengoni. Kwenye mada sasa. Ebhana nimekaa chini na kutafakari nikagundua nimedhulumiwa vihela vyangu...
  10. MamaSamia2025

    Mbunge Musukuma aambiwe kuwa pesa sio mbadala wa elimu

    Inasikitisha sana kuona mbunge wa bunge la JMT akiibeza elimu kwa kudhani kuwa na pesa ni mbadala wa elimu. Hizi kauli za mtu kama Kasheku zinafifisha kabisa malengo ya watanzania kujikomboa kupitia elimu. Kasheku na baadhi ya watu hudhani kuwa na hela nyingi ndo tayari unakuwa umepata mbadala...
  11. MamaSamia2025

    Pesa ingekuwa msanii ingetutungia dis track mbaya kuliko ile ya 2pac

    Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
  12. 4

    Kama kuna mtu kachukua pesa za watu huko CHADEMA uchaguzi umeisha kwisha rudisha .

    Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu, kila mmoja kwa imani yake. Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule, utazitapika, uchaguzi umeishaisha . Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma. Mtajua hamjui.
  13. youngkato

    Platform za Uhakika za online za Kutengeneza Pesa Mtandaoni (Ushuhuda wangu)

    Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa huduma zako kwa wateja mbalimbali. Mifano ya majukwaa hayo ni: Upwork: Hii ni platform maarufu...
  14. youngkato

    Jinsi ya Kuanza na Kufanya Online Business Bila Mtaji wa Pesa (Uzoefu wangu)

    Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kuanza biashara ya mtandaoni ukiwa huna mtaji wowote wa pesa. Hapa ni mambo ya msingi unayohitaji...
  15. The Assassin

    Mwanaume tafuta pesa, wanawake wazuri utawapata bila kujalisha una miaka mingapi

    Wanaume tutafte pesa, wanawake wazuri wapo tu miaka yote ya maisha yako. Larry Ellison mmiliki wa kampuni ya mifumo ya Oracle ana miaka 80, ameoa kimwana wa miaka 33, tofauti ya umri wa miaka 47. Mugabe alimuoa Grace akiwa anamzidi miaka 40, Mmliki wa Nkatie Burger, burger maarufu sana Afrika...
  16. DCI Comrade One

    (Malalamiko)Mtandao wa YAS rudisheni pesa yangu.

    Happy New Year, Mods tafadhari musidelete post yangu. Tarahe 24 Dec 2024 nilikuwa nalipia Netflix Subscription kwa kutumia Mastercard ya MIXX BY YAS lakini kwa bahati mbaya ikawa rejected huku kiwa imetoa ujumbe ufuatao,''Payment declined,please contact your card issuer'' na Uzuri ni...
  17. Doji MD

    Sikukuu ni kwa ajili ya watoto na wenye pesa

    ,
  18. Red sky

    Ezekiel Wenje Chadema Haina Pesa?

    Nimemsikia mjumbe wa kamatikuu Ya Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Na mwenyekiti wa kanda ya Victoria, Mh Ezekiel Wenje akiwa Wasafi kwenye kile kipindi kinacho muogopa Tundu Lisu, akijalibu kuhadaa wananchi kua Chadema hawana pesa zakutosha kuendesha shughuli zao za kisiasa nchi...
  19. BabaMorgan

    Dullsykes amekazia kama unataka wanawake wazuri basi tafuta pesa ama umaarufu.

    Inakata sana unakutana na Mwanamke mzuri unamfeel unajaribu kumuapproach bahati mbaya bibie anakaza kwa sababu ya status uliyonayo anashow disrespect sababu tu huna kitu. Kuna member humu alishawahi kuandika wanawake wazuri ni kwa ajili ya mwanaume mwenye power binafsi napenda kuwakumbusha...
  20. B

    Hivi Pesa za kurithi na mali zake zina laana gani??

    Sipendi kufatilia maisha ya watu lakini bora tuzungumze ili kama kuna njia au daaa ya kuzuia hili basi tunufaike nalo Hapa mtaani kwetu Mtoni Kijichi TMK Dar kuna mjomba Wangu alistafu Jeshini kitengo maalumu alikuwa na watoto wawili wa kike na kiume. Huyu mzee alitumia ujana wake vizuri...
Back
Top Bottom